Tanzania inazidi kuchafuka kimataifa!!

Tanzania inazidi kuchafuka kimataifa!!

Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.

Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??

Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Huwezi elewa mambo ya kitaifa, wewe jikite zaidi kiwilaya na vitongoji vyake
 
Use your common sense dude, mbona ameomba msamaha kwa Gen Z wao huko Kenya.
Hii ilikuwa ni general kwa wote ambao kwa namna moja au nyingine amewakwaza and this includes Tanzania, Uganda and Kenyan Gen Z, sasa Wabongo msivyokuwa na akili mnalichukua kitofauti kabisa just to please your wishful thoughts.
Wewe unaongelea common sense gani uliyokuwa nayo. Bwege nimekuwekea voice clip link bado unabisha.

Ndiyo maana mtu yeyote anayemnyenyekea mkenya namuona ni mlamba matako ya wakenya tu
 
Huwezi elewa mambo ya kitaifa, wewe jikite zaidi kiwilaya na vitongoji vyake
Ni kitu gani cha kimataifa sikijui? Nenda jukwaa la International ukaone threads zangu wewe pakashume
 
Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.

Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??

Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Mkuu jaribu kufikiri nje ya mipaka

Nyani Ngabu kama akija bongo anatumia bonus yake ya kazini kwenda na kurudi na hapo hajagusa salio lake la mshahara....
 
Sina shida na matumizi ya hela yake aliyotafuta kwa jasho lake.

Ninapata ugumu kumuona Mkenya anasafiri kutoka Nairobi kwa gharama hizo nilizozitaja kuja kuhudhuria kesi ya Tundu??
 
Back
Top Bottom