Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

Rwanda kama Rwanda ya Kagame imeishamaliza kazi bado phase II inakuja kwa ajili ya kusafisha magaidi wote na kuwapunguza nguvu and finally kuwa cripple wasinyayuke tena HONGERA RDF
 
Towards the end of last year yalifanyika makubwa sana baada ya wale jamaa kuvuka border
1. Tuliwatandika directly
2. With sadc tuliwatandika zaiei

there were no television then only actions
Mkuu 'Janja', naona sasa ni kama unanizungusha mbuyu!

"Tuwatandike sana 'directly', halafu hawo walioendelea kuteka miji, kiasi kwamba Nyusi akimbilie Rwanda kuomba msaada, ilikuwaje tukawashindwa kuwatandika?

Na kama hali ingekuwa hivyo unavyoisema hapa, haya ya Liberata Mulamula ya "kutaka Msumbiji wafanye mazungumzo na MAGAIDI", haya ni ya nini, mbona ni jambo la kushangaza sana?

Ninakuuliza haya maswali, siyo ya kiutaniutani, kwa sababu hii ni hali ngumu ambayo hata sisi inaweza kutukabili.

Majibu yako hapo juu hayaleti maana hata kidogo. Lakini nilikuchukulia kama mtu anayeweza kujadili jambo ajualo vizuri.
 
Unfortunately

unawaza in linear mode

tafuta any general wa JW kesho akupe shule ya nini tumefanya

mengine haya naona ni kama zile mbio zenu za kudai dsmokrasia kupitia chama kisicho na demokrasia

kazi ya last year November ni zaidi ya sweeping
 
1628928537573.png

Kazi iendeleee. Vijana wa Kagame wameshangaza dunia.
 
Sioni sababu ya kupeleka wanajeshi msumbiji, ni jukumu la wao kukaa meza moja na kumaliza tofauti zao, sie labda tupeleke madaktari na wauguzi na chakula,

Nimeona waliko wanajeshi wa Rwanda ni wazee na wamama tu vijana wote wake poring chakula kitatoka wapi?
 
Tunapeleka majeshi kupambana na raia wanaopigania LNG yao isiporwe na walowezi, kwa faida ya nani? Africa mbona tuna kuwa wapumbavu hivi?
 
Hao Raia wanaopigania gesi,kuchinja Raia wenzao kama wanyama ndo gesi haitatoka?bro unaongea nini sasa?wangekuwa na akili si wangepigana na viongozi wao vilaza walioingia mikataba ya kishenzy au wangepigana na hao tunaowaita mabeberu?unajua namna gani wanaua kikatili raia wasio na Hatia?unajua vile kina mama,watoto,wazee,na wagonjwa wanavyoteseka?anyway unaweza kuwa right kwa maoni yako
 
Hao Raia wanaopigania gesi,kuchinja Raia wenzao kama wanyama ndo gesi haitatoka?bro unaongea nini sasa?wangekuwa na akili si wangepigana na viongozi wao vilaza walioingia mikataba ya kishenzy au wangepigana na hao tunaowaita mabeberu?unajua namna gani wanaua kikatili raia wasio na Hatia?unajua vile kina mama,watoto,wazee,na wagonjwa wanavyoteseka?anyway unaweza kuwa right kwa maoni
Hao Raia wanaopigania gesi,kuchinja Raia wenzao kama wanyama ndo gesi haitatoka?bro unaongea nini sasa?wangekuwa na akili si wangepigana na viongozi wao vilaza walioingia mikataba ya kishenzy au wangepigana na hao tunaowaita mabeberu?unajua namna gani wanaua kikatili raia wasio na Hatia?unajua vile kina mama,watoto,wazee,na wagonjwa wanavyoteseka?anyway unaweza kuwa right kwa maoni yako
Jessica hijawahi kuwa suluhisho
 
Unfortunately

unawaza in linear mode

tafuta any general wa JW kesho akupe shule ya nini tumefanya

mengine haya naona ni kama zile mbio zenu za kudai dsmokrasia kupitia chama kisicho na demokrasia

kazi ya last year November ni zaidi ya sweeping
Unasema "ninawaza 'in linear mode'"; lakini nikiangalia majibu yako hayana 'logic' yoyote ndani yake!

Kwa hiyo, niwe ninawaza in 'linear mode' or in whatever mode, sioni chochote cha kuwaza katika unayoandika hapa ila unazungukazunguka tu ukidhani unaojibishana nao wamepungukiwa kichwani kama unavyoonekana kuwa na upungufu huo.

Kwa mfano: hili na "mengine haya ni kama zile mbio zzenu za kudai dsmokrasia kupitia chama kisicho na demokrasia" yanahusiana vipi na haya tunayojadili hapa ndani ya mada hii!
Kama unataka tujadili hili, sema tugeukie huko, kwa sababu sioni uwezo ulionao kueleza mapungufu yanayokikabili chama cha CCM kama kilivyo sasa hivi.

