TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Mtangazaji wa MED1 ya Algeria anasema SAMATHA ni Maradona wa Tanzania.
 
Anaingia Machupa anatoka Shaban Nditti....

Kwa hakika sijaiafiki hii sub......Wa kutolewa ni Abdi Kassim,,,,Nditi meshirikiana vizuri sana na Henry Joseph pale kati hivyo kuleta uhai wa kiungo
 
Algeria wamefanya sub ya 3 na ya mwisho...

Kona kuelekea lango Algeria....Kipa anadaka
 
Back
Top Bottom