Na wewe uachage kukurupuka .. ... .... .. ''Saville Row suits''
Soma post #5 . Wacha kukurupuka.
1000 for an event in one of the "guestrooms".. mbona imekaa kama matusi sasa?
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Salva Rweyemamu amekanusha vikali taarifa za Mtandao wa Wikileaks zinazodai kuwa Rais wa JMT Mh. Kikwete alinunuliwa suti tano huko London na aliyekuwa mmiliki wa hotel ya Kilimanjaro Kempinski.
Bw. Rweyemamu amedai taarifa hizo za Wikileaks ni za uongo na upotoshaji mkubwa na zinazomdhalilisha Rais wa JMT na akasema mwenye ushahidi wa tuhuma hizo aupeleke Ikulu!
Source:Chanel ten
Kazi ni kwenu watz!
Inategemea duka gani unanunua Suti pale mfano mwisho wa huo mtaa kuna duka la mtu mweusi wa pili kuwa na duka Savile Row OZWALD BOATENG (jamaa ni mGhana) sometimes ukibahatisha unaweza kupata suti za mpaka paundi 600 lakini usithubutu kuingia Anderson & Sheppard, Dege, Huntsman, & Richard Anderson ...kwa hiyo uwe tayari kuspend about 3 K and above. Pia kuna mafundi wengine Fallan & Harvey ambao naweza kusema have never been on the Row ... but are indeed of high quality kwa hizo hizo Bespoke suits
my favorite has always been Huntsman lakini bei zao kaka utalia maana hupati suti pale bila £4k+ for a 2 piece bespoke lakini kaka pamba yake inakuwa imetulia sana.
Kinachoniudhi na huo mtaa pale kwenye kona kuna duka moja liko so tacky la wa America la ABERCROMBIE kwa hiyo vurugu mtindo mmoja pale nje ya ma teen kujazana nje na foleni zao.
Ukiangalia mwenendo wa JK wa matanuzi, mmmmmm......!Sio kila kitu kilichoandikwa kwenye wikileaks ni sahihi.
Baada ya kusoma ile habari ya Ukerewe ndipo nilijua kwamba wikileaks haina tofauti sana na wikipedia - A free encyclopedia which anyone can write or edit anything! - Haya na hizo habari za JK kaoa Burundi sijui Rwanda mbona mke mwenyewe hatumjui?
Wapelekewe ushaidi wakaufanyie nini, Msemakweli kapeleka akaishia kukamatwa kama vipi tangulieni mahakamani.Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Salva Rweyemamu amekanusha vikali taarifa za Mtandao wa Wikileaks zinazodai kuwa Rais wa JMT Mh. Kikwete alinunuliwa suti tano huko London na aliyekuwa mmiliki wa hotel ya Kilimanjaro Kempinski.
Bw. Rweyemamu amedai taarifa hizo za Wikileaks ni za uongo na upotoshaji mkubwa na zinazomdhalilisha Rais wa JMT na akasema mwenye ushahidi wa tuhuma hizo aupeleke Ikulu!
Source:Chanel ten
Kazi ni kwenu watz!
Baada ya kusoma ile habari ya Ukerewe ndipo nilijua kwamba wikileaks haina tofauti sana na wikipedia - A free encyclopedia which anyone can write or edit anything! - Haya na hizo habari za JK kaoa Burundi sijui Rwanda mbona mke mwenyewe hatumjui?
Inategemea duka gani unanunua Suti pale mfano mwisho wa huo mtaa kuna duka la mtu mweusi wa pili kuwa na duka Savile Row OZWALD BOATENG (jamaa ni mGhana) sometimes ukibahatisha unaweza kupata suti za mpaka paundi 600 lakini usithubutu kuingia Anderson & Sheppard, Dege, Huntsman, & Richard Anderson ...kwa hiyo uwe tayari kuspend about 3 K and above. Pia kuna mafundi wengine Fallan & Harvey ambao naweza kusema have never been on the Row ... but are indeed of high quality kwa hizo hizo Bespoke suits
my favorite has always been Huntsman lakini bei zao kaka utalia maana hupati suti pale bila £4k+ for a 2 piece bespoke lakini kaka pamba yake inakuwa imetulia sana.
Kinachoniudhi na huo mtaa pale kwenye kona kuna duka moja liko so tacky la wa America la ABERCROMBIE kwa hiyo vurugu mtindo mmoja pale nje ya ma teen kujazana nje na foleni zao.
back to the topic
was our president dressed my rich greed people
I think this Salva guy knows nothing about PR.
This is a wrong PR move