Leo ni siku ya uchaguzi nchini Kenya upinzani mkali uko baina ya Laila Odinga kutoka Nyanza province na Ruto alie kua makamu wa Raisi wa Uhuru Kenyatta, ni Mkalejini Nandi province.
Nchi yetu Tz ni Big brother wa Kenya na iko strategically important kwa nchi ya Kenya kiuchumi kijeshi ki eneo (geographically) pamoja na kiutamaduni, kwa 70% uchumi wa Tz ni kichocheo cha uchumi wa Kenya hasa kwenye malighafi na madini.
Je, Tz inaweza kushawishi siasa za Kenya jambo ambalo ni muhimu ili kupata political stability kukuza uchumi na kua na military supremancy over Kenya au tumekubali kua (sleeping giant) kama wa Kenya wanavo tukejeli wakati uwezo wa kumudu siasa na viongozi wa nchi kama Kenya Rwanda uganda Burundi Zambia tunao.
Nyerere alotumia such foreign policy kufanya Tz kua kitovu cha siasa katika Africa mashariki na kati yoyote kua Raisi nchi hizo lazima apitie Arusha au Dar es salam kupata kuungwa mkono na mualimu.
Mfano siasa za kimataifa Britain lazima ijue na kushawishi Raisi atakea kua US, na Russia hivyo hivyo ili kubaki relevant katika foreign policy, Je Tz tumeacha hiyo policy ya mualimu tutabaki relevant? au tutafunikwa na ka nchi kama Uganda ambao kame jipanga kijeshi kila sehemu kapo m7 anekua dictator anae pendwa na US Br Russ, kwasbb ya military influence yake katika eneo zima la Africa mashariki na kati.
Tz tunahitaji kiongozi mwenye ushawishi kama alivyo kua Nyerere, lasivyo tutaanza kuongopa na ka nchi kama Rwanda ambayo sio hata robo kwa nchi yote kwa kila kitu.