Tanzania Iko Mashakani

Tanzania Iko Mashakani

Naam, Tanzania iko mashakani.

Kwa nini?

Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.

Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.

Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.

Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.

Aje mmoja kupinga hilo.

Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.

Hivi nini malengo ya post hii mbona tunapenda kuzusha zusha vijihabar ilimlad tu mtu kapost, naona uhuru huu umepindukia da
 
The Boss we sio mgeni na faiza, anachokitafuta hapa kama umemsoma vizuri kwenye post ya kwanza ni kuchokonoa hisia za udini ambazo wiki hii zimelala, Faiza hana nia njema ya kukemea udini. Hapa anaamsha mashetani ambayo wiki hii yamelala ili yaje kumsapoti wafunge wiki vizuri.

Ili tuondoe udini lazima tupingane na mada za aina hii we soma kauli yake hii
Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.
Aje mmoja kupinga hilo.

Halafu kauli yake ya mwisho anasema, Aje mmoja kupinga hilo. hapo anawaimpress watu wamsapoti kuwa waislamu ni wadini ili waje watata waseme wakristo ni mashoga wengine waje wajibu, waislamu magaidi, hizo zote ashki zinamsumbua huyu dada
 
Last edited by a moderator:
Yale yale sasa unayafanya
swali je hizi issue za udini zipo au hazipo?

Kwa observations zako wewe on the ground, hizi ishu za udini zipo au hazipo?

Manake huku kwenye cyberworld tayari tunajua udini upo [pengine uwepo wake unarahisishwa na hali ya kuweza kuhifadhi usiri wa utambulisho wa mtu].

Sasa huko kitaani nako mambo ni kama huku au....?
 
The Boss we sio mgeni na faiza, anachokitafuta hapa kama umemsoma vizuri kwenye post ya kwanza ni kuchokonoa hisia za udini ambazo wiki hii zimelala, Faiza hana nia njema ya kukemea udini. Hapa anaamsha mashetani ambayo wiki hii yamelala ili yaje kumsapoti wafunge wiki vizuri.

Ili tuondoe udini lazima tupingane na mada za aina hii we soma kauli yake hii

Halafu kauli yake ya mwisho anasema, Aje mmoja kupinga hilo. hapo anawaimpress watu wamsapoti kuwa waislamu ni wadini ili waje watata waseme wakristo ni mashoga wengine waje wajibu, waislamu magaidi, hizo zote ashki zinamsumbua huyu dada

Faizafoxy awe right au wrong ana wafuasi na ana influence..so wewe mjibu hoja kwa hoja
kumtukana na kumuonesha unavyomchukia inaweweza tu kufanya mtu aone ni 'chuki za kidini zile zile'

we pangua hoja zake kwa hoja tu....
 
Kwa observations zako wewe on the ground, hizi ishu za udini zipo au hazipo?

Manake huku kwenye cyberworld tayari tunajua udini upo [pengine uwepo wake unarahisishwa na hali ya kuweza kuhifadhi usiri wa utambulisho wa mtu].

Sasa huko kitaani nako mambo ni kama huku au....?

Mimi ninavyoona udini upo na unazidi kukua...
ingawa right now yeyote atakaesimamishwa na CCM ana advantage...
but naamini zaidi ya asilimia 60 ya watz hawajali sana dini....wanaweza chagua yeyote regardless ya dini yake
 
Naam, Tanzania iko mashakani.

Kwa nini?

Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.

Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.

Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.

Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.

Aje mmoja kupinga hilo.

Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.
  1. Ufisadi hasa wa ESCROW, EPA, RICHMOND na ufisadi mwingine ambao uko chini ya kapeti/ haujajulikana
  2. Wizi wa mali asili za nchi
  3. Kuto kuwajibishwa kwa mafisadi
  4. Viongozi kutokujali elimu (wanawekeza katika kununua mashangigi na migari mizito na kusahau vitu vya muhimu katika maendeleo ya nchi)
  5. Kutokuwa na rais anayejua nini maana ya nchi, na hapa utashangaa mpaka mafisadi nao wanataka kuwa marais na bado wanaungwa mkono na wananchi!
Udini ni tishio ila kutokuwa na kiongozi makini ni tishio zaidi!!
 
