Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Unataka akalime mkuu Wangu?

Urais ni taasisi chief
Kawadanganyeni wajinga wenzako huko, Rais gani ambaye awahamashishi watu wake kuchapa kazi kwa bidii,ili waweze kuzalisha ziada,na kuwapa wakulima pembejeo na mborea wapate kuzalisha ziada,Samia baada ya kumsaidia mwananchi yeye ndio anamrundikia mizigo ya tozo kibao,vitu vimepanda mara dufu kwa kipindi cha Miezi 6 ya uongozi wake,kila siku ni kuamashisha cha ya corona utafikiri katengeneza yeye.
 
14|10|2021

Kesho Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge karibu sana
 
Mkuu Salama.

Rudia kusoma vizuri hii mkuu
 
Mshamba sana wewe
14|10|2021

Kesho Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge karibu sana
Haya, mimi ni mshamba.

Naogopa hata kusema wewe ni kitu gani..., sijawahi kuona mtu anayejikomba zaidi yako kwa sababu tu ya ukoko sufuriani.

Unatia aibu sana na viji-mada vyako vya kipuuzi hapa.
 
Hii

14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,


_________________
 
Mshamba sana wewe
14|10|2021

Kesho Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge karibu sana
Huyo mtu wako unayemshobokea hata akikukojolea mdomoni, utaleta habari zake hapa kutueleza tukio hilo. Watu kama nyie katika jamii ni hasara tupu!
 
Nikweli yakipuuzi kwako unaliyedhani Samia atafeli,
Haya, mimi ni mshamba.

Naogopa hata kusema wewe ni kitu gani..., sijawahi kuona mtu anayejikomba zaidi yako kwa sababu tu ya ukoko sufuriani.

Unatia aibu sana na viji-mada vyako vya kipuuzi hapa.
maa
 
Ona ulivyo mpuuzi. Una IDs ngapi hapa?

Sasa umeniona mimi ni CHADEMA? Si ndio ukiazi huo ninaoukusemea hapa?

Kwa hiyo unajaza matakataka hapa ili CHADEMA wayajibu?
Akili za kichadema hizi, Jibu hoja kama huna kaa kimya, Mimi siku nikiandika kitu na Chadema mkanisifia naacha kuandika,
Mimi sitegemei kusifiwa na chadema
 
Mbona Mama anasema hawezi kuvaa vile viatu nilijua vinampwaya kumbe vinambana,
Huyu Mama atatupeleka tulipo stahili muda mrefu sana,
Mungu amlinde kama kazi anaipiga kwelikweli atawapiku marais wote huyu
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi
 
Unachati na mimi Mtoto wa Samia ID inakuhusu nini?
Wewe kama ni CCM unadharauje kazi hii inayofanywa na mwenzako?
Hujui "ID inanihusu nini"?
Ulipokuwa unajibishana nami kama CM, halafu unageuka na kuwa "mtoto" huoni uhusiano hapo? Sikukosea tokea mwanzo nilipokuita wewe kuwa ni 'kiazi', tena kile mbatata hasa!

Unapenda sana kupachika watu vitu visivyowahusu kabisa. CCM ipi unayoifikiria kuwa naweza kuwa mwanachama wake, au hata shabiki tu? Hii iliyooza toka juu hadi chini? Hii ya vilaza kama wewe mnapotafutia shibe, halafu mnakuja hapa na majina ya ajabu ajabu, eti "mtoto wa Samina"?

Kama anaye mtoto kama wewe atakuwa anajuta sana.
 
Mkuu kwema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…