Izack Mwanahapa
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 497
- 236
Bungeni leo kwenye kipindi cha maswali na majibu akijubu swali la Mbunge John Komba kuhusu EAC Waziri wa wizara ya Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta amesema hakubaliani na kauli ya kusema Tanzania inasubiri talaka kutoka Nchi za Afrika mashariki zinazoonekana kuizunguka EAC.
Waziri Samwel Sitta amesema Tanzania inaeneo la 52% katika eac na nchi zinazobaki zina 48% hivyo akasema katika EAC Tanzania ni muoaji kama litatokea jambo baya Tanzania ndio itatoa Talaka.
Waziri Samwel Sitta amesema Tanzania inaeneo la 52% katika eac na nchi zinazobaki zina 48% hivyo akasema katika EAC Tanzania ni muoaji kama litatokea jambo baya Tanzania ndio itatoa Talaka.