Jamani,nyie si mnaijua kazi ya kurugenzi ya habari na mawasiliano IKULU???salva asipo jibu inamaana hafanyo kazi,hiyo ndio kazi yake salva,na anakwenda chooni kwa kazi hiyo,hata kama ni habari ya KIPUUZI kwake na bosi wake lakini ndo anapaswa ajibu ile nae aweke kumbukumbu kuwa amefanya kazi,nadhan mnakumbuka kuwa siku nyiiingi hajaongea tangu aseme yale maneno ya mitaani VIZABIZABINA