TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Ngassa kuanza benchi ni kosa kubwa! Abdi kassim?hana pumzi! Hawa wanataka kurekebisha tumeshafungwa! Tuombe tu wasituwahi
 
Hawa Star TV si bora waache kuonesha tu.......Maana ni giza tu
 
Mpira umepooza sana, jamaa wanatushambulia kuliko sisi tunavyowashambulia wao.
 
Back
Top Bottom