Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Wakuu kwa aliye wahikufanya marekebisho NIDA ilichukua muda gani mchakato kukamilika
 
The whole Idea sounds really juicy and convincing lakini kama kawaida ya Tanzania, inaweza kuwa ni longo longo... lakini kama waliweza kuboresha passport then hii kitu inawezekana.
Leo ni mwaka 2025. Miaka 17 baada ya hili. Kuna watu wazima walio kuwa above 18+ years bado hawana NIDA
 
Nyuzi za NIDA za malalamiko zimekuwa nyingi sana na sababu ni kila kitu kinapelekwa kisiasa, na rushwa iliyokubuhu maana awamu ya urefu wa kamba ndio hao wachina wana ID na wako Kariakoo ila aliyezaliwa hana ID .
 
Back
Top Bottom