Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

dah watu wamagamba mmeshikwa pabaya alafu huyo huyo aliye honga sarawili mnafanya nae makubaliano muuze jengo la mahakama duhh
 
Nilidhani hizi kashfa kwanza:
1. Hazihusu ikulu moja kwa moja kwani jamaa alihongwa wakati akiwa waziri wa mambo ya nje
2. Ni kashfa binafsi za JK

sasa inakuaje msemaji wa ikulu analitolea ufafanuzi? I thought familia ya Mkulu mwenyewe ndo ingetoa tamko. Wapi dogo ritz one, hajaitisha waandishi wa habari bado?
 
umenifurahisha sana ! Juzi nipo Bukoba nilionyeshwa mwanamke Jk aliyezaa naye .Wewe ama ni watanzania wangapi wanajua hili?.Masasi Jk ana mtoto na amefanana naye kupita maelezo,Je wewe mkandara unalijua hilo !.Kama hawa mabibi na watoto wake waliopo Tz huwajui wa Rwanda utamjua ..Wake up

Kiwango cha kiongozi kujulikana udhaifu wako na kuuridhia ni udhaifu wa hali ya juu kama huu wa Kikwete kukubali kutengewa chumba na kulipiwa hotelini kwa ajili ya kujinafsi na ....... Wwekezaji wanajifunza kwanza madhaifu ya viongozi ili kuwashika vizurk kwa maslahi yao.
Huyo mmiliki wa hoteli sasa hayuko sasa tunashuhudia mengi hadharani.
Hawa wa Iluku kutetea kashfa hizo wanaweza kuwa ndio wavujaji wakubwa wa siri hizo, ila hapa wanatuvika kilemba cha ukoka.
 
'Lisemalwo lipo,ka halipo laja'.....no difference would it make if it z true or not,only GOD knows the truth!!
 
Hivi nauliza kwani press release huwa haina tarehe imetolewa lini mbona anakurupuka tu hIvi mbona hawakanushi kwamba brother ana hisa huko BILILA KEMPINSK (TWASIKIA TU)


Tuliza akili, soma barua nzima mpaka mwisho au ndo mazoea kwamba baada ya dhumuni la barua, kinafuata hitimisho?
 
hahahahaaa! Tuache utani bana, kashfa ya kuhongwa sarawili ni mbaya bana!
Haijalishi!
Lakini Salva hajakanusha mkulu kulipiwa ''his private events in the hotel''

Hahaaaaa!!! Haki ya mungu hii ni mbaya sana...!!! Duh...next time ataletewa chupi kisha jamaa wataomba hiyo kitu chupi imefunika kwa nyuma..Looooh..Hapa kweli Kikwete umetutia aibu....!! Maliza muda wako tu upumzike, tumechoka na Kashfa!!
 
Kuruka ruka siyo dawa ya ulimbo, na wiki leaks ni buyu kavu halifichi mbegu.Ukweli tumeshaujua sasa mwache huyo Mnyamulenge ajikombe tu lakini hatudanganyiki.
 
Mwenye ushahidi aupeleke ikulu!!!??? Ili nini? ikulu imchukulie hatua JK au?
 
Hivi nyie mnajua sababu ya Marekani kupiga vita hizi cable zisiwekwe wazi? Mengi yaliyo humo ni mawazo ya mabalozi na zingine ni mazungumzo kati ya mabalozi na wakuu wa nchi. Kuna mengi yamesemwa kuhusu nchi nyingi na ikaonekana kama ni rumors zisizo na maana yeyote. Hizi chuki zenu za kipumbavu ndio zimewaziba macho. CDM ndio wamepata la kuzungumzia sasa. Suti imekuwa dili lakini hela alizochukua Zitto mnaona ni sawa.
 
Hivi nyie mnajua sababu ya Marekani kupiga vita hizi cable zisiwekwe wazi? Mengi yaliyo humo ni mawazo ya mabalozi na zingine ni mazungumzo kati ya mabalozi na wakuu wa nchi. Kuna mengi yamesemwa kuhusu nchi nyingi na ikaonekana kama ni rumors zisizo na maana yeyote. Hizi chuki zenu za kipumbavu ndio zimewaziba macho. CDM ndio wamepata la kuzungumzia sasa. Suti imekuwa dili lakini hela alizochukua Zitto mnaona ni sawa.
eeh! Chadema imeingiaje humu?
Sisi tunashangaa tu kuwa waziri mzima anaweza kununuliwa sarawili na kawoshi halafu akatoa maeneo nyeti ya nchi kwa mwarabu mmoja kujenga hoteli.

halafu, tunashangaa tena kurugenzi ya ikulu kutoa utetezi wa kashfa ya aliyekuwa waziri wa mambo ya nje.
 
