Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

You are right my friend. Hebu fikiria, kwa nini balozi mzima aulize "Nani anamvisha, anaonekana smart sana" kama si dharau kuwa wewe M-TZ huwezi kuvaa vizuri kwa pesa zako! Hii pia inawashushua wale wote wanaofikiri kuvaa suti nzuri kwa sisi waafrica kunaonyesha ustaarabu. Unadharauliwa kimoyomoyo na hao unaotaka kuwa-impress.

Hii ni changamoto kwa PR gurus ambayo wengi tulikuwa tunaijua. Kuwa "IMAGE" ya mtu ni lazima uvae tai, etc, etc. Nafikiri neno "UTANASHATI" lisilinganishwe na suti na tai. Ndiyo sababu Nyerere aliamua kuvaa very simple.

Ukiangalia kwa upande mwingine, hawa wazungu wanaangalia reality, kuwa sio busara kiongozi wa nchi ambayo 40% ya bajeti inatoka kwa wahisani, 30% ya watu wake wanaishi kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku anavaa designer suits ya dola 2000. Unataka kumuonyesha nani?

Yako mengi ya aina hiyo. Gavana wa benki kuu "ANAKARABATI", sio kujenga nyumba mpya, anatumia Shs billioni mbili! Tunasema hiyo ni sahihi. Matokeo yake ndiyo haya.

Tena mbaya zaidi una kwenda kuomba huko kwao ukiwa umevaa misuti ya bei mbaaaaya ambayo hata wazungu wenyewe unao wafuata ili wakupe misaada huvaa hizo kwenye special occasions...Hii ni tabia mbaya na ya kishamba sana..!! Kumbe ndio maana walimpiga chini Mengi kisa Misuti ya kuhongwa !!! Aaaah Hendisamu boyi vijana wanakushika masharubu sasa!! loooooh!! !

Hii suti ya JK ni kali kuliko ya OBAMA
alihongwa nini??
attachment.php

Palitokea madaktari bingwa kutoka
nchi 3, CHINA, UJERUMANI na
TANZANIA. Wakawa wanajadili
mafanikio yaliyofanywa katika nchi
zao.
MCHINA Akaanza, kwetu alizaliwa
mtoto hana mkono tukamwekea wa
bandia na sasa ni mpiganaji wa
karate.

MJERUMANI Akasema hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu
yote miwili tukamwekea ya bandia na
sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana
medali 3 za dhahabu.

MTANZANIA Akacheka sana akasema kwenu bado hamjafikia rekodi yetu,
sisi hapo BAGAMOYO alizaliwa mvulana
hana kichwa tukamwekea nazi na
sasa ni RAISI WA JAMHURI YA
MUUNGANO WA ......

weekliks ni hatari teh! Bora hata wikileaks inaeleweka!

Huyo spy aliepeleka habari za suit naona kakosa cha kuandika.
Na ile habari ya kulipiwa "guest room kwa mambo ya faragha mbona uisemi?au ile ni suna ya mtume......kama mwenyewe ulivyosema kwenye sherehe ya Iddi?
Ni fedhea kwa JK kugawa maeneo ya hifadhi ya serengeti kwa vipande vya suti.

Baada ya kusoma ile habari ya Ukerewe ndipo nilijua kwamba wikileaks haina tofauti sana na wikipedia - A free encyclopedia which anyone can write or edit anything! - Haya na hizo habari za JK kaoa Burundi sijui Rwanda mbona mke mwenyewe hatumjui?

Wangapi una wafahamu kiasi kwamba huyo mmoja usiye mfahamu anakushangaza?

jamani haihitaji kutetea mtu kama JK hata kama ni tusi la aina gani maana yeye ndiye aliyoyataka kujipendekeza kila wakati kwa kuolewa na wamarekani

Gagurito;2456582]Palitokea madaktari bingwa kutoka
nchi 3, CHINA, UJERUMANI na
TANZANIA. Wakawa wanajadili
mafanikio yaliyofanywa katika nchi
zao. MCHINA Akaanza, kwetu alizaliwa
mtoto hana mkono tukamwekea wa
bandia na sasa ni mpiganaji wa
karate.

