BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Haya disco lingine hilo....
Limebadilishwa uchezaji tu
Limebadilishwa uchezaji tu
Mkuu tukijadili mtu mmmoja mmoja itakuwa taabu sana. Muhimu ni kuwa wakristo na waislamu wameendelea kuishi kwa pamoja kwa maelfu ya miaka pamoja na changamoto zilizowahi kutokea. Mfano chama kinachotuhumiwa kwa kuingiza na kuulea mfumokristo sio chadema ni ccm. Dhulma wanaothibitisha kufanyiwa waislamu ni toka CCM na sio chadema. Hivyo maneno ya mtu mmoja au kikundi cha watu hayawezi kuwa generalized vinginevyo utajibu vipi maneno ya waziri na kiongozi mwenye dhamana ya uwaziri kama lukuvi na maneno alotoa kanisani? Je ndio msimamo wa ccm na kanisa?
Naam, Tanzania iko mashakani.
Kwa nini?
Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.
Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.
Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.
Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.
Aje mmoja kupinga hilo.
Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.
The boss mimi nadhani hoja ni vigezo, kama wamekidhi vigezo hakuna haja ya majungu. Sema watu wanataka kutumia hii kwa maslahi yao binafsi.
Mimi nilijua baada ya Kikwete kuteua waislam wawili mfululizo tu italeta shida
tulipokuwa na CAG na AG wakristo haikuwa shida.....now hizo pisition zimekuwa replaced na waislam...
some people cant hide their unhappiness......
Mkuu na wewe usiniangushe kwa kuingia kwenye huo mtego wa kuhubiri udini na kuwaacha maadui ujinga, umasikini , maradhi na baba yao ccm.Kuna wale Boko Haram pia kule Nigeria kuna Al Shabab kule Somalia ambao wamefanya mauaji ya kutisha Kenya kwa kuwalenga wale ambao si Waislamu.
That is st.upid...Mimi nilijua baada ya Kikwete kuteua waislam wawili mfululizo tu italeta shida
tulipokuwa na CAG na AG wakristo haikuwa shida.....now hizo pisition zimekuwa replaced na waislam...
some people cant hide their unhappiness......
Kweli kabisa huo udini ndiyo mada iliyopo, na mimi naamini, ukitajwa "udini" basi ni Uislam, na wakitajwa "wadini" basi bila shaka ni Waislaam.
Naomba nipinge katika hilo au nieleimishe na unioneshe ni nani "mdini" Tanzania hii zaidi ya Muislam.
Mkuu na wewe usiniangushe kwa kuingia kwenye huo mtego wa kuhubiri udini na kuwaacha maadui ujinga, umasikini , maradhi na baba yao ccm.
Hayo makundi uliyoyataja ni ya kigaidi, yakifanya mashambulizi yao hayaulizi mkristo nani au muislam nani.
Halafu hata hao viongozi wa ccm awe mkristo , awe muislam lao moja tu kuangalia maslahi yao binafsi na chama chao cha kifisadi.
Hao watu nafsi zao kwanza na chama hakuna cha dini wala nini.
Just think.
Inakuwa hivyo sababu aliyeko madarakani ni wa dini hiyo...so ukiongea udini huna haja ya kuuliza...kesho akiwa Mkristo kibao kinageuka...kama baadhi ya watu wanavyoandika kuhusu Nyerere...
Kwa hiyo nadhani ni kuwa neutral kwenye ku discuss hili na si kusema kuwa ni dini hii ndio inakuwa victimized ...bali ni tumekosa kuaminiana...sababu hata akiwa mpagani mwisho wa siku tunataka maendeleo kwani hatutakula kwa kuetegemea mshahara wa CAG au AG...
Solution ni kupunguza madaraka ya Rais, na kufanya post nyeti ziwe competitive...am just thinking...
AU tuwe kama wa Malaysia ambao ni taboo kuongelea upendeleo kwa wa Malay hata magazetini...ukiongea hilo tu unatiwa ndani...te te te
Mkuu kamwe siwezi kuingia kwenye huu upumbavu wa kutaka kutumia tofauti ya dini zetu kupandikiza chuki miongoni mwetu, lakini Mkuu pale penye kasoro tusikae kimya. Utamwitaje mwenzio kafiri kwa sababu tu ya tofauti za kidini? Huyu ni binadamu mwenzio ambaye ukianguka anaweza kukusitiri na kukupa msaada wa kila aina ili akusaidie binadamu mwenzie. Napinga kwa nguvu zote jitihada za wachache ambao wanataka kupandikiza udini nchini ili wanufaike nao na hivyo kuendelea kubaki madarakani. Adui wetu mkubwa Tanzania ambaye anasababisha Watanzania wengi kuishi katika maisha ya ufukara mkubwa ni MACCM hawa ndio adui zetu ambao inabidi tupambane nao kwa kila hali na ili kufanikiwa dhidi ya adui huyu mkubwa wa Watanzania. Waumini wa dini zote hizi kubwa mbili inabidi kusimama bega kwa bega kupambana kwa dhati dhidi ya hawa wahuni, mafisadi, wauza unga, majangili na magaidi.
Tunaona maafa makubwa yanayotokea Nigeria yanayosababishwa na udini, kamwe tusiwape nafasi wale wenye nia mbaya ya kutaka kuleta chuki nchini kwa kutumia tofauti zetu za kidini nchi yetu ikawa kama Nigeria.
Huu si upuuzi, ni ukweli ambao wengi wanakataa kuujadili.
Dini "zao".
Naomba nikuulize, Jee, unajuwa maana ya dini?
nashangaa mnaotoleana roho kwa dini zilozokuja na mashua na viboko mkachapwa.
Hakuna aja ya kuvutana kwa dini kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe na utaukumiwa kwa matendo si dini