Tanzania huru 29 Oktoba

Tanzania huru 29 Oktoba

TheSeer

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2025
Posts
480
Reaction score
1,115
Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ).

Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika.

29 October, tunatoka kuisafisha nchi na kuthibitisha ukombozi ambao tunao hadi sasa kwa 98%..

Mafwele anza kuandaa mambo ya nyumbani pako.. Namna ile ambayo ulimwaga damu , ni kwa namba hiyo hiyo inakuja kwako.. mtu huvuna alichopandaa.
 
Astalavista simpree
 
Mkuu.. Kwa ground kila kitu kipo sehemu yake. Tanzania inaenda shangaza ulimwengu tukutane hapa November mkuu.. tukiwa na Tanzania mpya, kuanzia kesho tunazidi kasi kitaani
Mpaka muda huu ccm wana back up ya policcm. Na Gen Z wana back up ya jeshi. Kuna wajinga watapinga hiki nilichosema hapa. Lakini ukweli ndiyo huo. Asilimia kubwa ya wanajeshi wahamuungi mkono huyo mtekaji na genge lake la wahuni.
 
Nilibahatika jana kukaa na mabaka ( 100 % ) hawamtaki , Na kuna Police pia wana snitch polisi wenzao, kuna mtu nilikuwa naongea nae comredi kweli kweli ila ameisha kata tamaa ni wa upande wa mama.. nchi ni yetu.. Na utaona mafwele anakula vyuma vya kifua
 
Binafsi nakatisha viunga mbalimbali vya Jiji la dsm,sioni huo utayari,Jamii yetu utayari upo chini sana
Hauwezi kuona utayari kwasababu haupo tayari. Ila tulio tayari tunajia namna gani tumeisha ingia kwenye utekelezaji
 
Tutoke wote tukatiki amani iendelee tuachane na uendawazimu wa kihalaiki, Kampeni zimeisha tukachague wagombea tunaowahitaji
 
Kupitia hili linaloendelea hapa nchini Kwa Sasa nimepata uhakika kua hata kipindi Cha mwalimu Nyerere kupigania uhuru kuna manyumbu waliogopa na kujifungia ndani na wake zao lakini uhuru ulivyopatikana wakatoka mstari wa mbele kusema wamepigania uhuru
 
Back
Top Bottom