Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

attachment.php



BIG MOUTH Lisa of KEMPISKY

She seem fierce, bitchy and milfy-hot too!!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
"If the president indeed received such generous gifts from Albwardy, how could he have rejected the Ngorongoro project?" He said.

kama kweli alikataa mbona hoteli tano zimejengwa ndani ya hiyo kireta...................................halafu JK amekanusha suti lakini hajakanusha kitita cha fedha ambacho kinasadikiwa ni dola milioni moja...................................msisitizo upo kwenye suti tano na hicho kitita cha fedha yaelekea wanakubali alihongwa vinginevyo wangelitumia muda mwingi kujitetea kwenye hii tuhuma ambayo ndiyo nzito kulikoni ya hiyo suti..................guilty by association and by his partial denials............................that is our current president................just impeach him now.............
 
kama kweli alikataa mbona hoteli tano zimejengwa ndani ya hiyo kireta...................................halafu JK amekanusha suti lakini hajakanusha kitita cha fedha ambacho kinasadikiwa ni dola milioni moja...................................msisitizo upo kwenye suti tano na hicho kitita cha fedha yaelekea wanakubali alihongwa vinginevyo wangelitumia muda mwingi kujitetea kwenye hii tuhuma ambayo ndiyo nzito kulikoni ya hiyo suti..................guilty by association and by his partial denials............................that is our current president................just impeach him now.............

Hoteli tano zipi hizo mkuu? Tupe data. Hii inaweza kublow holes in parts of Salva's retort.

Salva kasema allegation za a million dollar contribution to CCM are "baseless and unfounded". Hatuna jinsi ya kuhakikisha hili.

Soma rebuttal yake kabla ya kuandika basi.
 
Mkuu kama sio sahihi kwa nini nchi nyingine huwa hazikanushi yanayowekwa dhidi yao kule? Ina maana Wikileaks inaweka vya kweli nchi nyingine na vya uongo nchi yetu? Halafu madai yalikuwa sio tuu Rais Kikwete alinunuliwa suti tano huko London. Ina maana yale madai mengine ni ya kweli?

Very well said!!!. Niliona Asange akihojiwa kwenye kipindi cha 60 minutes. Akaambiwa US wanapitia vifungu vya sheria kuona kama wanaweza kumshtaki. Akasema anashangaa yeye atashtakiwa kwa kosa lipi? So far anadai hakuna habari ya uongo iliyochapishwa; watu wanaolalamika has US ni kwamba ana chonganisha US na nchi nyingine. Yeye akasema mtandao wake sio ant-US or any other country; they simply want people to know the other side of the story; stories that have never been told (like a whistle blower of some sort). So far hakuna aliyekanusha habari zile za cable niza uongo except the govt of TZ (which is what everyone expected). Sikumbuki ni kipi waliwahi kukubali.
 
Salva kaongelea allegations zote pamoja na zile za kulipiwa chumba for "events".

Tunachoweza kusema ni hatumuamini labda, au kumtaka Rais asijiweke kwenye position ambayo inasababisha kuibuka kwa hayo madai.
 
Mbona wanakanusa habari ya suti pekee, ina maana cable zingine zote ni za kweli kuhusu Tanzania ni za kweli. Na ikiwa hivyo ndiyo, habari ya JK kupokea hiyo zawadi (bribe) na kununuliwa suti ina ukweli kwa 99.999+-0.001. with confidence level of 95%.

Halafu hiyo Press release kwa nini huwa haina signature ya mkuu au masaidizi wa hiyo "Directorate of Presidential Communications"

Wangekuwa makini wangejirithisha kwanza je cable zingine pia zina ukweli au uongo ili nazo wazitolee kanusho. Mimi hao wamarekani nawamini sana katika kile wanachoandika, kwanza hata kumbukumbu za sauti na picha huwa wanazitunza, na huwa wanauliza maswali ya kimtego sana kiasi ambacho unayeylizwa usipokuwa makini unajikuta unamwaga kila kitu kwao.

Hii kanusho ni sawa tu na ile ya Hosea ya kujisafisha.
 
Salva kaongelea allegations zote pamoja na zile za kulipiwa chumba for "events".

Tunachoweza kusema ni hatumuamini labda, au kumtaka Rais asijiweke kwenye position ambayo inasababisha kuibuka kwa hayo madai.

Unlucky for us then, for we are endowed with a President whose reign thrives on glamour!!
 
