Tanzania yavuka lengo la nchi za Afrika Mashariki kwa kujiwekea akiba ya fedha za kigeni

esther mashiker

JF-Expert Member
May 29, 2018
616
552
b68660f72f82d3bbec0c517b61588669.jpg

TANZANIA imeweka rekodi yake ya kuwa na akiba ya fedha za kigeni, sasa ikiwa na Dola za Marekani milioni 5,079.0, sawa na zaidi ya Sh trilioni 11, kiasi ambacho ni kikubwa zaidi tangu taifa hili lijipatie uhuru. Aidha, kwa kiwango hicho, Tanzania imevuka lengo la nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) la kujiwekea akiba ya fedha za kigeni inayokidhi uagizaji wa bidhaa kwa miezi 4.5. Akizungumza juzi jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya hali ya uchumi wa taifa na utekelezaji wa Bajeti ya Serikali katika kipindi cha nusu mwaka kwa mwaka wa fedha wa 2018/2019, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango alisema kwa akiba ya Tanzania, kiasi hicho kinaweza kukidhi kuagiza bidhaa na huduma kwa miezi mitano.

Hii ina maana kwamba, kiwango hicho cha akiba ya fedha za kigeni ni zaidi ya lengo la Serikali la kuwa na akiba ya fedha za kigeni inayokidhi uagizaji wa bidhaa na huduma kwa miezi 4. Uchumi wa taifa Alisema Uchumi wa Taifa umeendelea kuwa imara, ukikua kwa asilimia 7.1 katika mwaka 2017, ikilinganishwa na wastani wa ukuaji wa 7.0 kwa miaka miwili iliyopita, yaani 2015 na 2016. Na kwa nchi za EAC, uchumi wa Tanzania ulikuwa kwa kasi zaidi 7.1% mwaka 2017 ukilinganisha na Rwanda (6.1%), Uganda (5.1%), Kenya (4.9%) na Burundi (0.0%). Pia Tanzania iliongoza katika ukuaji wa Uchumi kwa nchi za SADC. Aidha, kwa mujibu wa Dk Mpango, nchi imeendelea kuwa miongoni mwa nchi 5 bora kwa kasi ya ukuaji wa uchumi katika bara la Afrika katika nusu ya kwanza ya 2018, ikijumuisha Ethiopia (8.5%), Ivory Coast (7.4%), Rwanda (7.2%), Tanzania (7.0%), na Senegal (7.0%).

Akizungumzia mfumuko wa bei, alisema kati ya Julai na Novemba 2018, Tanzania ilikuwa na kiwango kidogo zaidi cha mfumuko wa bei ikilinganishwa na Uganda (3.3%) na Kenya (4.8%). “Mfumuko wa bei umeendelea kupungua kutoka wastani wa asilimia 4.3 mwaka 2017/18 hadi kukia kiwango cha chini kabisa kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni cha asilimia 3.0 mwezi Novemba 2018,” alisema msomi huyo aliyebobea katika masuala ya uchumi na mipango. Mapato ya ndani Alisema katika kipindi cha miezi mitano ya kwanza ya utekelezaji wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19, Serikali imeweza kukusanya mapato ya ndani ya Sh trilioni 7.37 sawa na asilimia 88.9 ya makadirio ya kukusanya Sh trilioni 8.30 katika kipindi hicho.

Alifafanua kuwa, makusanyo hayo yanayojumuisha mapato ya halmashauri yamekusanywa kuanzia Julai hadi Novemba mwaka huu. Alisema katika makusanyo hayo, mapato ya kodi yalikia Sh trilioni 6.23 ikiwa ni asilimia 88 ya lengo la kukusanya Sh trilioni 7.04 kwa kipindi hicho.

