Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

In linear way
1. I have never been a ccm member wala supporter
2. I have never worked for the government of Tanzania
3. I raise kids who tormented in the frontline

Unatatizika bila sababu na wewe ni mkongwe

I have my kids sacrificing their lives to protect idiots like you
A hoodlum like yourself can have no kids to raise!

But, if indeed you have ever raised any kid as you claim here, that kid had an unexpected misfortune of having a lunatic as a father.
 
See? Need I say more!
You can

as an idiot proMax - you can say anything

huna sacrifice yoyote, you don’t spend sleepless nights praying and wishing for your kids to come home kutoka frontline wala njni… to some of us, every unknown number calling elevate our pressure significantly

wewe ni kula, kunya na kuitukana serikali

I don’t even know why I am wasting my time for wide hole bitches like you
 
EeenHeee, Aiiiseee!
Siyo kwa mtu lofa kama wewe!
 
EeenHeee, Aiiiseee!
Siyo kwa mtu lofa kama wewe!
Get a life old fart

you have nothing to show except matusi Kwa serikali tu… ndio mnaokimbisa watoto wenu nje ya nchi halafu mnabaki kutukana the true patriots

Yet… everything you have in mihuri ya aerikali

mpumbavu sana wewe
 
Ningependa sana kujadili hilo la "the true patriot", lakini najua hapa kwako sina mtu wa kujadili naye jambo muhimu kama hilo.

Hata sielewi hilo neno umeliokota okota kivipi, maana akili yako ni kama 'ectopic pregnancy', haijulikani inaposimamia ni wapi hasa!

Regarding "getting a life" that should be the least of your concern, because you can never dream of achieving what I have achieved.

However, I should hasten to let you know, all I have achieved, it's all thanks to the gallant people of this land who made it possible for me, and I am for ever indebted to this motherland till my last breath escapes my lungs.

That is why it pains so much to see the likes of you destroy that was carefully put together for the benefit of the people of this nation, and which is why we will not allow you do it willy-nilly.
 
Good gramma
 
Mkuu 'Janja', naona sasa ni kama unanizungusha mbuyu!

"Tuwatandike sana 'directly', halafu hawo walioendelea kuteka miji, kiasi kwamba Nyusi akimbilie Rwanda kuomba msaada, ilikuwaje tukawashindwa kuwatandika?

Na kama hali ingekuwa hivyo unavyoisema hapa, haya ya Liberata Mulamula ya "kutaka Msumbiji wafanye mazungumzo na MAGAIDI", haya ni ya nini, mbona ni jambo la kushangaza sana?

Ninakuuliza haya maswali, siyo ya kiutaniutani, kwa sababu hii ni hali ngumu ambayo hata sisi inaweza kutukabili.

Majibu yako hapo juu hayaleti maana hata kidogo. Lakini nilikuchukulia kama mtu anayeweza kujadili jambo ajualo vizuri.
Kwa kumbukumbu zangu hawa watu walivamnia Tanzania wakati wa uchaguzi 2020 na pia kufanya mauaji na kilichofanyika ni operesheni ya kuwasaka kwenye misitu ya ndani na na maeneo ya ndani ya msumbiji karibu na mpaka wetu na wakishirikiana na msumbiji na pia kwa mujibu wa siro alisema walikuwa na ushirikianoano na baadhi ya watanzania maana walichunguza kugundua walikuwa wanachoma nyumba na baadhi kwa makusudi wanazi ruka hatahivyo ambacho hakiongelewi ni kuwa baada kifo cha Magu nadhani misimamo ama sera ya Serikali ni kama imekuwa tofauti
 
Risk kubwa ni or msimamo wa serikali ukibwdilika

Hawa sio watu kabisa

Na wengi walio kule ni wabongo
 
Ni kweli wengi wao ni watanzania na ndio maana hata Msumbiji baadhi yao walikuwa wanadhani ni mchezo wa Tanzania kwa vike mradi wao wa gesi uliathili ule wa upande wa Tanzania na kwa vile wao wanayo nyingi na pia kulingana na miktaba ama makubaliano yao kuathili makubaliano na wawekezaji upande wetu na hivyo TZ ikaamua kucheza hilo game na yawezekana ndiyo hata sababu ya wao kwenda kuomba usaidizi Rwanda hata kama haiongelewi
 
Sure thing

je, sadc mission ni sustainable?

