Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Ndo limeshafika kimataifa sasa. Mnatesa na kunyanyasa kingono watu. Jiandaeni kuchukuliwa hatua kali.Hii siyo Jamhuri ya Mabwege kama Wakenya wanavyotaka kutuchukulia. Hii ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iheshimiwe. Kama hawawezi kutupa heshima kwa hiari, tutatumia njia yeyote ile watuheshimu.
Kama hao wanaharakati wenu watathubutu kuja tena Mahakamani kwenye kesi ya Tundu, uniite mbwa niko pale Kimara Kibo