Lingekuwa ni jambo la busara kama wangekaa kimya tu, na ingeonekana ni busara sana kuliko kujaribu kuufanya usiku kuwa mchana. Siku hizi Tanzania inabadilika, ukweli na uongo vinajulikana. Kiza na nuru vinajulikana. Ya kwenye leak ni public knowledge pamoja na kuwa si wengi wanaoijua. Ni kujidhalilisha kuongea kitu kama hicho, wakati wamiliki wenyewe wanasema ni kweli na rais ni mteja wao ambaye haapii kwenye log book.
 
Unfortunately, that doesn't add anything meaningful to this debate, on the contrary, it goes to show how folks are willing to believe and accept Michael Retzer's allegations at face value without any hard evidence whatsoever on his part, simply based on the virtue of the fact that he happened to be the US Ambassador to Tanzania at that time; which needless to say, would be akin to committing the fallacy of Authority.

Ni rahisi sana kwa watanzania kumuamini Michael Retzers kuliko Jk kwasababu: JK anarekodi yakudanganya; sio mara moja na sio mara mbili (almost everytime he opens his mouth he lies), therefore; because of his reputation, it easier to believe M. Retzers .
 
Ni rahisi sana kwa watanzania kumuamini Michael Retzers kuliko Jk kwasababu: JK anarekodi yakudanganya; sio mara moja na sio mara mbili (almost everytime he opens his mouth he lies), therefore; because of his reputation, it easier to believe M. Retzers .

Vipi kuhusu Michael Retzer? Ni nani? Alifanya nini kabla ya kupata ubalozi/ Ana credentials gani katika ulimwengu wa diplomasia? Ni mmoja kati ya wale waliotunukiwa ubalozi baada ya kuununua kwa campaign financing au ni bonafide career diplomat ?

For all we know he could be a Mississippi KKK Bushite smalltime chain restaurant owner who bought his Ambassadorship by family money during a weak administration point in the US Gov , his cables do not impress me, as much as I am even more unimpressed by JK.

Sheria ni msumeno, inakata kuwili, JK tunamjua, what if Retzer is even sloppier and therefore not credible?

For starters

http://en.wikipedia.org/wiki/Michael_Retzer

S
itaki kumtetea Kikwete, atoms know I am incensed, but I just want to apply the same level of scrutiny for both parties in this melee.
 
Mimi ninaamini walicho andika wikileaks ni cha ukweli..mbona hawakutolea ile kauli ya hosea kuhusu j.k anawaogopa watuhumiwa wa ufisadi...nchi inauzwa kwa pair 5 za suti!!
 
Je Rais Kikwete arudishe fedha alizogharimiwa na Watanzania kununulia nguo?

Kwa sababu gani?

Kakataa kwamba hizi tuhuma ni za kweli na kaalika yeyote aliye na ushahidi autoe. Anajua hakuna yeyote atakayejitokeza. Katika nchi zenye kufuata sheria huyo Lisa Pile angeitwa kwa gharama zozote angalau aulizwe tu na kusema, Kenneth Starr style. Tanzania hata kuulizwa na waandishi wa habari wenye simu za VOIP hawezi kuulizwa! Kama hata tunao waandishi wa habari wenye simu za VOIP kuanza hata kupanga hivyo. I challenge our media to get as much as a one line direct quote from this woman, even if it is "no comment".

Ukiisoma vizuri cable 277 utaona balozi wa Marekani na JK hawana tofauti, na wote wawili inawezekana walikuwa wanagongana katika misako ya looseballs hapo Kempinski, na mmoja kati ya hao ma looseballs anaweza kuwa ni huyo Lisa, na Lisa anaweza kuwa alikuwa looseball wa balozi wa Marekani.

Umeona alivyompamba kwamba "anatoka katika familia bora ya serikali ya PM Howard" why was that necessary? Umeona "protect" ? Wangapi wanaosoma hizi cables wanaelewa alimaanisha nini pale?

Hata kama JK kanunuliwa nguo, hakuna jinsi ya kumshurutisha lolote kuhusu hili. This is where one has to pull a Cyrus Vance Jr ove DSK type of retreat. Not enough credible evidence to prosecute even though almost everybody sane knew the crime/ fracas took place. But are we talking about a moral or legal issue here/ We don't know. We don't have the requisite evidence. I would love to shoot JK with this, but if I want to be objective, I just have to say "not enough evidence to prosecute" like Cyrus Vance Jr. Even though all circumstantial evidence (more like crescendo of innuendo really) points to a guilt verdict on the part of JK, it is still not a solid enough case to shake any man, let alone a head of state with clauses of immunity and paws of claws of impunity, not to mention tonz of gunz in his diplomatic ammunition.

