Tanzania Iko Mashakani

Tanzania Iko Mashakani

..To date the government still buries its head in the sand like the proverbial ostrich scared to admit that we have a real problem. Year after year the country is gradually slipping, polarising itself into two contending forces...

. and yet you are still a pro ccm govt that has been "persecuting" you for years..you have a long way to go. .if thats the case
.
 
Niliwahi kukwambia siku za nyuma kwamba Mwalimu (RIP) kama binadamu hakuwa perfect na kama kiongozi pia hakuwa perfect na yeye mwenyewe aliwahi kutamka hivyo akiwa bado yuko madarakani. Ndiyo Mwalimu alituachia nchi ya amani pamoja na matatizo mbali mbali ya kiuchumi lakini kulikuwa hakuna udini kama tuuonao sasa wa chuki za kutisha hata watu kutaka kuuana kwa tofauti za kidini. Mwalimu hakutuachia wahuni na wezi kama hao tuwaonao sasa ambao wamejivisha ngozi ya uongozi ambayo huitumia ili kuwapua trillions za walipa kodi kwa manufaa yao, familia zao na marafiki zao wachache huku wakiwaacha mamiloni ya Watanzania wakiishi katika ufukara wa kutisha usiowawezesha kupata hata mlo wao mmoja kwa siku.

Tanzania ya Mwalimu haikuwa tajiri kama Tanzania hii ya leo, Tanzania ya Mwalimu ilikuwa inapigwa vita kubwa na nchi za magharibi kwa sababu tu Mwalimu aliamua kufuata siasa ya ujamaa na kujitegemea, tofauti na hii Tanzania ya leo ambayo inapata mabilioni ya $ toka nchi mbali mbali za wafadhili ili kusaidia sekta mbali mbali nchini na hivyo kujenga uchumi bora na maisha bora kwa Watanzania, lakini cha kustaajabisha umaskini ndio unazidi kukithiri kila mwaka wakati wachache ndani ya chama chenu cha wahuni na Serikali hii dhalimu wakijikusanyia mabilioni ya pesa za walipa kodi na kuwa matajiri wa kutisha na hata kufikia kuficha pesa nyingine chungu nzima nchi za nje.

Kamwe huwezi kumlinganisha Mwalimu na hawa wahuni wengine, wezi na mafisadi ambao nao walijifanya ni viongozi.

Najua una chuki za kutisha dhidi ya Mwalimu, hebu chukua robo saa tu kuisikiliza hii hotuba ya Mwalimu aliyoitoa miaka 20 iliyopita ambayo iko valid hadi hii leo utadhani aliitoa jana.

Last edited by a moderator:
wapuuzi wakubwa mnaojadili dini za kuletwa na wakoloni. Ukristu umeletwa na wamisionari na uislam umeletwa na wafanyabiashara wa mashariki ya mbali au waarabu. Tusivyokuwa na akili leo tunachukiana kwa kuitana magaidi na makafiri. Shenzytypezenu.
 
Kete ya udini ilikuwa muhimu sana kwa CCM mwaka 2010 ili waweze kushinda uchaguzi. Iliwahi kutumiwa kabla dhidi ya CUF, lakin 2010 ikawa reloaded! Ikumbukwe kwamba, ukiacha Nyerere; hakuna rais mwingine ambaye amewahi kuingia madarakani kwa mtaji mkubwa wa kisiasa kama Kikwete (80% ya kura). Watu wote walimpenda, waweza kusema wakristo walimpenda zaidi-hata Kilaini akasema ni chaguo la Mungu.

Shida ikaj baada ya kuiuzulu kwa Lowassa. Kwa maoni yangu, Lowassa alikuwa ngao ya udhaifu wa Kikwete. Lowassa alikuwa na nguvu kisiasa tofautia Pinda. Pinda mtu wa kutumwa. Baada ya kupwaya kwa serikali, wananchi wakawa wanatafuta mbadala. Slaa akajitokeza kugombea urais and the rest is history!

