Hakuna MUISLAM ambaye ALISHAKOSEA BUt ITS THE OPPOSITEFaizaFoxy said:80% kuangushwa? na 20% utaiita nini?
KUWA NA "CHUKI KALI" NA US,ISRAEL,JESUS,PAUL,NYERERE And Non-Muslims.Dini ni nini?
That is st.upid...
Mimi ni Christian lakini nimeangalia CV at least ya CAG huyo mwingine simjui sikuwa na cha kulalamika zaidi ya ku doubt kama ata apply uwezo wake (professionalism) kwenye rotten system...
Mtu akiingiza udini wakati mtu ana CV inasomeka, ni mj.inga tu...na hatutafika mbali tukiwa tumefikia kuwa na hii tabia chafu...
hoja nzima kwamba tanzania iko mashakani kwa sababu ya udini ina mashiko.
Tatizo linakuja kwenye kunyoosheana vidole kuhusu nani mdini na nani si mdini.
Inakuwa hivyo sababu aliyeko madarakani ni wa dini hiyo...so ukiongea udini huna haja ya kuuliza...kesho akiwa Mkristo kibao kinageuka...kama baadhi ya watu wanavyoandika kuhusu Nyerere...
Kwa hiyo nadhani ni kuwa neutral kwenye ku discuss hili na si kusema kuwa ni dini hii ndio inakuwa victimized ...bali ni tumekosa kuaminiana...sababu hata akiwa mpagani mwisho wa siku tunataka maendeleo kwani hatutakula kwa kuetegemea mshahara wa CAG au AG...
Solution ni kupunguza madaraka ya Rais, na kufanya post nyeti ziwe competitive...am just thinking...
AU tuwe kama wa Malaysia ambao ni taboo kuongelea upendeleo kwa wa Malay hata magazetini...ukiongea hilo tu unatiwa ndani...te te te
Na wanasiasa ni watu selfish sana ...kadi zikiwaishia wanatumia kadi za kigaidi...udini na ukabila...yani hii ni silaa mbaya sana angalia Kenya na Rwanda (Ukabila) Nigeria (udini) these people will never see peace...maana hii sumu ni ngumu kuitoa hata kwa maziwa ya punda...
Wananchi wa kawaida wa hizi nchi ni very innocent ila kwa kutokuwa na ufahamu wanatumiwa na wanasiasa kujinufaisha wao kwa kubaki madarakani au kupata madaraka
Mkuu haya mambo tunayakuza tu bila sababu yoyote.... Sijaona kwa Kikwete kuwa Rais amewafaidisha nini waislam mpaka wamtete. Kikwete yupo kwa maslahi yake binafsi , familia yake,maswahiba zake na chama chake CCM.
Hapa tutatoana ngeu lakini hamna cha maana tunachokipata.
Sijaona ni kwa namna gani CAG au AG kuwa mkristo au muislam kunawafaidisha vipi wakristo au waislam.
Anyway kwani naona ndiyo njia tunayoichagua watanzania.
Kwa mtaji huo, ina maana uchaguzi wa mwakani mgombea wa CCM lazima awe Mkristo la sivyo kitanuka?
*Nimetaja mgombea wa CCM kwa sababu huyo ndo atakayeshinda uchaguzi*
Weka "context" hiyo ni aya nzuri sana kwa mwenye kufikiri. Ngoja nikusaidia kuiweka kama ilivyo halafu uisome vizuri.
Qur'an 5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. ***
Qur'an 5:52. Utawaona wale wenye maradhi nyoyoni mwao wanakimbilia kwao wakisema: Tunakhofu yasitusibu mabadiliko. Huenda Mwenyezi Mungu akaleta ushindi au jambo jingine litokalo kwake wakawa wenye kujuta kwa waliyo yaficha katika nafsi zao. ***
Kusema kweli waisilamu tuseme kweli tu dini yetu inatufundisha kuwa wakristo ni makafiri tu na awapaswi kuongoza waslamu. Tazama yanayofanywa na kundi la ISis huko iraq ndio utajua. Mimi kweli naogopa sana kama tutajikuta kama nchi tumeanza kugwanyika kidini balaa lake ni kubwa.
Nimesoma hii post na kujikuta napatwa na Ghadhabu juu yako, lakini ngoja nitulize presaha ili nisiharibu hali ya hewa. Faiza wewe ni Celeb hapa JF unajulikana Kuanzia chama chako dini yako mpka wengine wanajua unapoishi, napata shaka sana na kile unacho kitafuta unapoanzisha mada za kuwachokonoa watu watoe hoja kuwa waislamu na uislamu ndio chanzo cha udini.
