Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Jee, wewe ni mdini?
kamwe siwezi kuwa mtumwa.
Jee, wewe ni mdini?
I hate religious discussions. Mungu ni mmoja tu.
BTW dini zililetwa na waarabu na wazungu Kwa mashua na ndege.
Love is my religion.
Mkuu mimi sijawahi kusapoti thread yoyote ya udini humu humu , kwani mimi naamini ni vitu tunavikuza. Silipendi hili la udini kwasababu kuu tatu......tazama vizuri nimesema 'some people'
mfano wewe ni CHADEMA i am sure umewahi soma post za Yerricko Nyerere humu
akitukana waislam waziwazi...kuna post aliwahi sema humu Kikwete ndo Rais wa mwisho muislam
sijaona hata nyinyi CHADEMA wenzie mkilaani post hizo badala yake atajibiwa na wale wanaonekana ni kuwa
ni waislam...wakati kisiasa mtu akiwa wrong tunapaswa kumkataa wote regardless ya dini zetu..
Kweli kabisa huo udini ndiyo mada iliyopo, na mimi naamini, ukitajwa "udini" basi ni Uislam, na wakitajwa "wadini" basi bila shaka ni Waislaam.
Naomba nipinge katika hilo au nieleimishe na unioneshe ni nani "mdini" Tanzania hii zaidi ya Muislam.
Mkuu mimi sijawahi kusapoti thread yoyote ya udini humu humu , kwani mimi naamini ni vitu tunavikuza. Silipendi hili la udini kwasababu kuu tatu......tazama vizuri nimesema 'some people'
mfano wewe ni CHADEMA i am sure umewahi soma post za Yerricko Nyerere humu
akitukana waislam waziwazi...kuna post aliwahi sema humu Kikwete ndo Rais wa mwisho muislam
sijaona hata nyinyi CHADEMA wenzie mkilaani post hizo badala yake atajibiwa na wale wanaonekana ni kuwa
ni waislam...wakati kisiasa mtu akiwa wrong tunapaswa kumkataa wote regardless ya dini zetu..
FF napenda kukuhakikshia kuwa watanzania si wadini hata siku moja. Isipokuwa dini hutumiwa na baadhi ya watu katika kufanikisha malengo yao binafsi. Mimi ni mkristo lakini secondary nimesoma shule ya kiislamu 100%, hicho unachokisema hakipo kwa watanzania wa kawaida. Ni viongozi wapumbavu tu ndiyo wanaweza kutuingiza kwenye mazingira ya Udini.Naam, Tanzania iko mashakani.
Kwa nini?
Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.
Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.
Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.
Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.
Aje mmoja kupinga hilo.
Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.
Naam, Tanzania iko mashakani.

Yes waislam ni wadini wakubwa.....wanachagua paka chakula mfano hawali nguraru huo ni udini pasee.
Yes nguruwe kwetu sisi waislaim ni haraam na kuchagua chakula sio udini, mbona wewe huli panya au nyoka?
Hata baadhi ya wakiristo hawali nguruwe
Yes waislam ni wadini wakubwa.....wanachagua paka chakula mfano hawali nguraru huo ni udini pasee.
This discussion sucks mkuu!I hate religious discussions. Mungu ni mmoja tu.
BTW dini zililetwa na waarabu na wazungu Kwa mashua na ndege.
Love is my religion.
FF napenda kukuhakikshia kuwa watanzania si wadini hata siku moja. Isipokuwa dini hutumiwa na baadhi ya watu katika kufanikisha malengo yao binafsi. Mimi ni mkristo lakini secondary nimesoma shule ya kiislamu 100%, hicho unachokisema hakipo kwa watanzania wa kawaida. Ni viongozi wapumbavu tu ndiyo wanaweza kutuingiza kwenye mazingira ya Udini.