G
guest-1790917349
Guest
Kuongea ni rahisi snHatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.
Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??
Jaribu mkuu kushirikisha halamashauri ya kichwa chako kabla hukatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kutakuwa dispenser ya mate tu