Nyani Ngabu Udini uliopo tanzania unajaribu kuingizwa kwa majaribio kwa masilahi ya kisiasa, Hapa kwetu udini ni agenda ya kisiasa ambayo imefeli.

Udini kama agenda ya kiimani ni ujinga wa watanzania wachache wanaobadili mitizamo ya imani zao kwa kutizama mienendo ya kidini ya mataifa mengine.

Mfano: Mtanzania mkristo kuukashfu uislamu kwasababu ya Boko haram, au muislamu kumkashfu mkristo kwasababu ya ushoga, huu wote ni upumbavu.

Tanzania tumekuwa na ukristo na uislamu safi miaka yote bila ushoga wala ugaidi, sasa anaeona uislamu wa Bokoharam au ukristo wa Vatkan ndio sahihi aende huko wasitake kutuharibia Taifa letu kwa dini za Kisiasa.

cc: FaizaFoxy
 
Naam, Tanzania iko mashakani.

Kwa nini?

Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.

Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.

Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.

Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.

Aje mmoja kupinga hilo.

Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.

***HAKUNA AMBAYE SI MUISLAM AMBAYE NI MDINI***
hapo unamaanisha nini?
 
Hii post ya kipumbavu kabisa, mod ukinifungia nifungie tu
 
Pretty kuna watu wanataka kulikuza hili tatizo na kulifanya kubwa kuliko inavyostahili. Hawa MACCM ndio walilikuza hili tatizo la udini baada ya kuwaita CUF ni chama cha waislamu na baadaye kuwaita CHADEMA ni chama cha wakristo. Hivyo vyama viwili vya "wakristo na waislamu" hata siku moja MACCM hawakutegemea vije kushirikiana kwa lolote lile, lakini kama tulivyoona vyama hivi vyote viwili si vya kidini na ndio sababu pamoja na NCCR vimeamua kushirikiana kwa karibu mno na kuwa tisho kubwa ka MACCM kuelekea katika uchaguzi wa 2015. Uraiani tatizo hili la udini si kubwa kiasi hicho ila kuna baadhi miongoni mwetu hutaka kulikuza kuliko inavyostahili.

Tumeona hivi karibuni viongozi wa CHADEMA kupokewa kwa shangwe kubwa na umati wa watu kule Zenj na katika mikutano yao walishangiliwa sana na umati kule ambapo 99% ni waislamu.

Divide and rule! You have a point. That's the only option they have remained with. Ns hawa akina Mtoa mada ni maagent wao. I doubt km mtoa mada ni musilamu kweli!!! I really doubt it. Huyu mwanamke katumwa na kuna kitu wanatafuta hapa. Si bure!!!
 
Last edited by a moderator:
Pretty kuna watu wanataka kulikuza hili tatizo na kulifanya kubwa kuliko inavyostahili. Hawa MACCM ndio walilikuza hili tatizo la udini baada ya kuwaita CUF ni chama cha waislamu na baadaye kuwaita CHADEMA ni chama cha wakristo. Hivyo vyama viwili vya "wakristo na waislamu" hata siku moja MACCM hawakutegemea vije kushirikiana kwa lolote lile, lakini kama tulivyoona vyama hivi vyote viwili si vya kidini na ndio sababu pamoja na NCCR vimeamua kushirikiana kwa karibu mno na kuwa tisho kubwa ka MACCM kuelekea katika uchaguzi wa 2015. Uraiani tatizo hili la udini si kubwa kiasi hicho ila kuna baadhi miongoni mwetu hutaka kulikuza kuliko inavyostahili.