Uchochezi wa kidin umetumika makusudi kumbakiza Kikwete madarakan. Binafsi naamin angeweza kushinda bila hili, japo kwa asilimia chache zaid. Udin umeanzishwa, umelelewa na kukuzwa na vyombo vya dola na CCM. Ktk suala la kuchinja ng'ombe na kukojolea Quran, lilikuwa lilikuwa limeshabalehe. Kabla ya hapo, wakristo hawajawah kuwa wamoja ktk maslahi yao. Mazingira yamewaunganisha na sasa ni wamoja zaid. Nao wamejifunza kulialia, kulalamika na kushuku mambo (wakati mwingne bila sababu ya msingi). Waislam wamejifunza kuwa wakristo nao wana grievances zao japo hawakuwa kudai hapo kabla(wangependa na wao wachinje wanyama).

Funzo: Hakuna mshind kwenye chuki na uchochezi wa kidini. Serikali iache kutumia dini ktk masuala ya utawala na uongozi. Pia Islamization na Christianization zisitumie resources za serikali. Dini ziikabe serikal, zisikabane.
Kweli mkuu na hii ndo shida tunapojadili udini bila kuanza kutafuta nani mwanzilishi wa hili tatizo. Tukiweza kuwa wakweli na kujadili kwa uhuru aliesababisha hili hapo tutaweza kupata suluhisho manake tutaungana pamoja kupambana na adui yetu.
 
Kwa mtaji huo, ina maana uchaguzi wa mwakani mgombea wa CCM lazima awe Mkristo la sivyo kitanuka?

*Nimetaja mgombea wa CCM kwa sababu huyo ndo atakayeshinda uchaguzi*

​Hapo kwenye red Nyani Ngabu ashakum NI matusi, acha nikutunzie heshima, but jifunze kufikiri kwa kichwa na si kwa ...
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi kukwambia siku za nyuma kwamba Mwalimu (RIP) kama binadamu hakuwa perfect na kama kiongozi pia hakuwa perfect na yeye mwenyewe aliwahi kutamka hivyo akiwa bado yuko madarakani. Ndiyo Mwalimu alituachia nchi ya amani pamoja na matatizo mbali mbali ya kiuchumi lakini kulikuwa hakuna udini kama tuuonao sasa wa chuki za kutisha hata watu kutaka kuuana kwa tofauti za kidini. Mwalimu hakutuachia wahuni na wezi kama hao tuwaonao sasa ambao wamejivisha ngozi ya uongozi ambayo huitumia ili kuwapua trillions za walipa kodi kwa manufaa yao, familia zao na marafiki zao wachache huku wakiwaacha mamiloni ya Watanzania wakiishi katika ufukara wa kutisha usiowawezesha kupata hata mlo wao mmoja kwa siku.

Tanzania ya Mwalimu haikuwa tajiri kama Tanzania hii ya leo, Tanzania ya Mwalimu ilikuwa inapigwa vita kubwa na nchi za magharibi kwa sababu tu Mwalimu aliamua kufuata siasa ya ujamaa na kujitegemea, tofauti na hii Tanzania ya leo ambayo inapata mabilioni ya $ toka nchi mbali mbali za wafadhili ili kusaidia sekta mbali mbali nchini na hivyo kujenga uchumi bora na maisha bora kwa Watanzania, lakini cha kustaajabisha umaskini ndio unazidi kukithiri kila mwaka wakati wachache ndani ya chama chenu cha wahuni na Serikali hii dhalimu wakijikusanyia mabilioni ya pesa za walipa kodi na kuwa matajiri wa kutisha na hata kufikia kuficha pesa nyingine chungu nzima nchi za nje.

Kamwe huwezi kumlinganisha Mwalimu na hawa wahuni wengine, wezi na mafisadi ambao nao walijifanya ni viongozi.

Najua una chuki za kutisha dhidi ya Mwalimu, hebu chukua robo saa tu kuisikiliza hii hotuba ya Mwalimu aliyoitoa miaka 20 iliyopita ambayo iko valid hadi hii leo utadhani aliitoa jana.

