Tanzania Iko Mashakani

Tanzania Iko Mashakani

Unajua.. Anyway ngoja ninyamaze tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hayo mazuri yapo kwenye dini zote Mkuu. Baadhi ya viongozi waliowahi kutoa kauli za kudai kwamba CUF ni chama cha kiislamu na Chadema cha kikristo ni waislamu na walienda hija sasa kwanini wasitumie hija yao kupandikiza mbegu ya upendo miongoni mwetu Watanzania bila kujali imani zetu bali hupandikiza mbegu za chuki "Chama kile ni cha waislamu/wakristo viongozi wake wote ni waislamu/wakristo"? Wanataka kuleta udini wale nchini.

Nakuelewa vizuri sana ila wanapotamka maneno hayo wanakuwa misikitini kwenye mimbar au majukwaani kwao huko na labda hata udhu wanakuwa hawana wakati wanatamka hayo unayoyasema??!!!

Unasema walienda hijja sawa kweli ni mahujjaj wa haqi li llah au walienda religious tour???!!!
 
.. FaizaFoxy wizara nyeti zote zineshikiliwa na waislam ujue......fedha, usalama wa taifa, elimu, afya..... etc
tatizo nn kwani?

Haya weka saturated qualitative and descriptive statistical analysis ya kuendelea na kushamiri kwa dini ya kiislam kwa uwepo wa hao watu unaowataja!!!!
 
Last edited by a moderator:
FF mimi nikakupinga kwa hoja ndogo tu na bila shaka utakuwa nawe umeitumia...

Mbona Chadema na CUF pia wameitwa wadini kwa nyakati tofauti!

Dhana ya udini imeasisiwa na CCM kwa makusudi kabisa...
Unakumbuka mwaka ule mabucha ya kitimoto yalivyovamiwa na kuvunjwa wakristo walikaa kimya. Hii dhana ya udini imeanzishwa na chama tawala kila walipoona wanaelekea kushindwa haraka sana walianzisha dhana hii. Kiuhalisia kwetu sisi wananchi hatuna shida na dini yoyote na wengi wetu familia zetu zimechanganyika wengine christians, moslem na wengine hawana dini lkn kamwe hatujawahi kutengana kisa tofauti zetu.

Kumekua na madai ambayo hayana ushahidi wa kutosha kwamba wakristo wanapendelewa mashuleni hivi wapendwa nyakati tunasoma mbona hatukuona mkristo kilaza akipasishwa au muislam mwenye uwezo kichwani akifelishwa. Binafsi nimesoma na waislam wale waliokua vichwa walisonga mbele na wakristo waliokua vilaza walibaki nyuma. Hebu tujiulize udini huu kwanini kwa wananchi haupo isipokua nyakati za uchaguzi ndo tunausikia.
 
Na wanasiasa ni watu selfish sana ...kadi zikiwaishia wanatumia kadi za kigaidi...udini na ukabila...yani hii ni silaa mbaya sana angalia Kenya na Rwanda (Ukabila) Nigeria (udini) these people will never see peace...maana hii sumu ni ngumu kuitoa hata kwa maziwa ya punda...

Wananchi wa kawaida wa hizi nchi ni very innocent ila kwa kutokuwa na ufahamu wanatumiwa na wanasiasa kujinufaisha wao kwa kubaki madarakani au kupata madaraka
Kweli kabisa wanasiasa ni wabinafsi mno yaani wako tayari kutumia chochote ili mradi yao yafanyike. Tumeona wakitumia ukabila na sasa udini kama ujuavyo silaha ya udini ni sumu mbaya mno. Kuna ambao wakisikia dini yetu inadhulumiwa basi wako tayari kufanya chochote kwa ajili ya kutetea maslahi ya dini zao hawana hata muda wa kujihoji kulikoni. Na hii ni kawaida kwa waumini wa dini zote kwani wapo waumini hufuata kiongozi kasema nini ili wao wafanyebila kujihoji.
 
jana mida ya tisa hivi kule kivukoni street pale mahakamani tulisimama kwenye foleni kama dakiki kumi hivi tukisubiri magar ya wafungwa yaondoke cha ajabu kulikuwa na wananchi walovalia mavazi marefu meupe wakiwa wameyakaribia yale magari wakiimba huku wakiruka ruka mpaka magari yale yalipotokomea,nilijiuliza sana huu ujasiri wa kuikaribia hii misafara wananchi tunaitoa wapi? ukitazama mambo haya kwa jicho la tatu unaweza kubaliana na mleta mada.
 
Mkuu hapo ndio kazi ya kutofautisha inakuwa ngumu...je huyu anayetamka haya maneno yaliyojaa chuki alienda hija au alienda religious tour? Je, alipotamka haya alikuwa ana udhu au hakuwa nao? Kwani Mkuu OLESAIDIMU Waislamu ambao hawajaenda hija na wasio na udhu ndio ambao wamepewa ruhusa ya kutamka maneno yaliyojaa chuki kama kuwaita wa dini nyingine makafiri na kufanya matendo mengine ya kinyama dhidi ya wale wa dini nyingine!?