Samahani kama nitakuwa nakutusi lakini kama nitakuwa nimeeleweshwa vizuri hizi ndio Ashki zenyewe, tena tunaweza kuziita Ashki majinun za udini. Faiza umeona wiki inataka kukatika watu hawajafungua thread za kibaguzi, za kuchochea udini wala hawajafungua thread za kusema Waislamu magaidi, waislamu wadini, mtoto wa kike Ashki zimekushika unaanza kuleta tafakuri gombanishi.
Hii post yako inataka watu waseme Uislamu ndio Udini, Je wakina kahatan watakaa kimya na kukuacha uichafue imani yao? Leo umeamua kuandika post kwa intelijence ya primary, so sorry. Na Watu hapa JF Wameamka hakuna jinsi ya kupata unacho kitaka kwenye mjadala wako huu.
Kama unatamani kuona watu wakitupiana maneno, kwamba waislamu wadini na wengine warushe maneno waislamu wadini basi umeula wa chuya. Nenda Kenya au Nigeria Hapa Bongo Hizo Ashki zitakuua.
Mods nawaomba huyu dada apigwe Ban kila atakapokuwa analeta mada za aina hii na kila atakapo kuwa anapost coments za kidini ili tupunguze hili tatizo hapa jukwaani JF isijekutumika vibaya kuharibu Taifa letu.
Mwisho nasema Ashki ni kilema. ukiwa ashki majnun wa kupigana, basi utatafuta mtu na kumwambia, "wewe huna nguvu za kupigana na mimi", akipanik na kukuvaa. basi umetibiwa Ashki.
Weka "context" hiyo ni aya nzuri sana kwa mwenye kufikiri. Ngoja nikusaidia kuiweka kama ilivyo halafu uisome vizuri.
Qur'an 5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. ***
Qur'an 5:52. Utawaona wale wenye maradhi nyoyoni mwao wanakimbilia kwao wakisema: Tunakhofu yasitusibu mabadiliko. Huenda Mwenyezi Mungu akaleta ushindi au jambo jingine litokalo kwake wakawa wenye kujuta kwa waliyo yaficha katika nafsi zao. ***
Hiyo context iko wapi ? Zipo aya nyingi ambazo ni za udini perse na ndizo IS, Alshabaab ,Alqaeda et al. Wanazitumia lakini dunia kwa unafiki inalaumu IS et al. Na kujifanya hawajui IS wanamtumikia mungu wao ....
Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ni Dhana tuu?!.kuna watu wengi including Pasco wameshawahi kusema CCM wana 'unwritten rule'
ya kubadili Rais kwa kuangalia Dini.......akitoka muislam anakuja mkristo hivyo hivyo
sasa this time ikitokea akaja tena muislam no one knows reaction itakuaje...
hata kama ndie wananchi wanamtaka..
Wanabodi nauliza, hii sumu ya siasa za udini, ukabila na ukanda are they real au ni dhana tuu?!.
Jee Watanzania si wana dini zao?, jee kuna ubishi kuwa alipoanza rais Mkristu, JK Nyerere, alipoondoka Mwinyi aliingia tuu by chance?. No miongoni mwa sababu za Mwinyi kuingia ni pamoja na dini yake, this is a fact!. Alipoondoka Mwinyi sialiingia Ben, inamaana aliingia tuu by a mare chance and by chance akawa ni Mkiristu na alipotoka JK nae akaingia by mare chance, na by chance akawa ni Mwislam?. Tutake tusitake, kuna kupokezana hata kama ni by chance, then tuendelee ku play by chance?. Kwenye uchaguzi uliopita kuna vyama vilipata kura nyingi maeneo ya dini fulani, and this is a fact!. Kuna taasisi na makundi ya watu wali waendorse wagombea fulani kutokana na dini zao!. This is fact!. Jee hii ni dhana ya udini tuu au ndio ukweli wenyewe?
Hii dhambi ya mbegu ya sumu ya siasa za udini, ukabila na ukanda, zimepandwa na CCM, zimelelewa na CCM na hatimaye 2015, CCM itavuna ilichopanda!.
Jee mbegu hii ya sumu kaipanda nani?, jee tunaweza kuipiga vita kwa kuikanusha tuu (denial) au tunatakiwa kuubali ukweli mchungu na kukabiliana nao (facing the problem)!.
Nauliza tuu?
Pasco
Wanabodi,
Nauliza, Jee CCM itawatendea haki Watanzania kwa kuwasimamishia mgombea kutoka Zanzibar?! au itaendelea kupandikiza sumu ya udini kwa ku bow down kwenye the fact and fallacy ya zamu za kupokezana kwa dini?!.
Is in not Kiukweli kabisa, Kihaki kabisa, Kihalali kabisa na kwa lengo la kudumisha, Muungano, 2015 ni Zamu halali ya Zanzibar kutupatia Rais wa JMT?!.
Pasco