Kuna watu wanateswa na unafiki, mtu tena kiongozi wa kisiasa ana lalama kuhusu mfumo Kristo ambao umesha wahi muumiza huko nyuma. Cha kushangaza haisemi hii hadharani kwa wenye akili ili wamuelewe au wamkosoe yeye anasemea huko mafichoni. Kinachotokea nitatizo kulikuza na si kulipunguza na ikiwezekana kulimaliza.

Kwamba Tanzania tunafikia mahali sasa dini ya mtu inakuwa moja ya vigezo vya kuwa rais, sasa hii si hatari hii! Watu huku mtaani wanaongelea hiki kigezo cha dini ya rais ajaye tena openly kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Naam, Tanzania iko mashakani.

Kwa nini?

Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi. Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli. Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini. Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.

Aje mmoja kupinga hilo. Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.

Unapoanzisha thread kama hii sindio udiniwenyewe unaokatazwa hapa inchinikwetu, au unazeeka vibaya.
 
Ni nani aliokudanganya udini unakatazwa? angesimama Lukuvi akawashabulia Waislaam Kanisani? umesahau?
 
Mkuu BAK achana na huyu bibie wa Tandamti alikuwa akitaka Tanganyika iwe Jamhuri ya kiislam ndio angeona raha hajui Kikwete kaiharibu Tanzania hadi nchi ndogo zinatutunishia kifua kwasababu ya udhaifu wake.

Niliwahi kukwambia siku za nyuma kwamba Mwalimu (RIP) kama binadamu hakuwa perfect na kama kiongozi pia hakuwa perfect na yeye mwenyewe aliwahi kutamka hivyo akiwa bado yuko madarakani. Ndiyo Mwalimu alituachia nchi ya amani pamoja na matatizo mbali mbali ya kiuchumi lakini kulikuwa hakuna udini kama tuuonao sasa wa chuki za kutisha hata watu kutaka kuuana kwa tofauti za kidini. Mwalimu hakutuachia wahuni na wezi kama hao tuwaonao sasa ambao wamejivisha ngozi ya uongozi ambayo huitumia ili kuwapua trillions za walipa kodi kwa manufaa yao, familia zao na marafiki zao wachache huku wakiwaacha mamiloni ya Watanzania wakiishi katika ufukara wa kutisha usiowawezesha kupata hata mlo wao mmoja kwa siku.

Tanzania ya Mwalimu haikuwa tajiri kama Tanzania hii ya leo, Tanzania ya Mwalimu ilikuwa inapigwa vita kubwa na nchi za magharibi kwa sababu tu Mwalimu aliamua kufuata siasa ya ujamaa na kujitegemea, tofauti na hii Tanzania ya leo ambayo inapata mabilioni ya $ toka nchi mbali mbali za wafadhili ili kusaidia sekta mbali mbali nchini na hivyo kujenga uchumi bora na maisha bora kwa Watanzania, lakini cha kustaajabisha umaskini ndio unazidi kukithiri kila mwaka wakati wachache ndani ya chama chenu cha wahuni na Serikali hii dhalimu wakijikusanyia mabilioni ya pesa za walipa kodi na kuwa matajiri wa kutisha na hata kufikia kuficha pesa nyingine chungu nzima nchi za nje.

Kamwe huwezi kumlinganisha Mwalimu na hawa wahuni wengine, wezi na mafisadi ambao nao walijifanya ni viongozi.

Najua una chuki za kutisha dhidi ya Mwalimu, hebu chukua robo saa tu kuisikiliza hii hotuba ya Mwalimu aliyoitoa miaka 20 iliyopita ambayo iko valid hadi hii leo utadhani aliitoa jana.
 
Last edited by a moderator:
Tufukuwe makaburi.

Miaka 9 nyuma niliandika uzi huu.

Bado tupo mashakani.
 
Back
Top Bottom