Meza imechafuka dah!!
Mambo ya forodhani hayo
Meza imechafuka dah!!
Sijala siku nyingii hata ladha nimesahau...nilikula zamani na chukuchuku ya samaki(mabichwa) ilotiwa maembe mabichi aiseeey...
Haya bibi tutabebana!!Ugali wa muhogo na mchuzi wa nazi wa kibua mtamu nkila lazma aje mtu kuniinua lol alafu siku nzima wanywa maji tu
Mamaaa mpaka bungo dah maskini we roho yangu mi nipe na masala tu hilo mdomo umenijaa mate dah!!
Chapati kwa maharage ndio yenyewe au mkate wa ufuta kwa maharage,andazi na supu