Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

"Ushahidi" hapa utakuwa ni kitu gani hasa? Itabidi uwe risiti ya kununulia hizo suti. Yaani risiti itakayoonyesha zilinununliwa suti 5 na fulani na akapewa fulani kama hongo. Au angalau picha inayoonyesha makabidhiano. Picha kama hiyo haitakuwa ushahidi wa kutosha, na haiwezekani mtu mkubwa akubali kupigwa picha akipokea mlungula wa nguo za kuvaa yeye. Si rahisi kupata ushahidi kama huo.

Kama kitu hakina ushahidi basi sio kweli? Ikulu ikane tu, lakini isitake kupelekewa ushahidi. Kwanza Salva anatarajia kama ushahidi upo nani aupeleke? Ubalozi wa Marekani? Watanzania? Nadhani amedai ushahidi kabla ya kuangalia vizuri.

 
EMT, picha zako hapo juu nimeziweka kwenye thread Jamii Photos!!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Papa warushwa na muasisi wa ufisadi na madawa ya kulevya yaliyomuingiza madarakanai yamemkuta.hata akikataa sisi wa tz si wajinga kiasi hicho.wenzetu wametuzidi kwa kila kitu na hawawezi kumzushia ****** kwa kuwa kwao ni kajitu kadoooogo sana.lazima ajitoe gamba vinginevyo hataeleweka
 
Raisi kapigwa suti za kufa mtu!
Khaa of All the things jamani Suti!
 
PRESS STATEMENT

a. In an outrageous cable reported by Wikileaks, the former US Ambassador to Tanzania, Michael Retzer is reported to have said in his cable reports that President Jakaya Mrisho Kikwete has accepted gifts from the owner of the Kempinski Hotel chain, who is a citizen of the United Emirates.

b. This is, according to Ambassador Retzer, from a conversation he had with the Manager and Publicity Director of the former Dar es Salaam-based Kilimanjaro-Kempinski Hotel, Miss Lisa Pile.

c. This cable is as untruthful as it is outrageous. It is full of lies and innuendoes seeking to tarnish the good image and name of the President. It is unfortunate and highly disappointing that an ambassador worth his name could engage in this kind of lazy gossip.

d. The Directorate of the Presidential Communications would like to deny these lies in the strongest terms possible as follows:

2. We would like to state categorically that there has never been a time when the President received gifts from Ali Albwardy. This is definitely an outrageous claim and if there is evidence to the contrary, we would like to challenge Mr. Albwardy to produce it for the public to satisfy itself that what he is claiming are mere lies.

3. That there has never been a time, ever, when His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, during his time as Foreign Minister or currently as President of the United Republic of Tanzania, was flown by anybody to London on a subsidized shopping expedition to buy five suits. All his travels to London or any other places in the world have been duty assignments paid for by the Government of Tanzania. The matter of him being flown to London for subsides shopping of five suites is outrageous.

4. That during his entire life, as Foreign Minister or as President, the President has never met in London nor travelled with Ali Albwardy to London on a shopping expedition.

5. That the President was not responsible for raising nor receiving campaign funds for CCM Party during the 2005 General Elections. He was simply the flag bearer of the Party. However, he is privy to information that Kempinski Kilimanjaro Hotel was never asked nor contributed a single cent towards CCM campaign. Therefore the allegations that Kempinski Kilimanjaro Hotel contributed one million (USD 1,000,000) toward CCM campaign are baseless and unfounded.

6. That the Government permission for possessing of the Kilimanjaro Hotel by Kempinski Hotels and the subsequent permission to Kempinski to build two new hotels - one on the edge of the Ngorongoro Crater and another on the Serengeti plains overlooking the main animal migration routes were issued by the Third Phase Tanzania Government and not by Mr. Kikwete’s Administration.

7. However, President Kikwete declined to grant permission to Kempinski Hotels permission to build on the Ngorongoro Crater on the strength of environmental concerns. How come then that the President who has been offered so many favors such as suits and election money, took this principled position? This therefore testifies to the fact that, claims that the President has received favours are with malice intentions from his authors.

