Daah kumbee...!! So nkikaa karibu na hiki kidude speed ya net inakuwa kubwa sanaa etii??.Vitofali hivyo vya njano hapo ukiviona ujue chini kuna network cable.... Vinakua karibu sana na lami kuliko vile vya Tanroads
Study more
Daah kumbee...!! So nkikaa karibu na hiki kidude speed ya net inakuwa kubwa sanaa etii??.
Tupe ushahidi wapi walisema.
Nawazaga posta kwa nini wasiwe na virtual postal box . Yaani sio lazima uwe na funguo wawe na mfumo unaomwezesha mtu kufungua box na kuweka anuani ya makazi itasaidia mtu kupata mzigo au barua moja kwa moja sio lazima kwenda kufungua box na kuangalia . Pia itaongeza wateja maana itakua rahisi kila anayetaka kutumia huduma zao kufungua account yake na kulipia mwenyeweNi kama walivyosemaga eti huduma za posta zinaenda kufa nikawaangaliaaa nikasema jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Yaani sasa hivi watu wa posta ndo wanachakarika vibaya mno.
Fiber optic na twisted pair cable ni transition medium tu . Kawa unataka internet isafiri umbali mkubwa na watumiaji ni wengi wanatumia optic fiber kwa sababu ya speed . Pia kama karibu na watumiaji ni wachache na sio karibu karibu unaweza tumia twisted pair cable mara nyingi wanatumia unshilded twisted pair (UTP) . Hao Facebook na wengine kazi yao kuhost hivyo program kwenye serverMkuu mm naomba ufafanuzi
Kwa mfano,youtube,facebook,yahoo,au mtandao wowote wenye saver ni lazima wawe na fibre cable yao kuzunguka duniani kote?au wao wanaingizaje mitandao yao kwenye hizo cable?
Kiukweli hao posta wanabebwa tu na serikali ila ni kama imejifia tu.Kwani iyo kampuni bado tu ipo hai ?.mi nilijua ishakufa maana naona kama vile awapo serious na kazi
Huwa nikienda kupokea mzigo Posta kunakuwa na ka foleni mkuu,Kiukweli hao posta wanabebwa tu na serikali ila ni kama imejifia tu.
Maana siku hizi tunatumia email na simu kuwasiliana,kutuma pesa tunatumia Mpesa.
Labda kutuma vifurushi kimataifa na bado kuna DHL ambao ndio wako smart kwa hiyo task.
Kutuma pesa kimataifa kuna Western union inafanya hiyo kazi.
Ishu za kutuma barua siku hizi ni very rare au hakuna
Kabla ya huo mkongo wa taifa,zamani internet ilikuwa inatufikia kwa njia gani?Wanaweza tumia njia kama
1. Satelite Internet, sema hii haitumiki sana ni kama backup tu.
2. Cable za Chini ya Bahari ama Nchi kavu, angalia hii picha kwa list ya provider
View attachment 1523682
Ukisikia mkonga wa Taifa ndio hizo cable, zinakuwa na bandwidth za maana, zaidi ya Terabyte kwa sekunde, kuna moja hapo inaenda hadi terabit 100.
Hizo cable ndio Internet Servoce Provider wanatumia kuunganisha na nje ya Bara la Africa.
Hii ni WAN-wide area network inayotumia waya...Mimi nilijua ni wireless?hakuna eneo maalumu maana kazi yake ni kuzungusha tu hizo data kwenda maeneo mbalimbali, mfano
- unaangalia youtube, umesearch video ya kiba, ile request yako itapelekwa na waya hadi server za youtube marekani, kisha kule marekani itachukuliwa ile video na huo waya na kuletwa hadi Tanzania.
