William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #21
Nadhani Marehemu alikuwa ana namna ya pekee ya kutoa "motivation" kwa watu. Binafsi sitasahau siku mojja niliangalia kipindi chake kwenye TV akitoa maelezo na "kumotivate" nini taifa starr ilitakiwa kufanya ili wawashinde Senegal teh teh the. baada ya kusikia akitaja taifa star ilibidi ningalie kipindi chote
Nadhani mchango wake japo kuanzia sasa ni histoiria upo kama mchango wa babu samunje wa Loliondo. Japo kuna tofauti but kuna positive and negative
BTN
jamani hii sio thread ya kisiasa tafuta jukwaa linalofaa.
- Socially unakubali kwamba alikuwa a motivational speaker, lakini unasema hii thread hapa sio pake kwamba hiyo motivational kwa wananchi haikuwa ni siasa kwa taifa, wakati tunaambiwa na wanaojua sana kwamba watawala wa Awamu ya kwanza hawakumtaka hapa nchini, unafikiri ni kwa nini mkuu?
William @ NYC, USA.