maana naskia jamaa wameshavuka na kurudi huku kwetu na wanajipanga upya
 
Kuvuka sina uhakika ila kuna ulinzi mkali wa JWTZ na kikosi maalum cha polisi pia sababu hilo eneo tete maana hata resource za mashirika ya wakimbizi zinaliona eneo hilo ni tete sawa na lile la Ethiopia huko Tigray mfano kuna kambi moja kigoma( Mtendeli)imefungwa sababu fund zimepungua na zinaelekezwa maeneo tete zaidi na mojawapo ni huko mtwara na msumbiji kifupi kazi bado mapema kusema Itatulia,maana hata wakimbizi wakiingiaTanzania wanarejeshwa tena upande wa Msumbiji ulio salama maana ni ngumu kuwatofautisha
 
Kwa kumbukumbu zangu hawa watu walivamnia Tanzania wakati wa uchaguzi 2020 na pia kufanya mauaji na kilichofanyika ni operesheni ya kuwasaka kwenye misitu ya ndani na na maeneo ya ndani ya msumbiji karibu na mpaka wetu na wakishirikiana na msumbiji na pia kwa mujibu wa siro alisema walikuwa na ushirikianoano na baadhi ya watanzania maana walichunguza kugundua walikuwa wanachoma nyumba na baadhi kwa makusudi wanazi ruka hatahivyo ambacho hakiongelewi ni kuwa baada kifo cha Magu nadhani misimamo ama sera ya Serikali ni kama imekuwa tofauti
Mkuu 'gataca', kuna jambo hapa ambalo sio la kawaida, na huyu 'Janja', anayejifanya kueleza inaelekea hana kitu anachokielewa, lakini anataka watu tudhani anajuwa kitu, kumbe hana lolote!.

Jambo lisilo la kawaida ni kusikia Waziri wetu Liberata Mulamula akisema pafanyike mazungumzo, hili siyo jambo la kawaida.
Jambo lisilo la kawaida ni kusikia Wizara yetu ya Mambo ya nchi huko siku za nyuma ikitataa ushiriki wetu ndani ya SADC katika kuwasaidia Msumbiji, lakini miezi kadhaa tunajikuta tunabadili msimamo huo!

Haya siyo mambo yaliyozoeleka kwa nchi yetu hii ya Tanzania ambayo historia yake inafahamika kwa misimamo thabiti kwenye maswala kama haya.

Linaloshangaza zaidi ni kwamba hawa magaidi mwanzo wao/wanakotokea ni kama panafahamika vyema, na uhusika wetu na wao ni kama unajulikana vizuri. Sasa maana ya kujichanganya huku kwa serikali yetu sababu yake kuu ni nini hasa?

"Janja' anazungumzia mambo hapa kama mlevi fulani tu, na wala hajibu hoja yoyote inayowasilishwa kuijibu.

Binafsi sina shaka yoyote na uwezo wa vijana wetu kuwakabili hawa magaidi kama wakiamuriwa kufanya kazi hiyo, iwe humu humu ndani kwetu au huko Msumbiji. Tatizo ni hili la mikanganyiko inayowekwa na serikali.

Hatuwezi kuwa nchi ya kuanza kuangalia vinchi kama Rwanda wanafanya nini, halafu ndio na sisi tuanze kujitetea au kudanganya watu kwamba tumefanya makubwa huko, ambayo ushahidi unaoonekana ni kwamba hakuna tulichofanya huko, maanake tungekuwa tumefanya, Rwanda wasingekuwa na sababu ya kwenda huko na kujitangazia kazi kubwa waliyofanya katika muda wa wiki moja tu baada ya kuwasili huko!
Sure thing

je, sadc mission ni sustainable?

maana naskia jamaa wameshavuka na kurudi huku kwetu na wanajipanga upya
Unaona jinsi ulivyo 'bogus' wewe!

Hivi hata chembe ya aibu kichwani mwako huna?
 
Risk kubwa ni or msimamo wa serikali ukibwdilika

Hawa sio watu kabisa

Na wengi walio kule ni wabongo
EeeeHeeee!

Sikujuwa kwamba huna kitu kiasi cha namna hii unayoionyesha hapa!

Mwanzo nilishawishika kukupa 'the benefit of the doubt', kumbe ni mtupu hivi?

Sina muda wa kupoteza nawe tena.
 
Back
Top Bottom