Aliongeza kuwa, ongezeko la mapato yasiyo ya kodi limetokana na kuimarishwa kwa ufuatiliaji kwenye Taasisi, Mashirika na Kampuni kulikoiwezesha serikali kupata michango na gawio stahiki kutoka kwenye uwekezaji wake. Matarajio mwaka 2019 Akizungumzia matarajio hadi Juni 2019, Dk Mpango alisema uchumi unatarajiwa kuendelea kukua kutokana na uwekezaji mkubwa unaoendelea kwenye miundombinu wezeshi ya uzalishaji mali kama vile barabara, madaraja, bomba la mafuta, ujenzi wa reli kwa kiwango cha kimataifa na viwanja vya ndege; Ujenzi wa kituo cha kufua umeme utokanao na nguvu za maji katika Mto Ruji chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,100 kwa ajili ya matumizi ya majumbani na viwandani.
 
Purely politics. no
Proof given to warrant us to believe your story, what we know tuliaminishwa kuna fedha za kigeni za kutosha lakin uhalisia
Nchi ambayo tunasuasua kuuza nje kama vyakula matunda na mazao ya biashara tukapata fedha za kigen wakati tunanunua zaid nje
Hatuwezi kuwazidi Kenya wanaofaidika
Zaid na soko la vyakula na matunda hata maua na utalii. Sisi bado tunasonga nyuma.
 
Pure LIES!

The Bank of Tanzania (BOT) Monthly Economic Review of October 2018indicates that the country's overall balance of payments was a deficit of USD 276.4 million in the year ending September 2018 compared to a surplus of USD 1,810.2 million in the year ending September 2017, partly driven by widening of the current ...
 
Ni habari nzuri kwenye hilo la akiba ya fedha za kigeni.

Je, hii akiba inasaidia vipi shughuli za kuagiza na kungiza bidhaa na huduma kwa watanzania wa kawaida?

Au hio akiba ni kwa ajili ya serikali tu?

Usijibu kwa pupa maana tunaelimishana.
 
View attachment 983300

Mungu awasamehe tu.....maana mnadanganya mpaka sasa mnaanza amini uongo mliouanzisha wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajilinganisha na 'silly' East African countries, wakati wewe ndo unaongoza kwa kila kitu: aridhi, idadi ya watu, rasilimari, Bahari, Maziwa, nk....unasherekea kuizidi Burundi na Rwanda ambazo ni ndogo mara kumi ya Tz. Uganda landlocked, Kenya yenye uhaba wa aridhi, hicho sio kigezo cha kusonga mbele. Ndomaana tunaitwa 'The sleeping Giant'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni UONGO tena MKUBWA sana. BoT November 21, 2018 walitangaza kwa mwaka unaoishia September 2018 deficit kwenye Forex ilikuwa $276.4 millions.

Acheni kusifia uongo muwe mnafanya homework kabla ya KUKURUPUKA.

Ni habari nzuri kwenye hilo la akiba ya fedha za kigeni.

Je, hii akiba inasaidia vipi shughuli za kuagiza na kungiza bidhaa na huduma kwa watanzania wa kawaida?

Au hio akiba ni kwa ajili ya serikali tu?

Usijibu kwa pupa maana tunaelimishana.
 
Purely politics. no
Proof given to warrant us to believe your story, what we know tuliaminishwa kuna fedha za kigeni za kutosha lakin uhalisia
Nchi ambayo tunasuasua kuuza nje kama vyakula matunda na mazao ya biashara tukapata fedha za kigen wakati tunanunua zaid nje
Hatuwezi kuwazidi Kenya wanaofaidika
Zaid na soko la vyakula na matunda hata maua na utalii. Sisi bado tunasonga nyuma.
wewe mwehu! We have gold, gemstones, diamonds, Tanzanite nk Pesa za kigeni hazipatikani tu kwa exportation ya vitu Bali hata kuuza huduma za ndani, yero! Yeego masika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pure LIES!

The Bank of Tanzania (BOT) Monthly Economic Review of October 2018indicates that the country's overall balance of payments was a deficit of USD 276.4 million in the year ending September 2018 compared to a surplus of USD 1,810.2 million in the year ending September 2017, partly driven by widening of the current ...
Zero comment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom