Tanzania inazidi kuchafuka kimataifa!!

Tanzania inazidi kuchafuka kimataifa!!

Acha kupenda kuliwa ubwabwa wewe. Kwa hiyo hizi gharama za chumba cha USD 400 per night, ziliwekwa kwa ajili ya akina nani sasa ? Wakati hizo hela apa bongo wapo watu wanaweza kumudu kulala hata kwa siku 4.
Kama unaliwa ni wewe na nyie ndiyo mawakala wa LGBTIQ maana mnapewa fedha nyingi ili mje msambaze vilainishi vya wasenge
 
If someone travels to support a fellow activist like Tundu Lissu in court, it doesn’t automatically mean there’s a hidden LGBTIQ agenda behind it.

ukisema kila anayetetea haki ana ajenda fiche, tunatengeneza mazingira ya woga na kuua uhuru wa kusema. That is how authoritarianism creeps in—by labeling dissent as foreign-influenced or evil.

suala la usafiri wa Business Class au kulala hotelini kwa gharama ya juu si hoja yenye uzito wa kimaadili kama hakuna ushahidi kuwa fedha hizo zimetoka kwa njia ya kifisadi au kwa matumizi yasiyo halali. Kuna watu wengi wanaofadhiliwa kisheria au kwa misingi ya kazi zao. Hii siyo sababu ya kupunguza uhalali wa hoja zao.

Kuwapinga watu kama Boniface Mwangi na Agatha Athuhire kwa tuhuma zisizo na ushahidi ni kushindwa kwa hoja. Tujikite kwenye substance ya wanachosema badala ya kuangalia nani kawatuma au walilala wapi. Mbona viongozi wetu wanalala hotels za $1000 per night bila hata kuwajibika kwa wananchi, hatulalamiki?
Mpaka ninayasema haya nimeyafanyia kazi. Naomba ufungue hii link halafu urudi hapa:-

View: https://www.instagram.com/reel/DJ6jyHkoMCQ/?igsh=MWxycTZ4dHpqZnYzbA==
 
Wewe pimbi unaona $400 kama pesa ndogo, utakuta ni umeajiriwa na wahindi Kisutu halafu unaishi chumba cha kupanga Buguruni Kwa Mnyamani
Acha ulofa wewe sio kila mtu ni muajiriwa kama wewe mavi , hiyo laki 9 ni yakuhongea mke wako yule muuza mbususu
 
Nyie wajinga mmoja mmoja ndiyo mnaharibu hili Taifa Kila kitu Kiko wazi usikute nyie ndiyo mnamdanganya Mama wa watu,Kila binadamu anakosea ukijua Kuna sehemu umekosea ni rahisi kusahihisha,Mama hao inner Circle yako anza kuwaza tofauti jinsi ulivyokuwa unawaona mwanzo.
Tungekosea sisi Ruto asingeomba msamaha dhidi ya wale wakora kutoka Kenya. Msikilize hapa William Ruto

View: https://youtu.be/IBXn4Yd8_bM?si=LuoEtI7TidCGdRjl

Ukisikia Watanzania malaya ndiyo kama nyinyi. Mko tayati kulamba matako ya akina Boniface Mwangi na Agather kisa wanaongea English, sijui mnajisiaje
 
Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.

Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??

Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Nimefanya facts check kwa kutumia various platform
- kwanza hakuna mahali tz, popote pale tanzania walikuja ku promoto mapenzi ya jinsia moja
-pili kulala serena hotel si jambo jipya, viongoz wa nchi hii huwa wanafanya hivyo, na huitaji kuwa tajiri kulala serena. Mtu wa kawaid aukijipanga vizuri unalala . Mtoa mada uache ushamba
Tafuta pesa kidogo

- pili hawakuwa na kosa kisheria, ndio maana hawakupelekwa mahakamani wala kufunguliwa kesi

Ilikuwa rahisi sana kuwaondoa kwa akili bila kutumia nguvu. Lakin wahusika wakakurupuka

Ndio image ya taifa imechafuka, na hapa ni mwanzo tu
 
Mataifa gani hayo unayoyaogopa? Haya yanayofadhili shughuli za ushoga?

Kuja kusikiliza kesi ya Tundu tu? Are you okay kwenye brain yako?
Mbona hushangai wazungu wanatoka America kuja bongo kwa ajili ya kumuona Nyani Mikumi?
 
Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha!

Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo.

