Tanzania: Hatukupiga kura sababu tulichotaka kati ya Urusi vs Ukraine hakikutokea!

Ukraine ilipoteza ndege kadhaa wakati vita inaanza kwa vile walivamiwa ghafla zikiwa uwanjani zikapigwa mizinga. Lakini wao hawajatumia vifaru vyao kwenye vita hiyo, kwa hiyo hawajapoteza hata kifaru kimoja. Urusi inatumia vifaru na magari ya derala, yanbomolewa kama vibuyu. Halafu kuna wakati kambi ya Ukraine ilipigwa mizinga usiku, ikauwa askari wapato 50 hivi, kwenye vita ya ana kwa ana urusi imekuwa inapteza askari kama sisimizi waliomwagiwa mafuta ya petroli. leo hii Mnowari yao kubwa imebomolewa ikiwa bandarini na kuuwa askario wengi wa navy pamopja na Navy Commander wao.
Daah
Source ya hizi taarifa ni nini?

Hiyo submarine inaitwaje iliyolipuliwa??
 
Tunahalarisha maonezi na mauaji ya watu ili tu na sisi tunapowafanyia watu wetu kama urusi wanavyofanya tuungwe mkono na mashetani hayo. Tunashindwa kukemea mauaji tunahalarisha nini?. UNAFIKI TU.
 
Back
Top Bottom