Tumeona hivi karibuni viongozi wa CHADEMA kupokewa kwa shangwe kubwa na umati wa watu kule Zenj na katika mikutano yao walishangiliwa sana na umati kule ambapo 99% ni waislamu.

Divide and rule! You have a point. That's the only option they have remained with. Ns hawa akina Mtoa mada ni maagent wao. I doubt km mtoa mada ni musilamu kweli!!! I really doubt it. Huyu mwanamke katumwa na kuna kitu wanatafuta hapa. Si bure!!! Kila siku post za udini....kwani zamani hatukuwa na dini??? Why this time? Jiulizeni ndugu zangu.

Naomba tuwapuuze watu kama hawa, wanaojifanya waislamu au wakristo kwa lengo la kuligawa taifa.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
The Boss we sio mgeni na faiza, anachokitafuta hapa kama umemsoma vizuri kwenye post ya kwanza ni kuchokonoa hisia za udini ambazo wiki hii zimelala, Faiza hana nia njema ya kukemea udini. Hapa anaamsha mashetani ambayo wiki hii yamelala ili yaje kumsapoti wafunge wiki vizuri.

Ili tuondoe udini lazima tupingane na mada za aina hii we soma kauli yake hii

Halafu kauli yake ya mwisho anasema, Aje mmoja kupinga hilo. hapo anawaimpress watu wamsapoti kuwa waislamu ni wadini ili waje watata waseme wakristo ni mashoga wengine waje wajibu, waislamu magaidi, hizo zote ashki zinamsumbua huyu dada

Tatizo kubwa sana ni pale tunapojaribu kulikimbia tatizo na lipo.

Wiki hii unayosema "imelala" ndiyo iliyonifanya nifikirie hii mada. Jee, wiki hii hukuyasoma ya CAG mpya? Jee, wiki hii hujayasoma ya AG mpya? kutokuyaona yaliyondikwa kuhusiana na hayo ni kama kujitia upofu usiokuwa nao.
 
Naam, Tanzania iko mashakani.

Kwa nini?

Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.

Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.

Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.

Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.

Aje mmoja kupinga hilo.

Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.

Kwa vile tanzania hatujawahi onja adha ya udini ndo maana tunaona ufahari kuijadili pasipo na sababu za msingi. Nenda Rwanda ukaongelee swala la ukabila uon kama utapona.
 
Bi mkubwa naona kaweka kitendawili na mitego kibao ukiingia kichwa kichwa ndipo anapata ku hakiki alichokiandika. Yaani hiki alichokiandika ni wewe mchangiaji ndio utakuja kumuhakikishia ni kweli upo au hakuna. Duh!
 
Mimi hata km viongozi wote wawe wakristo au waislamu sijali. Nyie mnaolilia nafasi za kupewa ndo hamuishi kupiga kelele kuhusu udini. As long as nina shughuli ambayo Mungu amenijalia...i dont care kuhusu nani kapewa U-CAG na nani kanyimwa. Mmekosa kazi za kufanya na kuanza kujadili udini.

Natoa maoni....tukiona mada km hizi tunaboycott kuchangia. Haina mashiko!
 
Mkuu hapo ndio kazi ya kutofautisha inakuwa ngumu...je huyu anayetamka haya maneno yaliyojaa chuki alienda hija au alienda religious tour? Je, alipotamka haya alikuwa ana udhu au hakuwa nao? Kwani Mkuu OLESAIDIMU Waislamu ambao hawajaenda hija na wasio na udhu ndio ambao wamepewa ruhusa ya kutamka maneno yaliyojaa chuki kama kuwaita wa dini nyingine makafiri na kufanya matendo mengine ya kinyama dhidi ya wale wa dini nyingine!?