-unachat na rafiki yako china kwa snapchat, inamaana waya utapeleka msg yako kwenye server za snapchat marekani, kisha waya mwengine utachukua na kumpelekea msg yule rafiki yako wa china
hivyo kazi za hizo waya ni kusafirisha tu taarifa baina ya watumiaji na servers mbalimbali duniani, internet inazunguka dunia nzima hakuna aneimiliki ni kama vile barabara, Tanzania tuna miundo mbinu yetu, Kenya wana yao, Usa wana yao, China wana yao etc then kuna makampuni ya kimataifa yanaunganisha miundo mbinu ya nchi mbalimbali pamoja
Mkuu mkonga umekuja Kuongeza Speed na capacity, mfano Kwa TTCL kabla ya Mkonga walikuwa wakitumia Simu ( Adsl) ila siku hizi wana njia za kisasa zaidi sababu Ya mkonga hivyo wameweza kuunganisha Taasisi nyingi.Kabla ya huo mkongo wa taifa,zamani internet ilikuwa inatufikia kwa njia gani?
Maana huu mkongo ni wa juzi juzi namaanisha miaka ya nyuma ya tisini na kitu huko....huu mkongo si ndio wanatumia fiber cable?
~ ISP wa hapa bongo wananunua internet kwa nani?
Internet ni Wan mkuu, Japo sio lazima Wan iwe internet, Sijaelewa hapo kwenye Wireless.Hii ni WAN-wide area network inayotumia waya...Mimi nilijua ni wireless?
Nimeiona hapo wire ndio inaleta internet kutoka ughaibuni mpaka hapa kwetu hii itakuwa Wide area network ambayo huwa ni wireless...sasa hii tutaitaje katika aina za network,maana inaunganisha dunia lakini kwa kutumia wire?Internet ni Wan mkuu, Japo sio lazima Wan iwe internet, Sijaelewa hapo kwenye Wireless.
Nimekusoma...hizo dial up connection zilikuwepo kwenye simu za mkononi za zamani zile philips na SiemensMkuu mkonga umekuja Kuongeza Speed na capacity, mfano Kwa TTCL kabla ya Mkonga walikuwa wakitumia Simu ( Adsl) ila siku hizi wana njia za kisasa zaidi sababu Ya mkonga hivyo wameweza kuunganisha Taasisi nyingi.
Na zamani kabisa mkuu hakukuwa na internet kabisa, enzi za mwalimu. Internet imeingia Africa 1995, na huku kwetu internet za mwanzo zilikuwa ni satelite tena tunaziona ziona tu kwenye mashirika kama World vision ukipita nje ya Ofisi zao unakuta Dishi kubwa.
Then zikafuatia Hizo internet za Simu aka Dial up Connection, speed mwendo wa Kobe, zenyewe TTCL wanakuletea simu ya Mezani nyumbani, kupitia hio simu ndio unapata Internet. Zilikuwa zikitumia zile waya zao za shaba za namna hii
Halafu baadae zikaja hizo fiber ila hazikuwa zikitosheleza, mpaka leo fiber zinaongezeka moja wapo ikiwa ni huo mkonga.
wide area network sio lazima iwe wireless mkuu, wire ama wireless ni kipitishio tu cha data.Nimeiona hapo wire ndio inaleta internet kutoka ughaibuni mpaka hapa kwetu hii itakuwa Wide area network ambayo huwa ni wireless...sasa hii tutaitaje katika aina za network,maana inaunganisha dunia lakini kwa kutumia wire?
Sawa chef👊wide area network sio lazima iwe wireless mkuu, wire ama wireless ni kipitishio tu cha data.
ndio mkuu wireless ni expensive, sababu wireless haina bandwidth kubwa kushinda waya. unaweza ukapitishwa waya mmoja tu mtaani wa 10gbps na mtaa mzima mkawa na internet ya maana.
mkuu kusema kweli huku mijini wameitandaza sana internet na speed si haba, sasa hivi ukienda Kariakoo maduka mengi yana fiber, hata mitandao yetu kama Halotel na Voda speed zao za 4g ni zaidi ya average speed ya dunia.
tatizo ni kwamba ipo katikati ya majiji tu ukitoka nje kidogo tu hakuna fiber na hata hizo 4g zinaanza kupotea, hivyo wanaofaidika wanakuwa ni wachache.
hio speed ni ndogo sana, ni bundle tu ya kawaida inauzwa na isp kibao, zuku na raha ni around laki 1 ama 1 na ishirini kwa 50mbps
Cjakupata hapo mkuu umemaanisha 100/50Mbps Ni speed ndogo sana... why? maana naona ni 4g iliyoiva kabisa hiyo..