Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

Inategemea duka gani unanunua Suti pale mfano mwisho wa huo mtaa kuna duka la mtu mweusi wa pili kuwa na duka Savile Row OZWALD BOATENG (jamaa ni mGhana) sometimes ukibahatisha unaweza kupata suti za mpaka paundi 600 lakini usithubutu kuingia Anderson & Sheppard, Dege, Huntsman, & Richard Anderson ...kwa hiyo uwe tayari kuspend about 3 K and above. Pia kuna mafundi wengine Fallan & Harvey ambao naweza kusema have never been on the Row ... but are indeed of high quality kwa hizo hizo Bespoke suits

my favorite has always been Huntsman lakini bei zao kaka utalia maana hupati suti pale bila £4k+ for a 2 piece bespoke lakini kaka pamba yake inakuwa imetulia sana.

Kinachoniudhi na huo mtaa pale kwenye kona kuna duka moja liko so tacky la wa America la ABERCROMBIE kwa hiyo vurugu mtindo mmoja pale nje ya ma teen kujazana nje na foleni zao.
Huu ni utoto kutambiana kwa pipi za kijiti.
 
Huu ni utoto kutambiana kwa pipi za kijiti.


Mfano nikikuambia kuwa btn Ferrari na Mc Laren my fav is McLaren does that mean I own one?

lakini najua JK hashindwi kununua suti ya 4 K so lets have some perspective
 
umenifurahisha sana ! Juzi nipo Bukoba nilionyeshwa mwanamke Jk aliyezaa naye .Wewe ama ni watanzania wangapi wanajua hili?.Masasi Jk ana mtoto na amefanana naye kupita maelezo,Je wewe mkandara unalijua hilo !.Kama hawa mabibi na watoto wake waliopo Tz huwajui wa Rwanda utamjua ..Wake up
 
This PR issue!

Well, i would say Magogoni is earning this kind of dividends as a result of

not having the right people at the right places.

Its obvious there is lots of people hand picked by the man at the top

but lack the right profile.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Baada ya kusoma ile habari ya Ukerewe ndipo nilijua kwamba wikileaks haina tofauti sana na wikipedia - A free encyclopedia which anyone can write or edit anything! - Haya na hizo habari za JK kaoa Burundi sijui Rwanda mbona mke mwenyewe hatumjui?

Usibishe kuwa ana mke huko kwani wake zake wangapi unawajua?Ukiambiwa ana mke Afrika ya Kusini napo utabisha?
 
sijawahi kumwona JK akavaa a double brested RR bespoke suit

degesuit.jpg
 
hata kama una ushahidi sheria ya TANZANIA itamfanya nini kikwete mwenye kinga kikatiba,

ccm na wao wanasubiri nini kukanisha kwamba hawakupewa hela na huyo mdosi,
na tukio kwenye guesroom ni tukio gani?
ina maana hawa jamaa walikuwa pocket money ya mkuu wa kaya?
kama kwenye wikileaks wame post uongo basi IKULU wapigeni barua kwa kumdhalilisha raisi
hama la hizi habari ni za kweli

Sio wawandikie Wikileaks tuu. Wawaandikie pia na Marekani ambayo spy wao aliandika hiyo cable Ikulu inadai ni ya uongo. Hivi wakati Mrs Clinton akiwapigia simu viongozi wa nchi mbalimbali kuomba radhi kwa hizi ku-leaks, hakutupigia pia na sisi Tanzania? Au alipokuwa ziarani hapa Tanzania, hakumwomba Rais radhi?
 
yani mkulu kanunuliwa kawoshi na sarawili halafu akatoa serengeti migration route kwa waarabu?
Mi ananiacha hoi tu pale anapolipiwa guest room kwa ajili ya private 'events' zake!
We have a joke for a president!
 
Na sio kila kitu anachosema JK ni sahihi, alisema atawapa waislam mahakama ya kadhi halafu kaonekana aliwaongopea ili kupata kura.
Kwa hilo la Mahakama ya Kadhi wala msimsingizie JK! Waislamu wamepewa uhuru wote wa kuanzisha na kuziendesha Mahakama hizo ila wamefanya vichwa ngumu tu!
 
Mfano nikikuambia kuwa btn Ferrari na Mc Laren my fav is McLaren does that mean I own one?

lakini najua JK hashindwi kununua suti ya 4 K so lets have some perspective

taratibu hapo kwenye RED mshahara/posho wa jk una ujua? je ni shillingi ngapi?
kama ukishindwa kuuweka hapa basi umeropoka

lakini pia unaposema ashindwi kwani nani kasema kashindwa? na wewe unaposema anaweza kwa hela zipi?
halali au za kukwapua? kama kuna kipato chochote cha jk cha halali unachokijua kiweke hapa tuone kama kunaweza kumruhusu
kwenye london kwa ajili ya shopping
kumbuka kuna pango, usafiri, mwenza na kadhalika hapo kwa haraka ni £30,000 alizitoa wapi?
hoja hapa ni kununuliwa suti na tariji mmoja,
sio uwezo wa jk, mbona matajiri kila siku tunasikia wamedhurumu nyumba, na yeye ni mmoja wao
tatizo hapa no morally mkuu
 
"......... mwenye ushaidi atuletee......"

And why this line shows up everytime there are allegations of corruption or ufisadi???

Is this the best defence that the 4 phase government and its people can come up with??

Does it mean the government lacks skills or institutions to investigate??

If thats the case then, there is a serious national security issue plus there is also a group of

civil servant earning salaries for not doing the jobs hired for.
 
The irony here is that JK is caught with his pants down for accepting Saville Row suits as bribes!!

It just goes to show even Saville Row suits can't clothe a naked lack of integrity.
 
Kwa hilo la Mahakama ya Kadhi wala msimsingizie JK! Waislamu wamepewa uhuru wote wa kuanzisha na kuziendesha Mahakama hizo ila wamefanya vichwa ngumu tu!

JK aliahidi Mahakama ya kadhi itaanzishwa kiserikali.
 
salva bwana!!!....

Nyie vilaza wa IKULI you should learn that sometimes your silence helps to somehow shore up the intergrity of your corrupt boss more than when you open your big mouth!!
 
Malipo ni hapahapa duniani... Maovu ambayo wameifanyia nchi hii yatawaaibisha na kuwatafuna wao na vizazi vyao hadi waishe.. Saliva angetwambia kikwete aliposaini ule mkataba wa IPTL akiwa waziri wa nishati, alitolewa 'out' mara ngapi na alinunuliwa c**p* ngapi na za rangi gani angalau tungemwelewa.
 
Also, I am a bit disappointed no newspaper is reporting the whole Kikwete tidbit, they are editing out the 1000.00 cash filled white envelop delivered by a S.Asian businessman for one of Mr. Kikwete's personal 'events' in the guestrooms. Why so much censoring of a "baseless, worthless" cable talk?

Having said that, I am more inclined to believe the WL cables then the "denial" from Ikulu. There is plenty of truth to the WLcable about the way business is done in TZ.

Hapo kwenye red is interesting bearing in mind the thread here debating the same issue was closed as well for no apparent reasons. I won't be surprised if this thread is closed as well.
 
Back
Top Bottom