kuchafuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. haszu

    JamiiForums Tanzania Anaendelea kuchafuka ni samia, alie rahisi kushawishika ni mwananchi, anaejua anachokifanya ni Nchimbi

    Mitazamo mitatu 1. kama Nchimbi anamaanisha anachosema, maana yake haungi mkono mwenendo wa serikali ambayo na yeye yupo, na huenda ndio Yuda alietajwa kwa mtazamo wa wanaCCM washabiki wa kizimkazi: i. hapa Samia anaendelea chafuka na raia wanazidi kumchukia, ii. Nchimbi anasimamia prosperity...
  2. U

    JamiiForums Tanzania wadau kisayansi nini hasa kinasababisha nguo ya ndani kuchafuka sehemu hiyo ?

    wadau karibuni jukwaani
  3. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha Damu kuchafuka

    Nimetoka hospital muda si mrefu, nilikuwa na dalili kama za maleria. Baada ya kupima nimeambiwa nina mchafuko wa damu, nimemuuliza dakatari akasema "hutokea tu". Nimemabatanisha dalili kwenye picha.
  4. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe!

    1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu? 2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe! Lucas Mwashambwa Isanga family ChoiceVariable Tlaatlaah DR HAYA LAND
  5. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Orodha ya kazi/nafasi ambazo muda wowote unaweza kuingia matatizoni, kujaa kwenye mfumo au sifa yako kuchafuka

    1. Mwalimu wa kiume anayefundisha shule za wasichana -Huyu muda wowote kinaumana 2. Mwanajeshi anayefundisha au kusimamia kuruti wa kike -huyu pia mambo yanaweza kwenda kombo muda wowote kama hatakua makini 3. Askari anayeingia ulinzi akiwa na silaha 4. Daktari anayehusika na wajawazito 5...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ulikosea sana kukubali Kuingizwa 'Kichwa Kichwa' katika Siasa za UYANGA na USIMBA, na sasa Mpira wa Tanzania unaenda Kuchafuka mazima

    Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako Mnafiki na Fisadi wa Chalinze Bagamoyo kwani anakuharibia na hukutaka kunielewa kwakuwa ulidanganywa...
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania inazidi kuchafuka kimataifa!!

    Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha! Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo. Habari za Agatha na Boniface kuteswa kingono zimeshavuka mipaka ya Tanzania...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Serikali imeshindwa kumlinda Hayati Magufuli, kuna nini nyuma ya kuchafuka kwake ?

    Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ? Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ? Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ? Huyu...
  9. Maan

    JamiiForums Tanzania Kimataifa tunaendelea kuchafuka zaidi

    Ndugu wanajukwaa Mimi ni mgeni, nikikosea mnirekebishe. Wakuu katika pitapita yangu nikakutana na taarifa kupitia platform za kimataifa. Je, kama taifa tunanufaika vipi na taarifa kama hii? Je tatizo lipo wapi kati ya viongozi wetu waliojisaahu ama upinzani unaosaidia kumulika maovu ya serikali...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Magufuli Haiwezi Kufutika kwa Siasa Uchwara

    Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea. Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jezi za Waarabu zilivyosifiwa kwa kuchafuka

    Kwa hakika siku zinaenda leo jezi kuwa na wadhamini wengi zinaitwa siyo za mpira, bahasha za khaki ni hatari sana === Sare ya Yanga na uchafu wa jezi ya Al Ahly MONDAY APRIL 11 2016 Summary Mbele ya mboni za macho yangu ni kama vile Yanga wameshinda. Wamewezaje kucheza na timu ambayo ina...
Back
Top Bottom