Tanzania tunanunulia wapi/nchi gani Internet?

Vifurushi wakati mwingine tunatumia mabus na malori na vinafika pasi na shaka.
 
Iv redio call wanakuag na process za kuunga bundle au wao n kupiga tu na kuongea free
 
Kumbe duniani Bado sana! Bado tunatumia mi waya!
Hizo optical fibres mkuu sio zile fibres za copper! Hizi zinazosambaza internet duniani zimeundwa kwa technology ya maana sana, optical fibers hizi zinatumia light kutransfer data! Si unajua mwanga speed ake? Ingia Google/Hasa YouTube tafuta channel inaitwa Learn Engineering kuona venye zimetengenezwa ndo utaelewa kwanini tunatumia fibres na sio satellite, Learn Engineering wamechimbua kila kitu kuhusu hizi technologies za mawasiliano na internet!

 
Mkuu hivi hawa Tritel washaenda wapi na walikua wanafanya aje kazi? Nakumbuka back in 2015 nilkua nasoma Udom pale nilkua natumia Vodacom kuna muda mtandao ulikua unazingua nikiwa Room sasa nikawa naona voda ikizingua automatic ina roam kwenye Tritel na mtandao unakua na nguvu balaa...
 
Hii minara sijui ni ya serikali? Nafikiri hata smart walikuwa wanatumia hii minara.

Tritel kama mtandao wa simu ulikufa siku nyingi.

Mhandisi Mzalendo
 
Hii minara sijui ni ya serikali? Nafikiri hata smart walikuwa wanatumia hii minara.

Tritel kama mtandao wa simu ulikufa siku nyingi.

Mhandisi Mzalendo
Duuh [emoji23] kama ulikufa basi ni siku nyingi sana, make kwa Dodoma voda ilkua inasumbua sana kule chuoni lakini iki roam kwenye Tritel nilikua napata speed nzuri sana ya 3G na mtandao ulikua unasoma Tritel.com
 
Duuh [emoji23] kama ulikufa basi ni siku nyingi sana, make kwa Dodoma voda ilkua inasumbua sana kule chuoni lakini iki roam kwenye Tritel nilikua napata speed nzuri sana ya 3G
Hata sisi tumeutumia sana Udom, kuna kipindi meli sijui iligonga fiber internet ikawa ya tabu ulituokoa sana.

Upo pia tarime
 
Kwahiyo baharini kuna nyaya za kwenda maeneo tofauti tofauti? Si zitakuwa nyingi sana
 
Bonge la Shule sasa wakuu nawapataje hao Zuku na je nitahitaji kuwa na nini zaidi ili waweze kuniletea Internet? Na gharama zao za bandle mfano mbps 10 kwa matumizi ya ofsini kwangu tu unlimited inaweza kuwa Tsh ngap?
 
Hakuna mmiliki wa internet bali kuna wamiliki wa resources za internet kama izo switch, cables, modems,routers and server
 
What produce internet!? What is internet!? Source of internet!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…