Tanzania tunanunulia wapi/nchi gani Internet?

What produce internet!? What is internet!? Source of internet!??
Chukulia mfano situation hii

Wewe una game unacheza kwako, na jirani nyumba ya pili pia Ana game Hilo Hilo anacheza, mkataka mcheze pamoja, mkakonect games zenu kwa waya, nyumba ya tatu naye akapenda akaleta waya wake mkawa mnacheza pamoja, nyumba ya nne mpaka Mtaa mzima na wao wakaconect na waya zao, Hivyo Mtaa mzima kila mtu a naweza cheza games na mwenzake akitaka.

Internet sasa ni huo muunganiko wa waya, minara, kuunganisha Dunia nzima, haina mwanzo wala mwisho ni muunganiko.
 
Chief twende taratibu.. sie wengine ni slow learner.. Najitahidi kukuelewa lakini napata shida.

Chukulia mfano huu, Maji source yake ni muunganiko wa hydrogen na oxygen.. hivyo inaelezeka...

Vipi kuhusu internet!?

Mfano wa pili: what makes servers to be down!? Na kwa nini huwa tunasema internet haipo strong!??
 
Moaka sasa naona ni connections tuu. Ila swali ni kwamba source ya kitu kinaitwa intwrnet ni nini? Kinatokea wapi? Ni muunganiko wa nini na nini?
 
Chukulia mfano situation hii

Wewe una game unacheza kwako, na jirani nyumba ya pili pia Ana game Hilo Hilo anacheza, mkataka mcheze pamoja, mkakonect games zenu kwa waya, nyumba ya tatu naye akapenda akaleta waya wake mkawa mnacheza pamoja, nyumba ya nne mpaka Mtaa mzima na wao wakaconect na waya zao, Hivyo Mtaa mzima kila mtu a naweza cheza games na mwenzake akitaka.

Internet sasa ni huo muunganiko wa waya, minara, kuunganisha Dunia nzima, haina mwanzo wala mwisho ni muunganiko.

Yaani hapo umeeleweka nusu... asante.

Ila hawa wanaocheza game wanauziwaje data sasa ikiwa imefikia muda wa biashara?

Mkuu yaani swali haswa ni kwamba kwenye hizo waya utaratibu wa sisi kununua data upoje? Yaani MBs... yaani napotoa hela yangu hizo MBs zinatokatokaje !!?

Maana kwa mfumo unavyo onekana ni kama vile hii shughuli ni cheap sana ama sawa na bure ina kihuharisia ni gharama saaaanaaa
 
Wanaotoza hizo hela ni wamiliki wa miundombinu, kama ulikuwa Active wakati Halotel wanaanza biashara walikuwa wakisambaza waya nchi nzima, walikuwa wanachimba mifereji mtaani ili kupitisha hizo waya, pamoja na hizo waya pia wana minara, hio minara na waya za halotel zinaenda kuunganika na nyanya kuu za baharini.

Mfano umenunua kifurushi cha 1gb na unadownloAd movie, server ipo urusi, inamaana wewe na mwenye server wote mnalipia kutumia hio miundombinu ya watu kutoa kitu urusi mpaka kifike hapa Tanzania, ukimaliza kusafirisha GB yako moja wanakukatia mawasiliano.

Kwanini ni ghali? Kwanini wasituachie tu tutumie? Hii most of time inatokana na bandwidth, ule uwezo wa miundombinu kusafirisha hizo data.

Kama Halotel Backbone ya miundombinu yake ni 10gbps ina maana kila sekunde wanaweza safirisha hizo GB 10, Hivyo capacity yao ipo limited, wakiachia kila mtu a download anavyotaka kwa speed anavyotaka ujue miundombinu itazidiwa na miundombinu ikizidiwa ujue internet inakuwa slow sana.

Kukabiliana na hili ndio maana unaona kila siku tech mpya zinakuja kuanzia fiber yenyewe hadi minara ya 2g, 3g, 4g, 5g etc.
 
