TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Inapigwa faulo.................

Abdiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Dah....Tunakosa goli jamani,kipa kcheza Machupa kashindwa kumalizia
 
Aisee kumbe mie ingawa naona live, naona nimechelewa. Nadhani kama sekunde 15 nyuma.
 
Huku Mega what za Ngeleji zimepungua tunasubili matokeo saa5 usiku
 
Washenzi wamechomoa, tukifungwa tunawageuzia kibao wanasiasa kuingilia michezo!
 
Kiungo chetu kimekufa kabisa.....Pengo la Nditti linaonekana dhahiri sasa

Mipira kwa Samatta haipelekwi kabisa
 
Dak.40 bado ni 1-1 mechi ikiisha hivihivi wa-tanzania tutakua tumeumia:
 
Benchi la ufundi la Algeria kuna jamaa kama Gadafi ahaahaahaaa!
Dah ipo kazi ila kiwango si kibaya sana
 
Kuna haja ya kuwategemea makocha wazalendo sasa....

Sioni lolote linaloletwa na hawa akina Poulsen
 
Back
Top Bottom