I can't even imagine the exchange btn the US Embassy and Ikulu right now!

Those who know don't talk, those who talk don't know a thing. Those who matter don't mind, those who mind don't matter.

It's like some Heisenberg uncertainty natural conspiracy up in here. The more you know, the more you not only know you don't know, but also the more you know you can't know.

US Embassy overquoting The TZ press in official diplo cables to the State Department, pleeeease!!!

And we thought "we don't have a press!!!!!".
 
Ambassador Michael L. Retzer bids farewell (2005 - 2007)

August 31, 2007

The leaders have become close friends over the past two years [2005-2007] and exemplify the ever-strengthening relationship between the United Republic of Tanzania and the United States of America. On August 31, Ambassador Retzer completeed his tenure as President Bush's personal representative to Tanzania. Over the past two years 2005-2007], he has orchestrated an increase in U.S. assistance, particularly in combating HIV/AIDS and Malaria, to well over $400,000,000 (500 billion Tsh/-).

pgfarewell083107bg1.jpg


President Jakaye Kikwete shares a laugh with outgoing U.S. Ambassador Michael L. Retzer. (Kumbe alikuwa anamchora Kikwete tuu hapa)

pgfarewell083107bg2.jpg


President Jakaye Kikwete bids farewell to outgoing U.S. Ambassador Michael L. Retzer. Looking on is Deputy Chief of Mission, D. Purnell Delly. Mr. Delly will act as Charge d'Affaires, ad interim, until the presentation of credentials by new American envoy, Mark Green (Picha kutoka website ya Ubalozi wa Marekani, Tanzania) .

Ambassador Michael L. Retzer alikuwa na skendo zake pia

Michael Retzer was named as Ambassador to Tanzania by President George W. Bush on June 28, 2005, and the Senate confirmed him on July 29, 2005. Retzer was sworn in by Secretary of State Condoleezza Rice as United States Ambassador to the United Republic of Tanzania on August 24, 2005, and presented his credentials to President Benjamin Mkapa in Dar Es Salaam on September 1, 2005.

Retzer ended his ambassadorship in Tanzania during the summer of 2007 amidst controversy over his attempts to consolidate the Peace Corps mission there with the embassy. On account of his actions and subsequent disapproval from the Peace Corps and the US Senate, the State Department issued a written apology to the Peace Corps Country Director, Chrisine Djondo.

On June 8, 2007 the White House announced that Retzer would be replaced as Ambassador to Tanzania by Mark Green, 47, a former Republican congressman and unsuccessful gubernatorial candidate in Wisconsin. On June 14, 2007, the Peace Corps announced its strong disagreement with the decision of Retzer, to withdraw the authorization for Peace Corps Country Director Christine Djondo to remain in Tanzania and the adverse effects of Retzer's decision on the Peace Corps program in Tanzania including cutting the incoming group of volunteers by half to ensure adequate support.

On June 27 Senator Chris Dodd put a hold on the nomination of Mark Green to replace Retzer as Ambassador citing Retzer's action as interference in the independence of the Peace Corps. Dodd asked that Retzer rescind his cable of no confidence of Djondo or that the State Department provide a written apology to her. On June 28, the State Department provided a written letter of apology to Djondo and Senator Dodd released his hold on Green's nomination allowing it to go forward.

Source: Wikipedia
 
...
Sheria ni msumeno, inakata kuwili, JK tunamjua, what if Retzer is even sloppier and therefore not credible?

For starters

http://en.wikipedia.org/wiki/Michael_Retzer

S
itaki kumtetea Kikwete, atoms know I am incensed, but I just want to apply the same level of scrutiny for both parties in this melee.

Mkuu sana Comrade, even atoms have affinity to some of their likings more so than others. They get excited and agitated more when sub-particles within are under magnetic, electronic, mechanical, etc pressure from the outside. Thus, "the affinity" here is for us to deal with our "neighbouring atoms" first in order to find an equilibrium point, settling down into a formidable compound before embarking on a mission to attack distant, unreachable compounds. Retzer ni pilipili ya mbali na haiwezituwasha kinamna hiyo, Kikwete on the other hand ni zimwi tulijualo... Given an opportunity to delve into this, I think we'd rather deal with the incumbent in the office first thereafter move to an out of office diplomat!!!
 
Rais anahongwa mitumba, lol? Makapuku watahongwa nini sasa, tisheti na kofia za kijani? Ama kweli kua uyaone!
 
Ndio maana ziara za nje haziishi..kumbe ni mambo shopping za suti..teh! Teh!
 
Back
Top Bottom