MJERUMANI Akasema hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu
yote miwili tukamwekea ya bandia na
sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana
medali 3 za dhahabu.
MTANZANIA Akacheka sana akasema kwenu bado hamjafikia rekodi yetu,
sisi hapo BAGAMOYO alizaliwa mvulana
hana kichwa tukamwekea nazi na
sasa ni RAISI WA JAMHURI YA
MUUNGANO WA ......[/QUOTE]

Duuuh!! Atakuwa prof. Shaba nini ? !!

Wana-JF, hebu tulieni kidogo hapa jukwaani. Kuna issue hapa ni NZITO pengine kuliko hata madai ya EVENTS chumbani KEMPINSKI. Wa-Tanzania jamani tufarijiane hivo hivo, daahhhhhhhh!!!!!!!!!!!

Walazwahoi wenzangu, poleni sana pengine huko mbeleni Mungu atamuumbua zaidi huyu mtu aliyetusababishia maisha yasiwe maisha tena kwa anasa za vijana wa umri wa miaka 17.

Ama kweli kuishi kwingi kuhu; Mzee Giddy Mangi acha kutupa habari nusu nusu namna hii tafadhali. Fungua shredi mpya kama inawezekana juu ya hili.

SIKU ZOTE UTAWALA WA DHULUMA KAMA HUU WA KIKWETE NA CCM HUISHIA KWA AIBU YA KUFA MTU ... badooo ngojeni kidogo mpaka watu waamue KUMRUDIA MUNGU na kutubu wenyewe hapa !!!

Nasikitika sana kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Bw Salvatory Rweyemamu kukanusha tuhuma dhidi ya boss wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Ukweli ulio wazi kuwa huyu bwana amekuwa anapokea vitu vingi sana toka kwa Taikuni Ally Al bawardy mmiliki wa Kilimanjaro Hotel Kempinski,Bilila Lodge Kempinski,Zamani Zanzibar Kempinski,Seventy Seven Hotel Kempinski Arusha.

Ngorongoro Rim na pia Mkurugenzi wa ASB Tanzania Limited na 60% share Tanzania Tea Blenders.

Upelekaji wa hongo hizo hufanywa na Madereva wa Kilimanjaro Hotel Kempinski kwa kutumia magari ya hotel.Ushahidi upo kwani pia hata spea za magari ya vigogo huletwa na mpambe wa Taikuni huyu Bw. Hasu Masrani.

Mkuu, vitu vilichukuliwa pale Selfridges.......vikadondoshwa pale ubalozini hatua chache tu.......halafu vikapelekwa.......
haya mkuu kazi kwako!!

Suit pair moja ni $99..so it means suti 5 equals $99*5= $495..hii inamaana basi ardhi ya mbuga ya serengeti imeuzwa kwa dollar 495.

Hii ni habari ya zamani kabla JK hajawa Rais! Labda, ungerephrase uulize ni "ni nchi gani ambayo waziri wake wa mambo ya nje hana uwezo wa kununua suti?"

Hata hivyo, suti hizi zinazozungumziwa ilikuwa ni 'zawadi' tu...so labda tuulize "ni nchi gani ambayo waziri wake wa mambo ya nje hawezi kupokea zawadi ya suti ?"
SMU,
Ni kweli cable zimezungumzia Kikwete alipokuwa waziri wa mambo ya nje. Lakini ukizungumza na wafanyikazi pale Kempinski watakuhakikishia kuwa hilo zoezi limeendelea kwa ari mpya na kasi mpya tangu alipoingia magogoni.

8D6U6421.JPG

Ni bora wangekaa kimpya...naona wamesahau kuwa JK ndio aliofungua Serengeti Kempinshi lodge...Hii press statement inamfunga raisi

Source MICHUZI

Oh Yes, Yatawatokea Puani... Kepinski wameuza Hoteli kwahiyo wanachuma na kuondoka sababu ya hizo zawadi kwa Rais wetu mtukufu

Kwanini walikataa kumpa Mengi hiyo hoteli... Sasa tunaona sababu ni kuchuma kuchuma...

Nyerere hakuijenga kwa Mantiki hiyo

Back
Top Bottom