@chier-mkwawa wewe umebobea vilivyo kwenye haya maswala salute kwako... nadhani pia ili mtu aweze kukuelewa kuilahisi zaidi atahitaji primary knowledge kwanza then ukimshushia haya maelezo yako basi anaelewa faster.

Nitarudia tena kusoma baadae i hope nitaelewa.

Asante kwa kutochoka kujibu.
 
Chief twende taratibu.. sie wengine ni slow learner.. Najitahidi kukuelewa lakini napata shida.

Chukulia mfano huu, Maji source yake ni muunganiko wa hydrogen na oxygen.. hivyo inaelezeka...

Vipi kuhusu internet!?

Mfano wa pili: what makes servers to be down!? Na kwa nini huwa tunasema internet haipo strong!??
Server ni computer kama uliotumia wewe kuandika hii msg na yenyewe inaweza kufa, ama bando kuisha, internet ina connect wewe na hio computer nyengine inayoitwa server.

Kifurushi cha server kikiisha inamaana server itakuwa down, umeme uki katika server inaweza kuwa down, ama miundombinu kwenda hio server ikiharibika pia itakuwa down.

Hii miundombinu ina capacity yake kama tulivyozungumzia hapo juu, hii capacity ikizidiwa internet inaweza kuwa slow, ikizidiwa kwa watu kuwa wengi ama kwa hio miundombinu kupungua uwezo. Mfano labda voda Ana miundombinu mitano tofauti kupitisha data zake, ikitokea miwili imeharibika na idadi ya watumiaji ni ile ile automatic internet inakuwa slow.

Na Kuhusu what's make internet tuangalie huu mchoro
clientserver.gif

Kwa lugha rahisi hapo kuna client, server na link

Unaangalia video wewe ni client, unaangalia kupitia browser ile ni software ya client, ile software inakusaidia wewe kuomba ile video kwenye server.

Ili uombe video kwenye server unatumia isp kama Tigo, yeye anapokea maombi yako kisha na yeye anapeleka maombi kwa regional isp kama waya za baharini ambazo nazo zinawasiliana na isp wa server mpaka mwisho zinafika server za youtube, kupitia njia ilioombwa majibu yanarudi yakiwa na video husika.

Angalia haya maelezo ni rahisi zaidi.
 
Mkuu Chief Mkwawa, opera mini ina shida gani mbona kwangu inasumbua. Link zinafunguka namna hii
Screenshot_20210113-064311.jpg
 
Aah kumbe ni app ya Mchina hii. Nimekupata.
Ni App ukanda wa Scandinavia ule ila wa China wameinunua wanajaza tu matangazo siku hizi,

Kifupi wa China ama wafanyabiashara wasio na ethics wana nunua app zote nzuri nzuri maarufu na kuzijaza matangazo na Spyware mpaka zinakuwa hazitumiki tena, es file explorer, Mx player, opera etc.
 
Kwangu pia, wa China wana tabu sana. Hilo ni Tatizo la proxy zao, wapo busy tu kujaza matangazo.
Mkuu heshima kwako.
Naomba kama hutojali kama mdogo wako nisaidie hapa kwa hapa Nchini ni provider gani mzuri wa Internet na gharama zake zikiwa nzuri kwa vifurushi vy unlimited ambayo ni strong Internet pia, na je! Ni speed ipi nzuri kati ya hizi kwa shughuli za sever, hosting na mengineyo ?
 
Mkuu mambo ya server, hosting etc kama upo serious kabisa ni nje ya uwezo wangu,

Wapo providers kama Raha, simba net etc ambao wana deal na business to business na wanatoa dedicated speed unaweza kuwacheki.

Na ni vyema Pia Ukapitia Kwa wengine ambao tayari wanafanya hii kazi hapa Tanzania.
 
Ahsante mkuu
 
Raha fiber
Pic_1610036961759.jpg
Pic_1610036917203.jpg
Pic_1610036851553.jpg
 
Back
Top Bottom