Jawai
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 530
- 405
Licha ya serikali kupiga kampeni kila siku juu ya mpango wa kutokomeza malaria. Nimeshangazwa na haya mazoea ya Hotel na Lodge nyingi za Dar es Salaam kutofungwa net za mmbu kwenye vitanda vyao.
Labda, lengo za hotel/Lodge hizo ni kuhudumia wateja wa short time lakini anapokuja mgeni anayehitaji kulala anaumwa na mbu usiku kucha jambo ambalo linakuwa kero na linaweza sababisha kupata magojwa yanayosambazwa na mbu.
Sijui ni mamlaka gani zinahusika na kufanya ukaguzi na uthibiti wa hizi nyumba za kulala wageni.
Binafsi nashauri nyumba hizo zifunge net za mbu ili hiwe takwa la mteja kutumia au kutotumia.