8. That it is a lie that Mr Kikwete has frequented Kilimanjaro Kempinski Hotel in his personal capacity. The records are very clear; the President has never, ever on his own visited that Hotel except on official duties or when he has escorted official state guests.

9. It is unfortunate that the distinguished Ambassador would believed and transmit such baseless lies and ear-says from a single source. The Office of the President takes strong exception to such behaviour which seeks to tarnish the name and person of the President.

END.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
Dar es Salaam.
04 Septemba, 2011
 
Mkuu sana Comrade, even atoms have affinity to some of their likings more so than others. They get excited and agitated more when sub-particles within are under magnetic, electronic, mechanical, etc pressure from the outside. Thus, "the affinity" here is for us to deal with our "neighbouring atoms" first in order to find an equilibrium point, settling down into a formidable compound before embarking on a mission to attack distant, unreachable compounds. Retzer ni pilipili ya mbali na haiwezituwasha kinamna hiyo, Kikwete on the other hand ni zimwi tulijualo... Given an opportunity to delve into this, I think we'd rather deal with the incumbent in the office first thereafter move to an out of office diplomat!!!

SteveDii

1.Atoms are more probable and testable than the average assertion which would most probably have replaced them with god in that context. Heinserberg notwithstanding.
2. In order to get to Kikwete, you have to verify Retzer
3. How come I wasn't invited to the party? Even if only to say " I would love to see my man spinning, but I am just too far away?" ?
 
Unajua nini...

Wakati mwingine ni rahisi kung'amua ukweli wa jambo kwa kukosekana kwa watu kama Mwita25 na FaizaFoxy kwenye thread...

FaizaFoxy, comment moja tu so far - katimua!!!! mmmmh, kuna jambo hapa... ananshangaza!! Lol
 
Hoteli tano zipi hizo mkuu? Tupe data. Hii inaweza kublow holes in parts of Salva's retort.

Salva kasema allegation za a million dollar contribution to CCM are "baseless and unfounded". Hatuna jinsi ya kuhakikisha hili.

Soma rebuttal yake kabla ya kuandika basi.

Hivi Salva anaweza pia ku respond to allegations made against CCM? Sio kazi ya Nape?
 
Unajua nini...

Wakati mwingine ni rahisi kung'amua ukweli wa jambo kwa kukosekana kwa watu kama Mwita25 na FaizaFoxy kwenye thread...

FaizaFoxy, comment moja tu so far - katimua!!!! mmmmh, kuna jambo hapa... ananshangaza!! Lol

Rejao ndio hajatia mguu kabisa hapa. Labda wamepata trip ya ghafla kwenda kununuliwa suti? LOL.
 
siweki comment manake nitaporomosha matusi towards Mh.Rais
 
Hivi Salva anaweza pia ku respond to allegations made against CCM? Sio kazi ya Nape?

Hawezi.

Lakini kwa kumfanya JK uwa mwenyekiti wa CCM na rais tunaacha mwanya, tutenganishe kofia mbili hizi.
 
Hivi hawa watu wamechanganyikiwa nini?? Ikulu siku hizi imekuwa mahakama mpaka ipokee ushahidi. Kama ni uongo na raisi amedhalilishwa si waushtaki mtandao wa wikileaks??. Wasitake kukataa ukweli hapa, mwisho watasema wikileaks ni mtandao wa chadema!!! Make kila kitu kinachoeleza ukweli kuhusu SRKL basi wanasema ni CDM!! Siri zitaendelea kufichuka mpaka wananchi wote watakapo waelewa CCM ni watu wa namna gani!!!
Salva Kaona wikileaks wanataka nchi isitawalike ndo maana anafanya juhudi za kuomba ushahidi kwa mwenye nao, na ole wake apeleke atapotelea mitaa hiyo
 
Huyo spy aliepeleka habari za suit naona kakosa cha kuandika.
Nchi nyingine viongozi wanajiuzulu kwa kashfa ya kupokea zawadi ndogo kuliko suti, hii habari ni kubwa kuliko unavyoi'rate' wewe FF.

Nasubiri Presidaa sijui ataitolea ufafanuzi kwenye moja ya hotuba zake za mwisho wa mwezi..... Nilidhani angejiuzulu badala ya kukanusha, wanajisumbua tu kukanusha, wote tunajua huyo balozi hawezi kumsingizia JK kwani waligombana nini. Wote tunajua ugomvi wa JK na watu wengine huwa unakuwa kwenye mambo gani, sidhani kama waliwahi kugongana na huyu balozi. Kwa hiyo ni kweli JK alinunuliwa suti na kwa bei ya suti anauza nchi, another Chief Mangungo....dhahabu kwa shanga...
 
Nchi nyingine viongozi wanajiuzulu kwa kashfa ya kupokea zawadi ndogo kuliko suti, hii habari ni kubwa kuliko unavyoi'rate' wewe FF.

Nasubiri Presidaa sijui ataitolea ufafanuzi kwenye moja ya hotuba zake za mwisho wa mwezi..... Nilidhani angejiuzulu badala ya kukanusha, wanajisumbua tu kukanusha, wote tunajua huyo balozi hawezi kumsingizia JK kwani waligombana nini. Wote tunajua ugomvi wa JK na watu wengine huwa unakuwa kwenye mambo gani, sidhani kama waliwahi kugongana na huyu balozi. Kwa hiyo ni kweli JK alinunuliwa suti na kwa bei ya suti anauza nchi, another Chief Mangungo....dhahabu kwa shanga...

Kwa nini balozi asiweze kumsingizia JK? , au kupeleka habari zisizothibitishwa, juu ya JK ?
 
Vipi kuhusu Michael Retzer? Ni nani? Alifanya nini kabla ya kupata ubalozi/ Ana credentials gani katika ulimwengu wa diplomasia? Ni mmoja kati ya wale waliotunukiwa ubalozi baada ya kuununua kwa campaign financing au ni bonafide career diplomat ?

For all we know he could be a Mississippi KKK Bushite smalltime chain restaurant owner who bought his Ambassadorship by family money during a weak administration point in the US Gov , his cables do not impress me, as much as I am even more unimpressed by JK.

Sheria ni msumeno, inakata kuwili, JK tunamjua, what if Retzer is even sloppier and therefore not credible?

For starters

http://en.wikipedia.org/wiki/Michael_Retzer

S
itaki kumtetea Kikwete, atoms know I am incensed, but I just want to apply the same level of scrutiny for both parties in this melee.
Kiranga ni wewe uliyesema huiamini wikipedia, iweje unatuwekea link ya wikipedia hapa, tutajuaje kama hiyo habari ya Michael Retzer umei'edit'?
 
Kiranga ni wewe uliyesema huiamini wikipedia, iweje unatuwekea link ya wikipedia hapa, tutajuaje kama hiyo habari ya Michael Retzer umei'edit'?

Stop being lazy. Sijasema Wikipedia ina prove Retzer is an incredible crook not to be trusted.

If you read my posts correctly you will see I am still entertaining that the proof of Einstenian physics is incomplete, and that I employ quantum physics to illustrate on whether any proof can be complete. Indeed I can even question if the conceptual complete is complete, given that we do not have complete knowledge.

Achana na kuamini Wikipedia, mimi siamini katika kuamini period (not sure if you can fully appreciate the depth of that concept). Ndiyo maana nasisitiza verifiction process na disclosure ya margin of error (nimechallenge accuracy ya cables za US Embassy awali, wabongo wawili tu wame respond kama wameelewa umuhimu wa ku calibrate accuracy ya US Diplomatic cables)

Katika kuelewa huku kuwa hata nature itself imekuwa na a probabilistic existence a la uncertainty principle anyway, swala linakuwa sio tu kwamba hatutaki kuamini, bali muhimu zaidi, hatuwezi kuamini kama tunataka kuwa wakweli. Inatubidi ama tujue, ama tukubali kuishi na some Planck scale level of belief which is waay down the margin of error.

Ndiyo maana nikatumia maneno "for starters"

Unaelewa maana yake nini hayo maneno? Socratic practice.

Maana yake hiyo ni pointi ya kuanzia tu, kuna verification zaidi za kufanya.

Sasa wewe umefanya verification ipi baada ya mimi kukuletea starting point hiyo?
 
Back
Top Bottom