Tanzania haijaolewa EAC - Samwel Sitta

Tanzania haijaolewa EAC - Samwel Sitta

Mambo ya EAC yanatushosha, bado ya muungano wa wazanzibara na wazibari, aisee yote haya ni Tanzania tu.......
 
Whether Tanzania is isolated on some of these issues i wouldn't mind for it doesn't click in my mind how Tanzania is supposed to be incorporated in a railway project to ease transportation from the port of Mombasa; on other issues maybe but on this one that's just wishful thinking.
On single visa issue we all know Tanzania does not advocate for it so what happens when the other countries feel their citizens should integrate and trade more?
 
Bungeni leo kwenye kipindi cha maswali na majibu akijubu swali la Mbunge John Komba kuhusu EAC Waziri wa wizara ya Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta amesema hakubaliani na kauli ya kusema Tanzania inasubiri talaka kutoka Nchi za Afrika mashariki zinazoonekana kuizunguka EAC. Waziri Samwel Sitta amesema Tanzania inaeneo la 52% katika eac na nchi zinazobaki zina 48% hivyo akasema katika EAC Tanzania ni muoaji kama litatokea jambo baya Tanzania ndio itatoa Talaka.
hoja aliyoitoa S.Sita ni dhaifu kusema kwamba Tanzania ni kubwa hivyo haiwezi kuolewa,mbona mwanamke anaweza kuwa na umbo kubwa kumpita mwanaume lakini anaolewa!!!
 
Whether Tanzania is isolated on some of these issues i wouldn't mind for it doesn't click in my mind how Tanzania is supposed to be incorporated in a railway project to ease transportation from the port of Mombasa; on other issues maybe but on this one that's just wishful thinking.
On single visa issue we all know Tanzania does not advocate for it so what happens when the other countries feel their citizens should integrate and trade more?

Exactly, how are they supposed to get involved on infrastructure projects involving the norther corridor? May be things will be different when we embark on Southern corridor projects.
 
Sawa eneo ni kubwa je TZ inashikiria uchumi wa EAC kwa 52%??? kama ni chini ya hapo tuache ujinga wa kujisifia wakati hakuna maendeleo ya uchumi, are we super power in east Africa? eneo kubwa la nini kama idle or dead giant?
 
Wana jf najiuliza iwapo vikao vya Afrika mashariki vinaendelea Huku Tanzania haijaarikwa.je umhimu wa kuwepo wizara ya afrika mashariki inayoongozwa na sitta uko wapi.namshauri ajiuzuru.kwani wizara yake haina kazi tena imetengwa.
 
Kazi yake ndiyo anayetoa taarifa kuwa
jamaa wanaitega Tz&Burundi unadhani
Bongo kuna utamaduni wa kujiuzuru ?
 
Wizara ni sehemu ya ulaji haiusiani na utendaji hata kama hakuna EAC ataendelea kuwa na title hyo mpaka kikomo chake chezea chama chao!
 
Ajiuzulu kwa sababu ya ubaguzi na wivu wa kina kagame na uhuru...siyapendi magamba lakini hapa sio.....
 
Wana jf najiuliza iwapo vikao vya Afrika mashariki vinaendelea Huku Tanzania haijaarikwa.je umhimu wa kuwepo wizara ya afrika mashariki inayoongozwa na sitta uko wapi.namshauri ajiuzuru.kwani wizara yake haina kazi tena imetengwa.

Mantiki ya proposition yako ni sawa na CHADEMA kufunga virago na kugawana samani za ofisi.
Mbona kila uchaguzi wanashindwa?
 
jamaa anavyopenda madaraka sidhani kama anaweza kujiuzuru labda wizara ifutwe tu basi na 6 achinjiwe baharini.
 
we jamaa sijui watutsi walishakukosea nini?? katika michango yako yote hapa jf ya kuhusu EAC kazi yako kubwa ni kuwaponda watutsi tu na kuonesha chuki yako dhidi yao, acha ubaguzi usiokua na maana watu wote ni sawa in africa! kwani hujui mtutsi nyerere ndo alitupatia uhuru wa tanganyika!?

Siwachukii wala kuwabagua watutsi. Nachukia tabia zao za kishetani. Hivi wanachofanya huko DRC wewe unaona ni sawa? Unajua plans walizonazo ku distabilize nchi ya Tanzania?.. anyway, let me not waste my time with you. Huenda ni mmoja wapo. Na kama sio utakapoamka usingizini ndo utajua nina maana gani
 
Published on 30 Oct 2013 : Tanzania imemzuia Waziri wa Mambo ya Nje kuhudhuria mkutano Kenya. Tanzania imemzuia waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh Bernad Membe kuhudhuria mkutano wa mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika Nairobi, Kenya kutokana na baadhi ya nchi kutaka kuunda shirikisho bila ya kuishirikisha. Source: ITV TANZANIA youtube
 
Last edited by a moderator:
Whether Tanzania is isolated on some of these issues i wouldn't mind for it doesn't click in my mind how Tanzania is supposed to be incorporated in a railway project to ease transportation from the port of Mombasa; on other issues maybe but on this one that's just wishful thinking.
On single visa issue we all know Tanzania does not advocate for it so what happens when the other countries feel their citizens should integrate and trade more?

Nyang'aus at work! We Tz, stand firm and focused on our issues! Hey, go ahead with ur poof plans....
 
Wana jf najiuliza iwapo vikao vya Afrika mashariki vinaendelea Huku Tanzania haijaarikwa.je umhimu wa kuwepo wizara ya afrika mashariki inayoongozwa na sitta uko wapi.namshauri ajiuzuru.kwani wizara yake haina kazi tena imetengwa.
Ni aibu kwa kutojua halafu hujui kuwa hujui ndiyo sifa kubwa uliyonayo.
 
Mnakaa mnasema mna Bunge na amiri jeshi mkuu. kila siku kujadili upuuzi wa Kenya Rwanda na Uganda, Rais Dhaifu , Bunge dhaifu. Unapoiba kura na kuchukua madaraka ukafikiri ni lelemama inakula kwako.
 
Published on 28 Oct 2013 EAC Summit Heads of State launch Single Customs Territory The Presidents of Kenya, Uganda and Rwanda launch the Single Customs Territory to help in clearing goods faster and ease the cost of doing business in the region. President Uhuru Kenyatta, Yoweri Museveni and host Paul Kagame inaugurated the customs territory at the 3rd Infrastructure Summit. With the launch of the single customs territory, time spent moving goods along the corridor will reduce from 18 days to 5 days for Mombasa to Kampala. Francis Jjingo has the highlights of the four-day summit. Source: NTV UGANDA youtube
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom