Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

Inategemea duka gani unanunua Suti pale mfano mwisho wa huo mtaa kuna duka la mtu mweusi wa pili kuwa na duka Savile Row OZWALD BOATENG (jamaa ni mGhana) sometimes ukibahatisha unaweza kupata suti za mpaka paundi 600 lakini usithubutu kuingia Anderson & Sheppard, Dege, Huntsman, & Richard Anderson ...kwa hiyo uwe tayari kuspend about 3 K and above. Pia kuna mafundi wengine Fallan & Harvey ambao naweza kusema have never been on the Row ... but are indeed of high quality kwa hizo hizo Bespoke suits

my favorite has always been Huntsman lakini bei zao kaka utalia maana hupati suti pale bila £4k+ for a 2 piece bespoke lakini kaka pamba yake inakuwa imetulia sana.

Kinachoniudhi na huo mtaa pale kwenye kona kuna duka moja liko so tacky la wa America la ABERCROMBIE kwa hiyo vurugu mtindo mmoja pale nje ya ma teen kujazana nje na foleni zao.

Kaka yaonekana ni mwenyeji sana huko na suala zima la pamba unalifahamu. Ngoja nichange change mkwanja kwanza kisha nitakutafuta!
 
Rais mwenyewe angeibuka na kukanusha kama hiyo siyo kweli maana hii ni bonge la kashfa
 
Mbona suti ndio inaongelewa zaidi kuliko dola 1 million kwa ccm? au hiyo ni poa? Faiza foxy njoo utetee kama unaweza, Magamba yamenichosha
 
Kama Rais wa nchi anaweza akahongwa suti tu na kutoa hoteli yetu aliyotujenge Misraeli na kumkabidhi Msaudia na kumuongea na mbuga zetu kujenga KEMPINSKI zaidi je kwenye jopo la MAGAMBA yaliojaa kule CCM ni kwamba Mzee wa kaya anamchezea nani akili kwa kudai kuwapiga chini Mafisadi Akina Rostam Aziz na Edward Lowassa???????

Ama kweli hizi cinema zetu za Bongo bana!!!!!!!!!!!!1


Kama kuna Aibu imewahi kuikumba Ikulu ya Tanzania hii imevunja Rekodi.
 
halafu hii kurugenzi ya mawasiliano ikulu mbona mnakuwaa hivyooo.....!!! eti utoaji wa vibali kujenga hoteli mbugani ulifanywa na serikali ya awamu ya TATU!!!!!!!!! Kwa hiyoo tutegemee serikali ya awamu ya TANO kuisingizia SAAANAAA serikali ya AWAMU YA NNE.
 
Subuuutu!!!!!!!!!!!!!!!

Nchi nyingine viongozi wanajiuzulu kwa kashfa ya kupokea zawadi ndogo kuliko suti, hii habari ni kubwa kuliko unavyoi'rate' wewe FF.

Nasubiri Presidaa sijui ataitolea ufafanuzi kwenye moja ya hotuba zake za mwisho wa mwezi..... Nilidhani angejiuzulu badala ya kukanusha, wanajisumbua tu kukanusha, wote tunajua huyo balozi hawezi kumsingizia JK kwani waligombana nini. Wote tunajua ugomvi wa JK na watu wengine huwa unakuwa kwenye mambo gani, sidhani kama waliwahi kugongana na huyu balozi. Kwa hiyo ni kweli JK alinunuliwa suti na kwa bei ya suti anauza nchi, another Chief Mangungo....dhahabu kwa shanga...
 
halafu hii kurugenzi ya mawasiliano ikulu mbona mnakuwaa hivyooo.....!!! eti utoaji wa vibali kujenga hoteli mbugani ulifanywa na serikali ya awamu ya TATU!!!!!!!!! Kwa hiyoo tutegemee serikali ya awamu ya TANO kuisingizia SAAANAAA serikali ya AWAMU YA NNE.

Mambo hayo! Unaambiwa safari (para 3) zote za nje ni kwa ajili ya shughuli za ki-ofisi, na ili hali wananchi (ambao ndio waajiri) wanalalamika na wingi wa hizo safari, kufikia kiasi cha kuhoji maslahi yao ktk hizo safari. Muziki ni mtamu kuusikiliza na pia ku-ucheza, lakini ukikosea step, unakuwa ni kichekesho kwa watazamaji badala ya mcheza show mahahiri
 
KEVIN Rudd is a control freak, Bill Shorten wants to be prime minister, Peter Costello hates Malcolm Turnbull, and Labor has a problem with asylum seekers.

Overwhelmingly, the hundreds of Australia-related US diplomatic cables released by WikiLeaks this week told us things we already knew.
There were plenty of embarrassing tidbits - for the government and opposition alike - but no truly damaging revelations. It could have been a lot worse.
All involved can now breathe a sight of relief: according to WikiLeaks' Twitter account, all of the 1133 cables originating in Australia have now been released.
Julia Gillard might be inclined to ask Julian Assange: "That all you got?"


