mwana siasa
Senior Member
- Aug 28, 2007
- 119
- 7
By the way hao jamaa wa Gotham Consultants wanawakilishwa na the so called local consultant (mjukuu wake JKN) ambaye alishawekwa kwenye magazeti na Usalama wa Taifa kuwa ni tapeli ambaye anatumia jina la hiyo ofisi(nadhani nyie watu wa jikoni mnajua who i am talking about here).
ninahisi huyu mtu ndo yule bwana anayejiita hapa mjini MAKONGORO NYERERE, kama ni yeye ni tapeli mkubwa kwanza kwa kifupi hana uhusiano wowowte na JKN ni kwa sababu tu walikuwa wanakaa karibu na mwalimu hapa msasani na hivyo ikampelekea kukua na watoto wa mwalimu toka utotoni mpaka hivi sasa , so huyu jamaa anachukuliwa kama mtoto wa mwalimu ,lakini kiukweli ana lolote,ukimwona mjini benzi kubwaa lakini mfukoni hana kitu
LOWASSA