Wanaweza tumia njia kamaHabari za mda huu waungwana,
leo nimetamani nijifunze jambo jipya! Naomba nifahamishwe Internet Service Provider (ISP) wetu ni nani na njia gani imetumika mpaka internet ikatufikia hapa nchini?
Kumbe duniani Bado sana! Bado tunatumia mi waya!Wanaweza tumia njia kama
1. Satelite Internet, sema hii haitumiki sana ni kama backup tu.
2. Cable za Chini ya Bahari ama Nchi kavu, angalia hii picha kwa list ya provider
View attachment 1523682
Ukisikia mkonga wa Taifa ndio hizo cable, zinakuwa na bandwidth za maana, zaidi ya Terabyte kwa sekunde, kuna moja hapo inaenda hadi terabit 100. Hizo cable ndio isp wanatumia kuunganisha na nje ya Bara la Africa.
Waya unaspeed sana tena sana sana sana compare na wireless,Kumbe duniani Bado sana! Bado tunatumia mi waya!
So tupo kwenye right position..?Waya unaspeed sana tena sana sana sana compare na wireless,
Kuna kipindi fulani miaka kama 8 ama 9 iliopita meli iligonga hizo waya network ya internet ikakata nchi nzima, na baadhi ya mitandao kama voda wakaswitch kwenda satelite, ilikuwa slow balaa.
Hapana Aisee, na waya Ndio rahisi zaidi kuliko wireless, zikitandazwa hizo kila eneo internet inakuwa bei ya maandazi,So tupo kwenye right position..?
Mi naona ni mbinu tu za wafanyabiashara wa hiyo miwaya!.. itachukua muda kuja kubadili mwenendo..
Very informative Salute kiongozWanaweza tumia njia kama
1. Satelite Internet, sema hii haitumiki sana ni kama backup tu.
2. Cable za Chini ya Bahari ama Nchi kavu, angalia hii picha kwa list ya provider
View attachment 1523682
Ukisikia mkonga wa Taifa ndio hizo cable, zinakuwa na bandwidth za maana, zaidi ya Terabyte kwa sekunde, kuna moja hapo inaenda hadi terabit 100. Hizo cable ndio isp wanatumia kuunganisha na nje ya Bara la Africa.
Ahsante mkuu kwa taarifa sometimes kumkamua mtu taarifa lzm uonyeshe ka dis agreement fulani hivi..😜🏃Hapana Aisee, na waya Ndio rahisi zaidi kuliko wireless, zikitandazwa hizo kila eneo internet inakuwa bei ya maandazi,
Wambie hawaoni tu Television signal za sattelite zinavyosumbua hata yakiwepo mawingu kidogo. Same sattelite internet lazima iathiriwe na hali ya HewaWaya unaspeed sana tena sana sana sana compare na wireless,
Kuna kipindi fulani miaka kama 8 ama 9 iliopita meli iligonga hizo waya network ya internet ikakata nchi nzima, na baadhi ya mitandao kama voda wakaswitch kwenda satelite, ilikuwa slow balaa.
ndio mkuu wireless ni expensive, sababu wireless haina bandwidth kubwa kushinda waya. unaweza ukapitishwa waya mmoja tu mtaani wa 10gbps na mtaa mzima mkawa na internet ya maana.Chief hapa unamaanisha wireless ni expensive ukilimganisha na wire? Au nimeelewa tofauti?
Hivi huu mkonga wa taifa si ulishaanza kazi tz?ndio mkuu wireless ni expensive, sababu wireless haina bandwidth kubwa kushinda waya. unaweza ukapitishwa waya mmoja tu mtaani wa 10gbps na mtaa mzima mkawa na internet ya maana.
Kwanini service inaletwa kwa cable halafu tunakuja kusambaziwa kwa wireless?Wanaweza tumia njia kama
1. Satelite Internet, sema hii haitumiki sana ni kama backup tu.
2. Cable za Chini ya Bahari ama Nchi kavu, angalia hii picha kwa list ya provider
View attachment 1523682
Ukisikia mkonga wa Taifa ndio hizo cable, zinakuwa na bandwidth za maana, zaidi ya Terabyte kwa sekunde, kuna moja hapo inaenda hadi terabit 100. Hizo cable ndio isp wanatumia kuunganisha na nje ya Bara la Africa.
Hizo cable zinachukua Internet kutoka wapi?Wanaweza tumia njia kama
1. Satelite Internet, sema hii haitumiki sana ni kama backup tu.
2. Cable za Chini ya Bahari ama Nchi kavu, angalia hii picha kwa list ya provider
View attachment 1523682
Ukisikia mkonga wa Taifa ndio hizo cable, zinakuwa na bandwidth za maana, zaidi ya Terabyte kwa sekunde, kuna moja hapo inaenda hadi terabit 100. Hizo cable ndio isp wanatumia kuunganisha na nje ya Bara la Africa.
mkuu kusema kweli huku mijini wameitandaza sana internet na speed si haba, sasa hivi ukienda Kariakoo maduka mengi yana fiber, hata mitandao yetu kama Halotel na Voda speed zao za 4g ni zaidi ya average speed ya dunia.Hivi huu mkonga wa taifa si ulishaanza kazi tz?
Mbona speed ileile, bei zinazidi kupanda nk
Wakati tuliambiwa mkonga ukianza kazi soeed itapaa na bei itashuka
sababu ni rahisi wireless kufikia watu kuliko cable, mfano imagine uswahilini utatandaza vipi cable? ama magari yanayotembea, watu wanaotembea etc, hivyo cable zinaleta mpaka mahala fulani halafu wireless inamalizia ili kuhakikisha kila mtu anafikiwa.Kwanini service inaletwa kwa cable halafu tunakuja kusambaziwa kwa wireless?
hakuna eneo maalumu maana kazi yake ni kuzungusha tu hizo data kwenda maeneo mbalimbali, mfanoHizo cable zinachukua Internet kutoka wapi?
Nimekupata mkuu.hakuna eneo maalumu maana kazi yake ni kuzungusha tu hizo data kwenda maeneo mbalimbali, mfano
- unaangalia youtube, umesearch video ya kiba, ile request yako itapelekwa na waya hadi server za youtube marekani, kisha kule marekani itachukuliwa ile video na huo waya na kuletwa hadi Tanzania.
-unachat na rafiki yako china kwa snapchat, inamaana waya utapeleka msg yako kwenye server za snapchat marekani, kisha waya mwengine utachukua na kumpelekea msg yule rafiki yako wa china
hivyo kazi za hizo waya ni kusafirisha tu taarifa baina ya watumiaji na servers mbalimbali duniani, internet inazunguka dunia nzima hakuna aneimiliki ni kama vile barabara, Tanzania tuna miundo mbinu yetu, Kenya wana yao, Usa wana yao, China wana yao etc then kuna makampuni ya kimataifa yanaunganisha miundo mbinu ya nchi mbalimbali pamoja