Habari za Agatha na Boniface kuteswa kingono zimeshavuka mipaka ya Tanzania.

Sifa ya nchi ishachafuka na watawala wamekuwa mabubu!

Leo tumezungumziwa hivi na Firstpost:
==============
Wanaharakati wawili kutoka Kenya na Uganda wameibuka hadharani wakitoa madai ya kusikitisha kuhusu ukatili wa kingono waliodai kufanyiwa walipokuwa kizuizini jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wanasema walikamatwa baada ya kuonyesha uungwaji mkono kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya uhaini.

Kwa mujibu wa wanaharakati hao, walitekwa kutoka katika vyumba vyao vya hoteli, wakawekwa chini ya ulinzi mkali, na kuhojiwa kwa muda mrefu huku wakikumbana na vipigo na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa maafisa wa usalama wa Tanzania. Maelezo yao yanatisha na yanaonyesha hali ya kuvunjwa kwa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa unaozidi kushika kasi kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

View attachment 3354924
Aibu sana!
 
Unajifanya mzalendo wa keyboard ilhali akili yako imeparaganyika kama network ya Airtel usiku wa mvua. ,,Unasikitisha.!
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu gentleman, hizo porojo nyingine mdeal nazo wenyewe 🐒
 
Wewe pimbi unaona $400 kama pesa ndogo, utakuta ni umeajiriwa na wahindi Kisutu halafu unaishi chumba cha kupanga Buguruni Kwa Mnyamani
Kumbe mifukara mingi imekimbilia kwenye uchawa Sasa $400 ni pesa ya kuongea mbele ya Wanaume
 
Wakati enzi zile yule bwana alifanya mambo yanayofanana kama hayo na wewe ulikuwa mstari wa mbele ukisema ananyosha nchi na victims mliwaita wajinga na wamejitakia.

Sometimes haya mambo bwana mpaka yakukute ndio utaelewa.
Bado hakuhalalishi vitendo vya Samia kutuma vibaka wake wateke,walawiti na waue watu.
 
Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha!

Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo.

Habari za Agatha na Boniface kuteswa kingono zimeshavuka mipaka ya Tanzania.

Sifa ya nchi ishachafuka na watawala wamekuwa mabubu!

Leo tumezungumziwa hivi na Firstpost:
==============
Wanaharakati wawili kutoka Kenya na Uganda wameibuka hadharani wakitoa madai ya kusikitisha kuhusu ukatili wa kingono waliodai kufanyiwa walipokuwa kizuizini jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wanasema walikamatwa baada ya kuonyesha uungwaji mkono kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya uhaini.

Kwa mujibu wa wanaharakati hao, walitekwa kutoka katika vyumba vyao vya hoteli, wakawekwa chini ya ulinzi mkali, na kuhojiwa kwa muda mrefu huku wakikumbana na vipigo na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa maafisa wa usalama wa Tanzania. Maelezo yao yanatisha na yanaonyesha hali ya kuvunjwa kwa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa unaozidi kushika kasi kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

View attachment 3354924
Tokea nchi ipate uhuru hatujawahi kuwa utawala wa kikatili kama huu, kibibi hiki kinafanya ukatiki huku kikiiba mali za nchi na hakifanyi maendeleo yoyote.
The funny part bungeni wanashauri Doto Magari and the likes ndiyo wawe wasemaji wa nchi kumlinda huyo Chura Kiziwi.
 
Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.

Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??

Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Cheap and pathetic excuse, Lissu hao ni wenzake(lawyers and activists) na hizo 400$ wewe mganga ndiyo unaona nyingi. Caliber ya hao hakuna wa kushindwa gharama hizo, wewe endelea kunywa chai ya rangi na mandazi huku ukidhani watu wote wanaishi hiyo standard yako.
 
Mwizi huwa hapendi kuibiwa kabisa, na wakiiba wanalinda walichokiiba kwa nguvu kubwa sana.

ukisikia kisiwa cha amani jiulize anayosema hayo nani na anaambiwa nani.

Utajua watawala ndio husema huko nje kwamba Tanzania ni kisiwa cha amani.
 
Kumbe mifukara mingi imekumbilia kwenye uchawa Sasa $400 ni pesa ya kuongea mbele ya Wanaume
Hapo ndipo na mimi nilipomshangaa, 400$ anaona nyingi, hii ni type ya machafuchafu wa Uswahilini.
 
Back
Top Bottom