"Kazi ya last year November ni zaidi ya sweeping"; halafu hapo hapo hao waliokuwa wamefagiliwa mbali wanateka miji? Unayo akili timamu wewe?
 
Watu wanapigania rasilimali zao, sie tunaenda kuwaongezea machungu walipigana kumwondoa mreno wakaleta mreno mweusi
Hivi kipindi kile Wana Mtwara wanasema gas yao haitoki waliua watu wangapi na waliteka maeneo mangapi huko Mtwara?
 
Unasema "ninawaza 'in linear mode'"; lakini nikiangalia majibu yako hayana 'logic' yoyote ndani yake!

Kwa hiyo, niwe ninawaza in 'linear mode' or in whatever mode, sioni chochote cha kuwaza katika unayoandika hapa ila unazungukazunguka tu ukidhani unaojibishana nao wamepungukiwa kichwani kama unavyoonekana kuwa na upungufu huo.

Kwa mfano: hili na "mengine haya ni kama zile mbio zzenu za kudai dsmokrasia kupitia chama kisicho na demokrasia" yanahusiana vipi na haya tunayojadili hapa ndani ya mada hii!
Kama unataka tujadili hili, sema tugeukie huko, kwa sababu sioni uwezo ulionao kueleza mapungufu yanayokikabili chama cha CCM kama kilivyo sasa hivi.

"Kazi ya last year November ni zaidi ya sweeping"; halafu hapo hapo hao waliokuwa wamefagiliwa mbali wanateka miji? Unayo akili timamu wewe?
Haki ya mama sijaelewa umeandika nini

punguza hasira Mzee mwenzangu ukisoma Kwa utuo utaelewa tu kuhusu our role (which you tried to downplay it) kule msumbiji

maybe sababu ya umri, na linear thinking yako naweza kupanga Mlolongo wa matukio kama ifuatavyo
1. Before Sisi kwenda - walivuka mipaka na kuua watu wetu na kuteka , Bahati mbaya wakija hadi askari wetu
2. Baada ya hilo and a few formal communications - jeshi letu likavuka kwenda kufanya kazi ya kuwatandika … na walipigika mno (zaidi ya sweeping)
3. Baada ya hapo kukawa na zoezi la pamoja under sadc coordination ammbapo mataifa mengi yalishiriki, including walio nje ya sadc

kuhusu kuwa na Akili timamu au la ntaacha ukitulia ujijibu mwenyewe
Punguza hasira mkuu, utaupasua Moyo wako bure

kula vizuri, Fanya mazoezi, elewa kiasi tu na usiweke sana hizi posts to heart zitakupa sonona
 
Haki ya mama sijaelewa umeandika nini

punguza hasira Mzee mwenzangu ukisoma Kwa urio utaelewa tu kuhusu our role (which you tried to downplay it) kule msumbiji

maybe sababu ya umri, na linear thinking yako naweza kupanga Mkoli go wa matukio kama ifuatavyo
1. Before Sisi kwenda - wapi ila mipaka na kuua watu wetu na kuteka , Bahati mbaya wakija hadi askari wetu
2. Baada ya hilo and a few formal communications - jeshi letu likavuka kwenda kufanya kazi ya kuwatandika … na walipigika mno (zaidi ya sweeping)
3. Baada ya hapo kukaa na zoezi la pamoja under sadc coordination ammbapo mataifa mengi yalishiriki, including walio nje ya saec

kuhusu kuwa na Akili timamu au la ntaacha ukitulia ujijibu mwenyewe
Punguza hasira mkuu, utaitwa a Moyo wako bure

kula vizuri, Fanta mazoezi, elewa kiasi tu na usiweke sana hizi posts to heart zitakupa sonona
Usitafute kupotosha kitu kisichokuwepo.

Hakuna mahali popote ninapo"down play our role", ambayo haipo! Ninafahamu na wala sihoji uwezo wa vijana wetu. Wakipewa kazi sina shaka na kazi yao.

Tatizo lililopo, ni watu kama wewe, na hao walioko huko serikalini na ndani ya chama cha CCM. Ubovu wenu mwishowe mtauhamishia kwa vijana hawa na mwishowe nao kazi zao zianze kuwa za mashaka.

Tukiendelea na ubabaishaji kama unaojionyesha sasa hivi dhahiri na viongozi hawa miaka minne hii inayofuata, si vigumu kuona maeneo ya kutegemewa kama hii taasisi ya walinzi wa nchi yetu na yenyewe ikaguswa na kuwa ya ubabaishaji, kama unavyoonyesha wewe mwenyewe hapa.

Kiufupi, kuhusu maneno ya mwisho katika mstari wako wa mwisho ni kwamba: Wherever Tanzania is concerned, I will have no regrets to expressing my feelings towards her no matter what.
 
In linear way
1. I have never been a ccm member wala supporter
2. I have never worked for the government of Tanzania
3. I raise kids who tormented in the frontline

Unatatizika bila sababu na wewe ni mkongwe

I have my kids sacrificing their lives to protect idiots like you
 
Back
Top Bottom