Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Jpm yeye ulikuwa unamuamini eti. Alitupiga fix ameajiri walimu elfu 13 kumbe hata elfu mbili hawafiki, ila jpm kwa fix jamaniHata wakisema tuna Dola billion 50 Nani anaweza Ku verify kile wanachosema? Huyu mama na Serikali yake kitu pekee ninachoweza kuwaamini ni salamu tu zaidi ya hapo ni uongo Tu .