Tanzania na magrill milangoni na madirishani

Hii akili ya kuweka magrill kwenye milango na madirisha tumeipatia wapi?
Nyumba nyingi zimejengwa vizuri lakini ukikaa humo ni kama jela.
Ajali ya moto ikitokea ni ngumu sana kupona?
Mbona nchi nyingi hawaweki magrill je hawahofii usalama wa mali zao?
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanachonga grills kwenye taa za nje na taa za magari lakini mwisho wameona ni kitu cha kijinga, kwanini kwenye nyumba hawabadiliki?
Nyumba ni ya ghorofa floor ya tatu kuna grill la nini?
Nyimba ina fence ya ukuta na umeme grills za nini?
Watu wanaogopa fatuma. Unaijuwa fatuma?

Tunajijengea jela wenyewe halafu tunajiita kisiwa cha amani?
 
Subiri wazee wa kugecha kutoka Kanda maalumu wakutembelee usiku wakudhalilishe mbele ya familia yako ndio urudi uandike utopolo huu
 
Umenikumbusha zamani jirani yetu waliunguliwa na nyumba yao na kuua watu wanne, mashuhuda wanasema waliwahi kufika kuokoa lkn tatizo ilikuwa hayo magrill ilishindikana kuwaokoa wahanga kwa wakati.

Hapo ilikuwa tumetoka kuongeza ukuta home na grills za dirisha kwa sababu vibaka walikuwa hawaishi kutuibia, ilibidi bimkubwa aulize sasa tufanyaje tukiweka grill nyumba zikiungua hatuna pa kutoka tusipoweka grills tunaibiwa
Weka Magrili ya Madirisha ya Kufunga na Kufunguka (yenye Bawaba) ili yawe kama "emergency exits" wakati wa dharula.
 
Hii akili ya kuweka magrill kwenye milango na madirisha tumeipatia wapi? Nyumba nyingi zimejengwa vizuri lakini ukikaa humo ni kama jela.
Ajali ya moto ikitokea ni ngumu sana kupona?

Mbona nchi nyingi hawaweki magrill je hawahofii usalama wa mali zao?
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanachonga grills kwenye taa za nje na taa za magari lakini mwisho wameona ni kitu cha kijinga, kwanini kwenye nyumba hawabadiliki?

Nyumba ni ya ghorofa floor ya tatu kuna grill la nini?

Nyumba ina fence ya ukuta na umeme grills za nini?
Itakuwa umezaliwa juzi kiasi kwamba hulijui jiwe lililokuwa linaitwa fatuma.
 
Hii akili ya kuweka magrill kwenye milango na madirisha tumeipatia wapi? Nyumba nyingi zimejengwa vizuri lakini ukikaa humo ni kama jela.
Ajali ya moto ikitokea ni ngumu sana kupona?

Mbona nchi nyingi hawaweki magrill je hawahofii usalama wa mali zao?
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanachonga grills kwenye taa za nje na taa za magari lakini mwisho wameona ni kitu cha kijinga, kwanini kwenye nyumba hawabadiliki?

Nyumba ni ya ghorofa floor ya tatu kuna grill la nini?

Nyumba ina fence ya ukuta na umeme grills za nini?

Wewe uliyezaliwa dotcom jenga nyumba yako, dirishani na milangoni usiweke grill uturahisishie kazi sisi kina Kaka Jambazi

Tunarusha tu fatuma moja, mlango chali, tunajichukulia mali uliyoitaabikia kwa jasho shubamiti...
 
Hii akili ya kuweka magrill kwenye milango na madirisha tumeipatia wapi? Nyumba nyingi zimejengwa vizuri lakini ukikaa humo ni kama jela.
Ajali ya moto ikitokea ni ngumu sana kupona?

Mbona nchi nyingi hawaweki magrill je hawahofii usalama wa mali zao?
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanachonga grills kwenye taa za nje na taa za magari lakini mwisho wameona ni kitu cha kijinga, kwanini kwenye nyumba hawabadiliki?

Nyumba ni ya ghorofa floor ya tatu kuna grill la nini?

Nyumba ina fence ya ukuta na umeme grills za nini?
Ukifika umri wa kumiliki nyumba utapata majibu Bila kuambiwa.

Hata hizo grill siku ya kuzifitisha usipoweka mlinzi huzikuti.

Tatizo vijana hamjawahi kushuhudia mtu kaibiwa nyumba kaachiwa kiwanja kitupu.
 
Back
Top Bottom