Njiwa wangu
Senior Member
- Dec 5, 2020
- 146
- 289
Ahsante mkuu ngoja niwatafuteKwa Mtwara wapo, so nahisi mikoa mingine wapo pia.
Ahsante mkuu ngoja niwatafuteKwa Mtwara wapo, so nahisi mikoa mingine wapo pia.
Wanayo hii kituNawazaga posta kwa nini wasiwe na virtual postal box . Yaani sio lazima uwe na funguo wawe na mfumo unaomwezesha mtu kufungua box na kuweka anuani ya makazi itasaidia mtu kupata mzigo au barua moja kwa moja sio lazima kwenda kufungua box na kuangalia . Pia itaongeza wateja maana itakua rahisi kila anayetaka kutumia huduma zao kufungua account yake na kulipia mwenyewe