Nimekupata.... by the way, niliwahi kuona habari kwamba Urusi wana internet yao.... sikuelewa kama manake wanataka kuwa cut off na grid za nje na wawe wanatumia mitandao yao tuKwa Nchi kama Zetu possibility hio ni kubwa sababu ya ukosefu wa miundombinu ikawa inazungushwa kupitia nchi mbalimbali mpaka kufikia destination, ila sio lazima iwe hivyo sababu hizi cable zinatembea Baharini, inaweza ikatoka moja kwa Moja Toka Tanzania hadi China bila kupitia popote.