Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,389
- 1,909
Hii ni mada muhimu sana lakn ajabu itapata wachangiaji wachache.
Ila sio waya Kama waya.Kumbe duniani Bado sana! Bado tunatumia mi waya!
Hiyo siyo waya bali fibre glass ilianza kutumika kuanzia miaka ya 90s.So tupo kwenye right position..?
Mi naona ni mbinu tu za wafanyabiashara wa hiyo miwaya!.. itachukua muda kuja kubadili mwenendo..
Kuna technology huwezi kuacha hata iweje.Ila sio waya Kama waya.
Ni optic phiber
Ni kama walivyosemaga eti huduma za posta zinaenda kufa nikawaangaliaaa nikasema jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Yaani sasa hivi watu wa posta ndo wanachakarika vibaya mno.Kuna technology huwezi kuacha hata iweje.
Tutachangiaje kama hatujui? Labda tuulize maswali tu.Hii ni mada muhimu sana lakn ajabu itapata wachangiaji wachache.
Kweli kabisaa mkuuTutachangiaje kama hatujui? Labda tuulize maswali tu.
Maswali ni sehemu ya kuchangia pia mkuu.Tutachangiaje kama hatujui? Labda tuulize maswali tu.
Mhh mkuu kwahiyo hawa wanaotuuzia wanakuwa wanataka kufidia gharama ipi???hakuna eneo maalumu maana kazi yake ni kuzungusha tu hizo data kwenda maeneo mbalimbali, mfano
- unaangalia youtube, umesearch video ya kiba, ile request yako itapelekwa na waya hadi server za youtube marekani, kisha kule marekani itachukuliwa ile video na huo waya na kuletwa hadi Tanzania.
-unachat na rafiki yako china kwa snapchat, inamaana waya utapeleka msg yako kwenye server za snapchat marekani, kisha waya mwengine utachukua na kumpelekea msg yule rafiki yako wa china
hivyo kazi za hizo waya ni kusafirisha tu taarifa baina ya watumiaji na servers mbalimbali duniani, internet inazunguka dunia nzima hakuna aneimiliki ni kama vile barabara, Tanzania tuna miundo mbinu yetu, Kenya wana yao, Usa wana yao, China wana yao etc then kuna makampuni ya kimataifa yanaunganisha miundo mbinu ya nchi mbalimbali pamoja
Kwani iyo kampuni bado tu ipo hai ?.mi nilijua ishakufa maana naona kama vile awapo serious na kaziNi kama walivyosemaga eti huduma za posta zinaenda kufa nikawaangaliaaa nikasema jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Yaani sasa hivi watu wa posta ndo wanachakarika vibaya mno.
Miundombinu yao ya Ndani, minara, cable zao za Ndani, wafanyakazi, matangazo, kodi zao za majengo etcMhh mkuu kwahiyo hawa wanaotuuzia wanakuwa wanataka kufidia gharama ipi???
Duh,ubepari kitu kibaya.Miundombinu yao ya Ndani, minara, cable zao za Ndani, wafanyakazi, matangazo, kodi zao za majengo etc
Mkuu, mimi nilifikiri Internet makao makuu yake ni USA, yani ndipo panapofanyika connections zote.hakuna eneo maalumu maana kazi yake ni kuzungusha tu hizo data kwenda maeneo mbalimbali, mfano
- unaangalia youtube, umesearch video ya kiba, ile request yako itapelekwa na waya hadi server za youtube marekani, kisha kule marekani itachukuliwa ile video na huo waya na kuletwa hadi Tanzania.
-unachat na rafiki yako china kwa snapchat, inamaana waya utapeleka msg yako kwenye server za snapchat marekani, kisha waya mwengine utachukua na kumpelekea msg yule rafiki yako wa china
hivyo kazi za hizo waya ni kusafirisha tu taarifa baina ya watumiaji na servers mbalimbali duniani, internet inazunguka dunia nzima hakuna aneimiliki ni kama vile barabara, Tanzania tuna miundo mbinu yetu, Kenya wana yao, Usa wana yao, China wana yao etc then kuna makampuni ya kimataifa yanaunganisha miundo mbinu ya nchi mbalimbali pamoja
hapana, kama wechat wameweka servers USA basi itapitia USA ila kama server zipo China basi haitapitia USA itaenda China moja kwa moja,Mkuu, mimi nilifikiri Internet makao makuu yake ni USA, yani ndipo panapofanyika connections zote.
Naamnisha ivi;
USA kuna kituo INTERNET
Wechat, inachukua na kutuma kupita cable yake ya china, ambayo hio cable ya china ndio imekwenda hapo US.
Hivyo kinachotokea, wakati nachat kwenye wechat, manake data yangu inapita kwenye waya wetu tanzania unakwenda hadi USA (inawezekana cable yetu imeunganishwa kwenye nchi nyengine, lakini ukitrace mwisho unafika hapo USA) hapo kituoni USA inatizama hii data mhusika ni tiktok na yupo kwenye line ya china, basi inapitishwa hapo.
Ama vipi?
Kuna ishu kwenye mambo za tech zinanipa mawazo 😀
kifupi mkuu gharama nyingi za hii mitandao ni fixed, jinsi wanavyopata wateja wengi ndio jinsi wanaweza kuuza vifurushi kwa bei rahisi zaidi.Duh,ubepari kitu kibaya.
Yaani mtu anaamua kuuza mb400 kwa buku hajui hata waya wa cable unaompa data una unene gani.
So mtandazo wa izi cable, ni kama road network zimezunguka zunguka . Kwa mfano wa wechat, labda yetu imetoka UK, lakini ya UK nayo imekwenda china, kwaio data itatoka tz, itakwenda uk, afu itakwenda china kwenye servers za wechat? Yaani hio cable sio kwamba imetoka direct kutoka kwenye servers moja kwa moja hadi tz? kama mitandao ya simu. Uko dar unampigia mtu arusha, minara iliyopo baina yenu ndio inaunganisha na sio kwamba mnara wa arusha mmoja unawasiliana na mmoja wa dar au sio?hapana, kama wechat wameweka servers USA basi itapitia USA ila kama server zipo China basi haitapitia USA itaenda China moja kwa moja,
Kwa Nchi kama Zetu possibility hio ni kubwa sababu ya ukosefu wa miundombinu ikawa inazungushwa kupitia nchi mbalimbali mpaka kufikia destination, ila sio lazima iwe hivyo sababu hizi cable zinatembea Baharini, inaweza ikatoka moja kwa Moja Toka Tanzania hadi China bila kupitia popote.So mtandazo wa izi cable, ni kama road network zimezunguka zunguka . Kwa mfano wa wechat, labda yetu imetoka UK, lakini ya UK nayo imekwenda china, kwaio data itatoka tz, itakwenda uk, afu itakwenda china kwenye servers za wechat? Yaani hio cable sio kwamba imetoka direct kutoka kwenye servers moja kwa moja hadi tz? kama mitandao ya simu. Uko dar unampigia mtu arusha, minara iliyopo baina yenu ndio inaunganisha na sio kwamba mnara wa arusha mmoja unawasiliana na mmoja wa dar au sio?