East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Jana nilimsikia Museveni akiongea kwa tahadhari kubwa kuwa Tanzania haijatengwa bali kwa sasa wanashughulikia Northern Corridor yaani Mombasa - Kampala - Kigali! Baadaye watashughulikia Southern Corridor yaani Dar - Tabora-Kigoma - Mwanza!
kumnukuu KOMBA,ni kujidhalilisha
Ha ha ha ha ha ha nimeipenda hii Tanzania kwasababu ina eneo 52% huku nchi nyingine zikibakiwa na 48%.Hapa Tanzania ni muoaji kwakigezo cha eneo ngoja wala urojo wakusikie.
Kwa mawazo yako hao Musaveni na Kagame watakuwa presidents for life au vipi, tujitahidi kuangalia mbele zaidi na sio kujikumbatia na misifa,..mara nyingi ukiwa na tatizo suluhisho la kudumu ni kulifanyia kazi na sio kulikimbia,..Mimi nitaendelea kuwa na msimamo kuwa, surely we don't need EAC in the prevailing situation (having Kagame and Museveni with their ideology of creating Bahima Empire). These two are violent tyrants, war mongers, ready to shed innocent blood to have their goals attained. Muungano ni kitu kizuri sana, lakini sio kuungana na watu wenye nia mbaya kama hao wawili!.. Ni watu ambao hawana nia njema na Tanzania, na hata huo muungano wa EAC hawana nia njema nao kwani wana agenda zao za siri!... Tuwe makini sana na hawa watu watutsi (nisieleweke kuwa ni mbaguzi au nina chuki na watutsi, la hasha, ila tabia zao ovu ndio ninazozichukia)...
Dodoma. Wabunge wa bunge la tanzania wamedai kuwa tanzania imepewa talaka ndani ya jumuiya ya EAC, kutokana na kitendo cha kenya, rwanda na uganda kuamua kujiunga wenyewe na kutengeneza shirikisho lao bila kushirikisha tz & burundi.. Kitendo cha nchi izo kuanzisha system ya kusafiri bila pasport na kuamua kutumia bandari ya mombasa tu, ndivyo vilivyokasirisha wabunge wa tanzania.
Bungeni leo kwenye kipindi cha maswali na majibu akijubu swali la Mbunge John Komba kuhusu EAC Waziri wa wizara ya Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta amesema hakubaliani na kauli ya kusema Tanzania inasubiri talaka kutoka Nchi za Afrika mashariki zinazoonekana kuizunguka EAC. Waziri Samwel Sitta amesema Tanzania inaeneo la 52% katika eac na nchi zinazobaki zina 48% hivyo akasema katika EAC Tanzania ni muoaji kama litatokea jambo baya Tanzania ndio itatoa Talaka.
Hiyo ni Talaka rejea!
Naona jibu la Samwel Sitta kwa kiasi fulani limedhalilisha wanawake/wake...kwamba mwenye nguvu, mali (52% ya ardhi) ndiye mwanaume na muoaji, na ndiye mwenye kuamua kutoa talaka! Hivyo wanawake ni kundi 'dhaifu' tu, waolewaji, na hawawezi kutoa talaka...pathetic kuongea huo ujinga Bungeni, and am sure kuna waBunge wanawake walipiga meza kushangilia kudhalilishwa!
None-sense!!!wanaacha kujadili mambo ya msingi wana komaa na mambo ambayo yapo waz kila mtu anaelewa ili iweje?
Hakuna mahali ambapo Sitta amewataja wanawake wala wanaume.
Sasa bibie, talaka na itolewe kwa ustaarabu madhali kuna siku utaweza kuniota nimekupakata au umenipakata maadam koo zetu pande zote zinajua tunapendana. Isije ikawa tunalatikiana lakini tunaendelea kuzaa pamoja kwa kificho. Noma yaani mwe!Mimi naona hapa ishu ni kiswahili tu.Uwe muoaji au muolewaji talaka inaweza kutolewa kwa yeyote.Hivyo Membe hakukosea.
"CCM ni kokolo...humu ccm kuna mataahira, makopo, wahuni, etc" capt. John Komba (Mb-Mbinga magharibi) sasa tukiwa na eneo kubwa kiasi hicho what are we earning from it? ukilinganisha na hao wadogo 48%