Nakuelewa vizuri sana ila wanapotamka maneno hayo wanakuwa misikitini kwenye mimbar au majukwaani kwao huko na labda hata udhu wanakuwa hawana wakati wanatamka hayo unayoyasema??!!!

Unasema walienda hijja sawa kweli ni mahujjaj wa haqi li llah au walienda religious tour???!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilijua baada ya Kikwete kuteua waislam wawili mfululizo tu italeta shida
tulipokuwa na CAG na AG wakristo haikuwa shida.....now hizo pisition zimekuwa replaced na waislam...
some people cant hide their unhappiness......

Tatizo NI hila... Hilo tu NA kuweka mikakakati sasa ni zamu yetu! Hilo tu...
 
Kweli kabisa huo udini ndiyo mada iliyopo, na mimi naamini, ukitajwa "udini" basi ni Uislam, na wakitajwa "wadini" basi bila shaka ni Waislaam.

Naomba nipinge katika hilo au nieleimishe na unioneshe ni nani "mdini" Tanzania hii zaidi ya Muislam.

Enyi mlio amini , msiwachukue Wakristo na Wayahudi kuwa marafiki zenu... Huo ndiyo udini haswaa

Tofauri na...
Mpende jirani yako Kama nafsi yako !
Mkiwatendea wema ndugu zenu Tu mtakuwa mnafanya lipi la ziada, mbona hata waislam huwatendea vema waislam wenzao...
Je hu nao ni udini ?
Tusiangalie matukio tuangalie miongozo ya kidini Ili kujua udini halisi...
 
That is st.upid...
Mimi ni Christian lakini nimeangalia CV at least ya CAG huyo mwingine simjui sikuwa na cha kulalamika zaidi ya ku doubt kama ata apply uwezo wake (professionalism) kwenye rotten system...

Mtu akiingiza udini wakati mtu ana CV inasomeka, ni mj.inga tu...na hatutafika mbali tukiwa tumefikia kuwa na hii tabia chafu...
Je hukuwaona hao makatonta wenzio wanavyoongea? Usijifanye kipofu na ukiziwi wake, imeshazoeleka humu udini uko NSSF lkn hauko PPF na kwingineko, udini ni pale Kikwete anapoteua mtendaji mwenye jina la kiislam. Ukweli unabaki nyie Wakristo wa Tanzania mna chuki kali sana mioyoni mwenu juu ya waislam. Fuatilia hizo posts za uteuzi wa hivi karibuni humu JF utajua anachosema madam FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Mimi nionavyo hata Kikwete kuwa Rais ni shida. Kwa dini yake tu na si kwa utendaji wake.

Aje mmoja, atowe dosari ya utendaji wa Kikwete tulinganishe na wa kabla yake.
kikwete ni chaguo la Mungu by bishop Kilaine et-al.
 
Madhara ya kupanga ya kupanga matokeo kabla ya uchaguzi ndio haya, Sasa unakuja na udini, wakati unajua watu tupo bize kushangilia ushindi,
KWA HIYO UNATAKA KUSEMA KIKWETE AMEZIDI UDINI HADI MMEANGUSHWA SERIKALI ZA MITAA?

haya endelea kuota ndoto japo najua UKAWA NI JIWE LA GIZANI, UKISIKIA YALAAAAAAAA UJUE FaizaFoxy LIMEMPATA

80% ndio kuangushwa? na 20% utaiita nini?
 
Enyi mlio amini , msiwachukue Wakristo na Wayahudi kuwa marafiki zenu... Huo ndiyo udini haswaa

Tofauri na...
Mpende jirani yako Kama nafsi yako !
Mkiwatendea wema ndugu zenu Tu mtakuwa mnafanya lipi la ziada, mbona hata waislam huwatendea vema waislam wenzao...
Je hu nao ni udini ?
Tusiangalie matukio tuangalie miongozo ya kidini Ili kujua udini halisi...

Weka "context" hiyo ni aya nzuri sana kwa mwenye kufikiri. Ngoja nikusaidia kuiweka kama ilivyo halafu uisome vizuri.

Qur'an 5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. ***


Qur'an 5:52. Utawaona wale wenye maradhi nyoyoni mwao wanakimbilia kwao wakisema: Tunakhofu yasitusibu mabadiliko. Huenda Mwenyezi Mungu akaleta ushindi au jambo jingine litokalo kwake wakawa wenye kujuta kwa waliyo yaficha katika nafsi zao. ***
 
Mimi nilijua baada ya Kikwete kuteua waislam wawili mfululizo tu italeta shida
tulipokuwa na CAG na AG wakristo haikuwa shida.....now hizo pisition zimekuwa replaced na waislam...
some people cant hide their unhappiness......

Kwa mtaji huo, ina maana uchaguzi wa mwakani mgombea wa CCM lazima awe Mkristo la sivyo kitanuka?

*Nimetaja mgombea wa CCM kwa sababu huyo ndo atakayeshinda uchaguzi*
 
Back
Top Bottom