Read more: WikiLeaks tells us what we already knew | News.com.au

Nimeweka quote hiyo hapo juu makusudi baada ya kuona kuna watu wana lengo la kupotosha kuhusu hizi cables za wikileaks. Kuna wengine tena wanajiita au kuitwa Dr. lakini eti wanauliza hivi hawa wikileaks walikuwa wapi siku zote kurelease hizi habari??????? Wengine wanajaribu kuleta conspiracy theory kwamba ni njama za Marekani kutaka kuleta machafuko nchini, as if ukosefu wa umeme, umaskini, njaa, maradhi si machafuko. Lakini pia kuna wale wanaosema hizi habari kutoka wikileaks sio zote za kuaminika, and you wonder ni zipik za kuaminika au what indicates kwamba hizi ni za kuaminika!!!!! Kurugenzi ya habari ya ikulu ndiyo wanachekesha kabisa mfano kwenye hii "We would like to state categorically that there has never been a time when the President received gifts from Ali Albwardy... if there is evidence to the contrary, we would like to challenge Mr. Albwardy to produce it for the public to satisfy itself that what he is claiming are mere lies" as if huyo Ali Albwardy ndiyo aliyetoa hiyo habari hivi sasa (Nakumbushia tena utabiri wangu, huyu jamaa lazima mtamuona kwenye TV akikanusha tena anaweza kukoleza kwamba huyo Lisa Pile nilimtimua kwa sababu ni mzushi)

All in all watanzania lazima tuelewe kwamba Wikileaks are just "whistle blowers" na hizo cables ni kuhusu karibu nchi zote dunia nzima kwa hiyo wa kushutumiwa ni wanadiplomasia wa Marekani na si Assange. For those who don't like that cable ipuuzeni lakini hii habari ya kusema Balozi wa zamani wa Marekani alete ushahidi haihitaji kuwekwa kwenye press release ambayo pengine hata yeye hajaiona. Kama wataka ushahidi wako kweli serious wawasiliane na FBI.
 
sasa mkanushe kuwa ndiye aliyagiza jengo la forodhani litolewe kwenye urithi wa nchi na libomolewe kwa kubadilishana na suti.
 
Na bado wikileakes akiblow na jinsi makampuni yalivyopewa madini yetu bure, gas bure, uranium bure na kujimba mafuta bure kwa zawadi ya suti na chumba cha short time kufanyia ufuska
 
Na bado wikileakes akiblow na jinsi makampuni yalivyopewa madini yetu bure, gas bure, uranium bure na kujimba mafuta bure kwa zawadi ya suti na chumba cha short time kufanyia ufuska

Hata hii inawezekana wanahongwa???
 
kuna aibu zingine ni aibu hata kuzungumzia

this tells how they think of us also

You are right my friend. Hebu fikiria, kwa nini balozi mzima aulize "Nani anamvisha, anaonekana smart sana" kama si dharau kuwa wewe M-TZ huwezi kuvaa vizuri kwa pesa zako! Hii pia inawashushua wale wote wanaofikiri kuvaa suti nzuri kwa sisi waafrica kunaonyesha ustaarabu. Unadharauliwa kimoyomoyo na hao unaotaka kuwa-impress.

Hii ni changamoto kwa PR gurus ambayo wengi tulikuwa tunaijua. Kuwa "IMAGE" ya mtu ni lazima uvae tai, etc, etc. Nafikiri neno "UTANASHATI" lisilinganishwe na suti na tai. Ndiyo sababu Nyerere aliamua kuvaa very simple.

Ukiangalia kwa upande mwingine, hawa wazungu wanaangalia reality, kuwa sio busara kiongozi wa nchi ambayo 40% ya bajeti inatoka kwa wahisani, 30% ya watu wake wanaishi kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku anavaa designer suits ya dola 2000. Unataka kumuonyesha nani?

Yako mengi ya aina hiyo. Gavana wa benki kuu "ANAKARABATI", sio kujenga nyumba mpya, anatumia Shs billioni mbili! Tunasema hiyo ni sahihi. Matokeo yake ndiyo haya.
 
JK aliahidi Mahakama ya kadhi itaanzishwa kiserikali.
Kwenye Ilani ya Uchaguzi, 2005 iliandikwa kwamba suala la Mahakama ya Kadhi "litapatiwa ufumbuzi," sasa hayo ya "kuanzishwa Kiserikali" umeyatoa wapi?
 
Je Ni vingapi anahogwa na sisi Hatujui? Huyu Fisadi Kikwete analitia Taifa letu aibu kwa tamaa zake za kijinga. Hivi tunashindwa vipi kumtoa huyu Fisadi na kundi lake hawafiki hata 50
 
Back
Top Bottom