Tanzania inazidi kuchafuka kimataifa!!

Tanzania inazidi kuchafuka kimataifa!!

Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha!

Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo.

Habari za Agatha na Boniface kuteswa kijinsia zimeshavuka mipaka ya Tanzania.

Sifa ya nchi ishachafuka na watawala wamekuwa mabubu!

Leo tumezungumziwa hivi na Firstpost:
==============
Wanaharakati wawili kutoka Kenya na Uganda wameibuka hadharani wakitoa madai ya kusikitisha kuhusu ukatili wa kingono waliodai kufanyiwa walipokuwa kizuizini jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wanasema walikamatwa baada ya kuonyesha uungwaji mkono kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya uhaini.

Kwa mujibu wa wanaharakati hao, walitekwa kutoka katika vyumba vyao vya hoteli, wakawekwa chini ya ulinzi mkali, na kuhojiwa kwa muda mrefu huku wakikumbana na vipigo na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa maafisa wa usalama wa Tanzania. Maelezo yao yanatisha na yanaonyesha hali ya kuvunjwa kwa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa unaozidi kushika kasi kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

View attachment 3354924
Steve Nyerere na machawa wenzako mpelekeeni huu ujumbe Mama yenu, analihaibisha taifa.
 
Attachments

  • IMG_20250603_153414.jpg
    IMG_20250603_153414.jpg
    109.8 KB · Views: 12
Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.

Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??

Jaribu mkuu kushirikisha halamashauri ya kichwa chako kabla hukatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kutakuwa dispenser ya mate tu
😆kila mahali upo
Ila Hapa hujaomba video
 
Watu wengi hawaijui nchi yao vizuri wanapelekwa tu na wanaharakati uchwara.
 
Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha!

Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo.

Habari za Agatha na Boniface kuteswa kingono zimeshavuka mipaka ya Tanzania.

Sifa ya nchi ishachafuka na watawala wamekuwa mabubu!

Leo tumezungumziwa hivi na Firstpost:
==============
Wanaharakati wawili kutoka Kenya na Uganda wameibuka hadharani wakitoa madai ya kusikitisha kuhusu ukatili wa kingono waliodai kufanyiwa walipokuwa kizuizini jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wanasema walikamatwa baada ya kuonyesha uungwaji mkono kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya uhaini.

Kwa mujibu wa wanaharakati hao, walitekwa kutoka katika vyumba vyao vya hoteli, wakawekwa chini ya ulinzi mkali, na kuhojiwa kwa muda mrefu huku wakikumbana na vipigo na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa maafisa wa usalama wa Tanzania. Maelezo yao yanatisha na yanaonyesha hali ya kuvunjwa kwa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa unaozidi kushika kasi kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

View attachment 3354924
hayupo duniani wa kuichafua Tanzania ikachafuka zaidi ya kujichafua waropokaji wenyewe gentleman 🐒
 
Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.

Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??

Jaribu mkuu kushirikisha halamashauri ya kichwa chako kabla hukatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kutakuwa dispenser ya mate tu
Jione ulivyo mjinga.

Unasema hayo wakati wabunge wako wenyewe wali confirm hawa watu kuteswa hadi kusema walipaswa kufanyiwa zaidi ya hayo.
 
Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha!

Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo.

Habari za Agatha na Boniface kuteswa kingono zimeshavuka mipaka ya Tanzania.

Sifa ya nchi ishachafuka na watawala wamekuwa mabubu!

Leo tumezungumziwa hivi na Firstpost:
==============
Wanaharakati wawili kutoka Kenya na Uganda wameibuka hadharani wakitoa madai ya kusikitisha kuhusu ukatili wa kingono waliodai kufanyiwa walipokuwa kizuizini jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wanasema walikamatwa baada ya kuonyesha uungwaji mkono kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya uhaini.

Kwa mujibu wa wanaharakati hao, walitekwa kutoka katika vyumba vyao vya hoteli, wakawekwa chini ya ulinzi mkali, na kuhojiwa kwa muda mrefu huku wakikumbana na vipigo na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa maafisa wa usalama wa Tanzania. Maelezo yao yanatisha na yanaonyesha hali ya kuvunjwa kwa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa unaozidi kushika kasi kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

View attachment 3354924
hayupo duniani wa kuichafua Tanzania ikachafuka zaidi ya waropokaji kujichafua wenyewe na njaa zao gentleman 🐒
 
Unategemea nini low IQ tena sagaji linapoongoza nchi. Huyu msagaji anailetea mabalaa Tanzania.
 
Hapo bado Gwajima hajatrend kimataifa.
 
Back
Top Bottom