Hivi nyie mnajua sababu ya Marekani kupiga vita hizi cable zisiwekwe wazi? Mengi yaliyo humo ni mawazo ya mabalozi na zingine ni mazungumzo kati ya mabalozi na wakuu wa nchi. Kuna mengi yamesemwa kuhusu nchi nyingi na ikaonekana kama ni rumors zisizo na maana yeyote. Hizi chuki zenu za kipumbavu ndio zimewaziba macho. CDM ndio wamepata la kuzungumzia sasa. Suti imekuwa dili lakini hela alizochukua Zitto mnaona ni sawa.
Maajabu tunazungumzia Raisi wetu aliyekubali kuhongwa suti wakati alikaa mambo ya nje kwa miaka kumi na yet alikuwa tayari anabiashara za malori kupeleka mafuta Ruanda sasa mafedha yote hayo anawezaje kujidharilisha kwa kupokea visuti kutoka kwa mwarabu ona sasa siri imebumburuka waache CDM hawamo kwenye hili
 
Baada ya kufanya kosa la kwanza, ukafanya la pili na la tatu...mtiririko wa kufanya makosa unaweza ukawa sio kuishia kwenye kosa la tatu, bali kuendelea kufanya la nne, tano mpaka mwisho wa siku hujui umefanya makosa mangapi. Kwa jinsi ninavyoona, sio kila kitu unakimbilia kutoia press conference. Ni rahisi sana kufanya kosa ambalo inakuwa ngumu kulirekebisha. One simple fact ni issue ya kukimbilia kwenye press kumsafisha Jairo bila kufanyia kazi kwanza nini wabunge walikuwa wanafikiri au kutaka. Wamejikuta wanafanya kosa lingine la tatu na sasa hivi ni wao against jairo! Ni mtazamo wangu mdogo anyway....
 
ili la Rais wetu kupewa suti ni zawadi za kawaida kwa marais , sio kila zawadi ni rushwa yeye alifurahi akampa kavazi, mbona mkapa ailipopewa dhahabu kubwa tuliona kawaida, wala mie sishutuki kwa kuwa wametupunguzia gharama, kwani suti tano ni million ngapi, rais wetu kama angalau atavaa kuanzai kiatu hadi kofia isiwe chini ya laki nane, jamani tuachane na haya tulejee kwenye umeme, ufisadi, barabara, maji na mafuta, mambo ya mavazi ni Hobi tu.
 
Pinda atakuwa anajuwa, ndiyo maana alijaribu kuwaambia viongozi warudi kwenye kaunda suti.
 
2e6141f620c9ab2b07a8d4e9fa45abbf.jpg8d6u0891.jpg439x.jpg439x11.jpg800px-Jakaya_Kikwete,_12th_AU_Summit,_090201-N-0506A-087.jpg2008-7-7-2-33-6-0b3806091f4a4c37842258de38581bad-0b3806091f4a4c37842258de38581bad-2.jpg61179480.WEF_7741.jpg5690327565_f4e3c14542_s.jpgyeoh-kikwete01.jpgcp_p1.jpgJK_MAMA [800x600].JPGTanzaniaEWURA_082808a.jpgwww.chron.com.jpgpedro-pires-jakaya-kikwete-2010-7-19-9-26-2.jpg
 

Attachments

  • 28653769-jakaya-kikwete1-212x300.jpg
    28653769-jakaya-kikwete1-212x300.jpg
    8.7 KB · Views: 50
Habari hii imekaa vibaya coz ni aibu kuizungumzia.

Lkn itasaidia angalau hata kuuvuruga mkataba wa kuvunja mahakama
 
Nasikitika sana kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Bw Salvatory Rweyemamu kukanusha tuhuma dhidi ya boss wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete.Ukweli ulio wazi kuwa huyu bwana amekuwa anapokea vitu vingi sana toka kwa Taikuni Ally Al bawardy mmiliki wa Kilimanjaro Hotel Kempinski,Bilila Lodge Kempinski,Zamani Zanzibar Kempinski,Seventy Seven Hotel Kempinski Arusha.Ngorongoro Rim na pia Mkurugenzi wa ASB Tanzania Limited na 60% share Tanzania Tea Blenders.Upelekaji wa hongo hizo hufanywa na Madereva wa Kilimanjaro Hotel Kempinski kwa kutumia magari ya hotel.Ushahidi upo kwani pia hata spea za magari ya vigogo huletwa na mpambe wa Taikuni huyu Bw. Hasu Masrani.
 
Mi ananiacha hoi tu pale anapolipiwa guest room kwa ajili ya private 'events' zake!
We have a joke for a president!

JK Alishasema ile ni "suna ya mtume muhamadi"(rejea hutuba yake ya Iddi Eli fitri), so usishangae kugawa hifadhi yetu kwa kulipiwa room kwa "private events". Jamaa ni kilaza kuliko ata Chifu Mangungo.
 
Ni siku kadhaa zimepita tangu Waziri Membe (au ndiyo MBOPO wa JF?) alipojitokeza kwa mbwembe za hali ya juu kabisa kuwatangazia Watanzania kuhusu msimamamo "thabiti" wa Tanzania kuhusu upandishwaji wa bendera ya "waasi" wa Libya. Tukatangaziwa kuwa balozi wa Libya nchini ameitwa kujieleza. Sasa Retzer aliyekuwa balozi wa marekani nchini kasema Rais Kikwete alipelekwa shopping uingereza na mwarabu wa Kempiski na alihongwa pea tatu za suti pamoja na mambo mengine. Ni lini Membe utamwita balozi wa Marekani kujieleza na kuwatangazia Watanzania msimamo "thabiti"? haitoshi Salva Ryeyemamu kusema ni uzushi. Kauli ya ukweli au oungo wa taarifa hizi ni swala la wizara ya mambo ya nje kwa kupata uthibitisho wa ubalozi wa marekani nhini Tanzania. Nawasilisha.

Kila mtu ana mnyonge wake
 
Thubutu kama yeye Membe anajiamini ni Waziri wa mambo ya Nje ajaribu aone cha mtema kuni.
 
Back
Top Bottom