Hivi kuna kwaya inasema utamtambua kwa mateno yake au kitu kama hicho??!!!
Anayetamka wapi mkuu, kama yupo humu hooe atasoma na kujibu!!!
Udhu ni jambo dogo na la msingi sana kama mtu hakai na udhu huyu ibada yake inaanzia wapi??!!
Asiye na ibada unamchukuliaje kama role model wa imani na dini fulani??!!
Angalia matendo utabaini tofauti, zipo wazi sana kuliko lugha ya kiarabu wanayotumia wahuni wachache!!!

Emile Durkheim anasisitiza sana "reflexivity" katika kuingia somo la believes and religion ingia kana kwamba huna dini, yaani sober minded ndio unaweza kuona nini ni nini lakini ukiwa inclined au upande wa lawama basi imani na dini yako ndio vitachukua sehemu kubwa ya mawazo na maamuzi!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
"Wazee Wa LAWAMA"Dunia nzima inawajua "Reciprocated and brainless MUDY Followers"Dunia nzima hakuna kama ninyi.KUDOS
Dunia kama sayari au dunia hii socially constructed???!!!
Haya unayotoa ni mawazo ya mtu "mduwanzi" ambaye watu wa "duniani" tunamuona baaado sana kupambazuka!!!!
 
Nyani Ngabu Udini uliopo tanzania unajaribu kuingizwa kwa majaribio kwa masilahi ya kisiasa, Hapa kwetu udini ni agenda ya kisiasa ambayo imefeli.

Udini kama agenda ya kiimani ni ujinga wa watanzania wachache wanaobadili mitizamo ya imani zao kwa kutizama mienendo ya kidini ya mataifa mengine.

Mfano: Mtanzania mkristo kuukashfu uislamu kwasababu ya Boko haram, au muislamu kumkashfu mkristo kwasababu ya ushoga, huu wote ni upumbavu.

Tanzania tumekuwa na ukristo na uislamu safi miaka yote bila ushoga wala ugaidi, sasa anaeona uislamu wa Bokoharam au ukristo wa Vatkan ndio sahihi aende huko wasitake kutuharibia Taifa letu kwa dini za Kisiasa.

cc: FaizaFoxy

Huu ndio ukweli! !!!
 
Hivi ni kweli tunataka kuendekeza udini ili tusahau mshikamano wetu kama watanzania.

Kumbukeni silaha ya mnyonge ni umoja(Mwl. Nyerere). Umoja wetu unatakiwa sana ili tupigane bega kwa bega dhidi ya haya matatizo makubwa yanayoikumba nchi yetu kama ufisadi.

Tukianza kua na matabaka mara ooh yule ni muislam ameteuliwa wakiristo wameachwa, au yule mkiristo kwanini amepata?
Sioni kama ni sahihi kuwaza udini maana namna unavyompa cheo shetani ndivyo unavyozidi kumpa nafasi ya kutawala.

Wengine mnaweza kuniona mimi nimepitwa na wakati(outdated) ila kiukweli dini hua hainisumbui kabisaa wala hua sihitaji kujua dini ya mtu wala kuchagua rafiki wa dini flani.

Kama watu watapoteza mshikamano kwa kujadili udini miaka michache ijayo Tanzania itakua imechakaa kama Somalia ilivyokua imechakaa miaka mitatu nyuma.

good kula likes buku
 
Hmmmmmmm! kuna ufisadi wa kutisha pia, kuna uking'ang'anizi wa kubaki mdarakani kwa kutumia mabavu, kuna ombwe kubwa la uongozi nchini kwa miaka mingi sasa. Kuna katiba ambayo ni ya chama kimoja na hivyo kusababisha chaguzi zetu kutokuwa huru na za haki, kuna kuanguka kwa elimu yetu nchini kwa kiwango cha kutisha, kuna wizi wa kutisha wa rasilimali za Watanzania unaofanywa na wageni wakishirikiana na wale waliopewa dhamana na Watanzania ya kusimamia maslahi ya nchi n.k. yote haya yanawaweka Watanzania katika hali ya mashaka makubwa sana.

Na yote hayo yanafanyika chini ya uongozi wa mdini mmoja
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom