Tanzania moja bei ya sukari toka Sh. 1,700 hadi 2,500

Unafuata mgao wa Kitimoto. Wale wapenda kitimoto wanunue cha kutosha wahifadhi kwenye mafridge yao au wakaushe kwa moshi![/QUOTE

wewe weweeeeeeeeeeeeee sema astakafulilaaaaaaaaaaahiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

yule kondooo aliezaliwa na maandishi ya lugha yetu si umesikia yameandikwajeeeeeeeeee
""Enyi wana wa Mungu Nyama ilio salaama ni kitimoto pekee naleta hii msg kwenu mliopotoka""na inasemekana
amechinjwa rasmi leo mchana sijui kama atakuelewa hukoaliko
 
Kuna ukweli mkubwa kuhusu huu mgao kwani nilimsikia Mbunge mmoja mhindi wa Lindi akisema kiwanda kinachozalisha sukari ni Kilombero tu na haipatikani. Mtibwa haizalishi, TPC haizalishi na wala Kagera haizalishi na haijajulikana tatizo ni nini. Niliposikia hivyo nilijimuvuzisha na kununua sukari ya kutosha nikakaa kimya. Uganda sukari ni Ushs 5000 hadi 6000 na supa maketi hawauzi zaidi ya kilo 10. Nafikiri tunaelekea kule uganda ilikofika muda si mrefu.
 
Serikali isiyo makini hayo ni mambo ya kawaida kwake!
Bse mwisho wa siku ata kwa rushwa kura itapata tuu!
 
sukari sio jambo la muhimu sana kama mafuta au umeme,people can live without sugar kwanza ni healthier option kama utatoa sukari kny diet yako
 
Mkulu kaenda nchi gani vile?, tumshauri akae hukohuko asirudi maana imetosha.
 
KANA KWAMBA AWAJATOSHEKA NA MGAO WA UMEME SERIKALI YA TANZANIA IKAHAMIA MGAO WA MAFUTA YA PETROL<br />
NA DIESEL NA SASA WAMERUDI NAMMGAO WA SUKARI JIHADHARI KAMA UNA KIASI KIDOGO SUKARI INAENDA KUUZWA ALFU 2 NA 500 MPAKA<br />
ALFU TATU WENI NDUGU WA KARIBU MTAARIFU NAMWENZAKO<img src="http://2.bp.blogspot.com/-I_YvxmV99TA/TkTyXF_gZbI/AAAAAAABsa4/Oavbdipyx1g/s1600/IMG_0758.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
mdosi hali mbaya kwa sasa, kafanyia hasara. Hiyo imepakuliwa jana ni imepigwa kimagendo. R.C na kamati yake wamelala ziiiiii.
 
Hivi kweli serikali ya Kikwete iko serious? Kwa nini bei ya sukari ambayo kiwanda kiko kilometa 50 tu toka mjini Bukoba iuzwe kwa shillingi 2500 badala ya shillingi 1700 kama serikali ilivyotangaza na wakati huo huo serikali yenyewe ikiwa kimya? Jambo hili limeendelea kwa muda mrefu sasa!
Shida ni nini? au tuseme haya ni malipizo ya matokeo ya kura alizopata Kikwete?
 
Back
Top Bottom