Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Dakika 3 zimeongezwa
Kuna haja ya kuwategemea makocha wazalendo sasa....
Sioni lolote linaloletwa na hawa akina Poulsen
<br />mpira umekwisha
Nafasi ni ndogo sana...DAh gane over hivi bado tuna nafasi wadau?
Tunataka ushindi...Lakini mbona Stars wamecheza vizuri wakuu!!