TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Anaingia Mrisho Ngassa anatoka Mrwada

Bado Abdi Kassim sasa
 
Kuna haja ya kumuingiza Nurudin Bakari pale kati....

Abdi Kassim anafanya attempt ya kwanza ya nguvu,mpira unapaa
 
namba 8 ni ya Ngasa, lkn mbona sioni shepu yaNgassa ndani ya hiyo jezi? Au Ngassa kanenepeshwa na mabagaz ya Marekani?
 
Dah.............

Tunakosa goli,Samatta kakabwa mpaka basi....
 
Marcio Maximo ni kocha mzuri sana(ukimlinganisha na Jan Poulsen).....Maximo alikuwa ni mhamasishaji mkubwa sana kwa wachezaji uwanjani....

Poulsen kapooza sana.......I miss you Marcio Maximo

Machupa anapasha
 
Back
Top Bottom